Pole sana mkuu. Hiyo website ni ya matapeli. Kwanza siyo ya Yahoo. Pili huyo kijana hatokei Tanzania ni wa kutoka SA.
Kwahio huyu jamaa sio South African tena bali Mnyakyusa?!
Hahahaha, atakuwa 'Mnyakyusa rapa' huyu.Kwahio huyu jamaa sio South African tena bali Mnyakyusa?!
Mkuu nalitambua hilo. nilishangaa tu nilipoziona hizo taarifa huko.Pole sana mkuu. Hiyo website ni ya matapeli. Kwanza siyo ya Yahoo. Pili huyo kijana hatokei Tanzania ni wa kutoka SA.
IQ ya upmbvMkuu endelea na issue zako huku tuachie wenye high IQ
🤣🤣🤣Kwahio huyu jamaa sio South African tena bali Mnyakyusa?!