Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Umeteseka sana lakini baadaye Mungu amekuona. Mungu ni mwema. Nakushauri usichezee hizo fedha ambazo unazo. Tafuta watalaam wa biashara wakushauri ili mtaji wako ukue. Usije ukajidanganya kuwa utapata tena 8m/= kwa mkupuo. Peleka 1/10 kama sadaka Kanisani utaona pia Mungu anakufungulia njia. Pole na hongera sana kwa sababu hukukata tamaa.
 
Ungekuwa shabiki wa soccer ningekupa mkeka wa uhakika unatupia laki moja unapiga 2m
 
Vipi! Kamanda tunaomba mrejesho wa harakat zako

Sent from my iPhone X using jamiiforums
Nitaleta mrejesho hapa hapa jukwaani

Risk niliochukua now ni kubwa kidogo na yakutisha

Naamini mungu atatia mkono[emoji23][emoji23]

Am not in this world to play

Kuna members tuliokuwa na appointment hatukuweza kuonana mnisamehe japo walinishauri vitu vingi na vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikomaa na fx au???
 
Unataka mwenzako achome account tena..kumbuka hiyo forex kaipiga yy mwenyew kiaina tu akavamia soko likampiga ww unataka akimbilie v75 mzee ambalo likienda against na ww tu kidogo linakumaliz.Simshauri v75 kwanza unless anajua kutrade vizuri na sio kubahatisha
 
Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini tena katikat ya bahari .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kumtupia mtu lawama zisizo za msingi hiyo ni roho ya husda

Unapodondoka Jaribu kufikiria kwanza wewe umekosea wapi kisha chukua maamuzi

Mimi niliamua mwenyewe kuachana na fx lakini iliniletea faida kwa namna moja au nyingine

Nimepata supports sana za wadau humu ndani kutokana na huu uzi nimeweza kusimamisha biashara yangu hadi ofisi ninayotumia imetokana na kuanzisha huu uzi

Na bado nazidi kujipanua kwenye shughuli nyingine za kipato

Forex nitarudi kufanya nikishakuwa na pesa za kuchezea



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani mtuu anipe hata knowledge ya kupata hata hio dollars 20 tu kwa siku huko Forex. Ntashukuru sana hata kama margin yake ya faida ni ndogo sana mradi iwe uhakika tu kwa 90%
 
Natamani mtuu anipe hata knowledge ya kupata hata hio dollars 20 tu kwa siku huko Forex. Ntashukuru sana hata kama margin yake ya faida ni ndogo sana mradi iwe uhakika tu kwa 90%
Haha toka nisome vitabu vya FX sijawai ona misamiati ‘Uhakika’
 
Naona harakati za kwa mganga na bange za Agustino ukazihamishia FOREX
 
Mchezo mdogo tu ukiwa na vitu hivi
_Muda
_Utulivu wa akiri
_Mtaji kidogo/Usiwe ndio huna hata mia hutoweza
_Mentor wa kuku-Coach kama mtoto unayeanza la kwanza.

Hivyo ndivyo vilinifanya nishindwe nakamilisha hivyo nitairudia.
Hivyo vitatu vya mwanzo ninavyo mkononi ila cha 4 ndio sina.
 
Mie napenda niipate hio knowledge ya scalping! Sihitaji kuwa full time trader wala. Yani chap nichukue changu mapema kila ambapo hali inaruhusu. Waweza niunga na huyo mrembo.?
 
Nmekupata mkuu, sema huyo mtaalamu sasa nampatia wapi maana wengi miyeyusho...Mtu atajinadi kaiva ila ukimcheki akufundishe anakusukumia kwenye vitabu. Eti soma hivyo kwanza,,,akati mlume nataka ni put it in the game.

Nataka mtu anifundishe graph jinsi linavyosomwa walau nijue hata niwe nafanya scalping tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…