Forex: Milionea Sandile Shezi kutua Dar es Salaam Jumamosi

Forex: Milionea Sandile Shezi kutua Dar es Salaam Jumamosi

Pole sana mkuu. Hiyo website ni ya matapeli. Kwanza siyo ya Yahoo. Pili huyo kijana hatokei Tanzania ni wa kutoka SA.
Mkuu nalitambua hilo. nilishangaa tu nilipoziona hizo taarifa huko.
 
ONTARIO mmeshamsahau?
Endeleeni kuchonga
20181208_103409.jpeg
 
Ache aje ajiokoteee maana wajinga wa penda slope hawaishagi

Ova
 
Back
Top Bottom