Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Kaka wee acha tu hii 1M nataka niiwekeze kwenye phone accessory ni baki na 200k kama capital nimle tena sportpesa manina zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endelea kubet mafanikio utayaona baadae

Nilishawahi kula milioni 2 na laki Saba kwenye roulette.
Kesho yake nilivyorudi kwenye online casino.bwana weee. Kila nikiweka inakwenda kila nikiweka inakwenda.system ilinikataa..
Usije ukashangaa MTU alikuwa bilionea akafirisika kisa kamari
 
Endelea kubet mafanikio utayaona baadae
Kwa sasa nataka ni tumie 200k pekee akinila hii basi tena sitokuja ku bet tena ila mambo yaki kaa vzr nita waletea uzi wangu wa kwanza toka nijiunge kwenye hii jamii ya wana JF [emoji4]
 
HAUWEZI KUACHA KAMARI.
Kwa sasa nataka ni tumie 200k pekee akinila hii basi tena sitokuja ku bet tena ila mambo yaki kaa vzr nita waletea uzi wangu wa kwanza toka nijiunge kwenye hii jamii ya wana JF [emoji4]
 
Nilishawahi kula milioni 2 na laki Saba kwenye roulette.
Kesho yake nilivyorudi kwenye online casino.bwana weee. Kila nikiweka inakwenda kila nikiweka inakwenda.system ilinikataa..
Usije ukashangaa MTU alikuwa bilionea akafirisika kisa kamari
Nakuelewa sana ukisema hivyo maana yame nikuta na nina jua hizi case hakuna kuchekena yani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hauwezi kumkuta mcheza KAMARI amekufa Kwa presha.maana Wana roho ngumu sana
Nakuelewa sana ukisema hivyo maana yame nikuta na nina jua hizi case hakuna kuchekena yani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una maanisha kwa sasa una 1200M ambayo ni sawa na billioni 1.2?
 
Duh tafuta kitu cha kufanya mapema kijana, maana kuna 95% hiyo pesa utairudisha kwenye betting

Betting ni mojawapo ya addiction hatar sana
 
Hongera sana kwa kutokata tamaa.
 
unawaze kunielekeza boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…