Forex indicators

Forex indicators

ukishalipia hiyo ndio basi au maana na hao waliozitengeneza watahitaji uwalipe tena
Ukishalipa ndo basi hakuna malipo mengine. Kama ukihitaji kuziuza itakua kazi kwako maana utakua nazo kwenye komputa yako
 
Naweza sema sijachelewa sana kuyajua haya machache yakiyomo kichwani mwangu kuhusu forex. Najua vizazi na vizazi watakuja kufaidika na hiki kidogo.

Kadri ninavyozidi kuifanya hii biashara ya forex, ndo nazidi kugundua na kuvumbua mbinu mpya kila wakati. Kwa upande wangu, forex naiona kama game gumu sana ambalo linahitaji muda mwingi wa kulielewa na kulifanyia mazoezi ili kwenda hatua inayofuata.

Kuna mbinu moja ambayo sio ngeni na imezoeleka kwa wafanyaji wazoefu wa hii biashara. Mbinu hiyo ni indicators. Indicators kwenye forex, nazifananisha na cheat kwenye game. Ipo hivi, japo unatumia cheat kwenye game, bado utahitaji kulicheza game wewe.

Kuna indicators nyingi sana. Ila nilizozipata hivi juzi, zimeleta mapinduzi makubwa sana kwenye biashara zangu. Nimejikuta sipati hasara kama ilivyokua mwanzo.

Nilipata shida sana kuzipata hizi indicators. Na nimetumia gharama pia.

Kwa wale wanaohitaji hizi indicators, nawakaribisha ila mtanirudishia japo nusu ya gharama zangu.

Ili uweze kutumia hizi indicators, lazima uwe na pc. Hazifanyi kwenye simu.

Kama utakua unazihitaji, basi njoo pm nitakuelekeza namna ya kuzipata na gharama zake. Na nitakuelekeza namna ya kuzitumia.

Karibuni sana tuendelee kujipigia pips.

Kwa wale wanaojua kuhusu mimi kupoteza$300 tangu niijue forex, Mrejesho ni kwamba.

Hivi sasa nina faida ya $130. News ya EUR imemalizia hasara yangu na kunipa faida.

Karibuni sana
ukitaka ufaidike forex ni lazima uachane na mambo ya indicator na kuanza kuchambua soko au price naked( without any indicator) yaai utakua unatumia Price Action(PA) itakayojumuisha 1. support and resistance 2. supply and demand zones 3. Trendline 4. candlestick pattern 5. chart pattern kama triangle, double top, double bottom, head and shoulder, tripple top and bottom etc
 
ukitaka ufaidike forex ni lazima uachane na mambo ya indicator na kuanza kuchambua soko au price naked( without any indicator) yaai utakua unatumia Price Action(PA) itakayojumuisha 1. support and resistance 2. supply and demand zones 3. Trendline 4. candlestick pattern 5. chart pattern kama triangle, double top, double bottom, head and shoulder, tripple top and bottom etc

Vipi kuhusu fundamental analysis na sentimental analysis nazo hazina faida au
😅 ndo maana mnapigwa hela mko busy tu na technicals.
 
Anayehitaji indicator anicheki nampa free kwenye Whatsapp 0787565947
 
mm ninazo indicator zinazokupa signal wapi uweze kununua na kuuza
hizo ni special programmed indicators kwa mt4
 
mm ninazo indicator zinazokupa signal wapi uweze kununua na kuuza
hizo ni special programmed indicators kwa mt4
unataka kuniambia wewe haulose ,kama jibu ni ndio wazungu siyo malofa, kama hapana jitathimini tena.
 
huu upumbuvu eti ili ujue bei ya viazi mviringo mkoani mbea wewe ukiwa mororgoro lazima umlipe ataye kutajia soko na bei pumbavu kabisa
 
Halazimishwi mtu mkuu. Ukiona unauhitaji unatoa hela wala haina shida. Kama hun a uhitaji, unaacha nayo.

Huu mtindo wa kuita watu matapeli kisa hamjui vitu, unakera na haupendezi.

Inaonyesha ni namna gani mlivyo watu wa hovyo kwa kudhani kila mtu tapeli. Au huenda mnakua na wivu kwa mambo ambayo mnayajua alafu hamjui namna ya kuyafanya kuwa fursa? Hivyo inabidi kuharibu ili nafsi zenu zisuuzike?

Badilika. Mambo hayapo yalivyokua
kwa uandishi wako hakuna namna unaweza kukwepa kuitwa tapeli
 
Back
Top Bottom