Forex: Milionea Sandile Shezi kutua Dar es Salaam Jumamosi

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Baada ya Forex kupata reputation mbaya hapa Bongo hasa baada ya makanjanja kuiharibu, sasa nadhani ni mwakati tuwasikilize waliofanikiwa kupitia Forex, huenda tukapata mawili matatu ya maana.

Sandile Shezi mmoja wa vijana wadogo kabisa matajiri Afrika, atakuwa Dar es Salaam Tanzania Jumamosi hii akielezea kuhusu Forex kwa upana wake katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre .

Kiingilio ni bure.

=====================================

Its never to late to start turning your dreams into reality.
I went from selling muffins to making millions in the financial markets and i will be sharing with you how. Learn how to trade Forex directly from myself this coming Saturday in Dar es Salaam.

I invite you to come listen to the success stories of our Tanzania members. Limited seats available, book now www.rivoltare.com, click on tour bookings.

It’s going to be the biggest financial markets summit in the history on East Africa.

Dar es Salaam
Venue: Julius Nyerere International Convention Centre
Date: 1 December 2018
Time: 10:00 am
Bookings: www.rivoltare.com

Nimeikopi kama nilivyoikuta huko na kuileta hapa.
Mjumbe hauwawi.
Msiniulize maswali.

CC Mwl.RCT , mtembea kwa miguu , AMLIGHT , Danpol , Linko , Daud1990 , Humble African , LURIGA, Mr Suprize , godimpare , starboy09 , Mr Kipago , fentfod , MBAPPE na wengineo....
 
huyo dogo alifanikiwa kwa kuwa broker au kutrade mbona hapa bingo hatuwaoni matrader matajiri wa kiwango hicho au kuna tatizo mahali
 
Anakuja kudidimiza Tsh yetu, huyo ataushia airport.
Joke [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nimesoma sehemu habari za huyu tajiri nikapigwa na butwaa.
 

Attachments

  • Shezi.jpg
    73.9 KB · Views: 125
  • Shezi, 1.jpg
    70.4 KB · Views: 123
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…