Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

Bado sijaenda kwa ontario training lakini nimesoma kwa miezi mi4 na demo juu. Na nimeingia live, forex is real faida ipo na hasara ipo... Kuna siku naweza ingiza hata usd100 na kuna siku naweza kupata loss pia, na ndo changamoto zenyewe sasa sijajua unataka mirejesho ya nini watu wanapambana ndo mana hawapost..
Na sioni ulazima wa kupost anaeamini aamini na asieamini pia ni vizuri.
 
Forex ndonini wadau? Naonaga tu humu forex forex sikuwahi kufatilia. Mwenye uelewa kidogo anijuze
 
nijuavyo mimi forex ndio biashara pekee duniani unaweza kufanya pasipo kumdhurumu mtu ,pili ni biashara inayohitaji akili,umakini na uvumilivu wa hali ya juu la sivyo loss ni kugusa lazima uwe zaidi ya risk taker.

tatizo nililoliona kwa watu wengi na litawafelisha wengi ni kuchukulia forex kama kazi rahisi ya kufanya kama part time kitu ambacho sio kweli.forex ni zaidi ya kazi maana kuna uchambuzi wa taarifa za kiuchumi na kisiasa za kidunia lazima uzifatilie kwa kila wakati na ikibidi kila baada ya saa moja.
 
kiutani utani mdau akatoboa ndinga[emoji12]
POVU[emoji36][emoji36][emoji36]RUKSA [emoji851]
 

Kumbuka kusoma tarehe hapo[emoji1483][emoji1483] 14.11.2017
POVU[emoji36][emoji36][emoji36] RUKSA [emoji851]
 
hahahaha
 
naona Ontario yupo kmy anawapiga to mpunga kwenye themina zao na kudonlowd pesa [emoji3][emoji3]
 
Hiki kitu mi roho yangu inagomaga asee sijui kwanini!?

Mi navyopenda hela but kwa Forex imegoma! Sitaki hela through forex[emoji15]
 
Forex is really guys,and money is being made...huo ndo ukweli
Forex ni kweli ipo real ila inahitaji akili kubwa sana..understanding ya hali ya juu kinachotokea duniani..soros kasemaje leo..trump yupo Vietnam kazungumzia nn litakaloleta effets ya $ against other currencies!lazima uumize kichwa na on top of that economics iwe ipo kichwani..ni very complex play..sio ya kitoto..umegusa st kayumba halafu uingie kichwakichwa utaungua!
 
Ukiwa trader wa forex sidhani kama unaweza pata muda wa kutinga jf Mara kwa Mara so usiulize mrejesho ingia uone ubize wake.......na hitaji LA kusoma kweli kweli bt to be honest this thing is real
 
Wacha na mimi niseme kidogo
Mimi ni mwanafunzi ktk hii bishara nina siku 15 tu leo toka nianze nimeianza kwa uoga sana sana lakini mpaka leo tarehe 15 asubuhi saa 1 nimesharudisha zaidi ya asilimia 80 ya pesa nilio anza nayo kama mtaji.natumaini mpaka mwezi uishe nitakuwa nimepata faida zaidi ya asilimia 100.naendelea kujifunza kwa makini huku nikiifanya hii biashara.na kwa jinsi ninavyoiona inaweza kuwa main business yangu.sasa wanaofikiri ni ya kizushi haya sisi tunaendelea.
 
we subiri habari mpaka unakufa.mda wakuja kukupa fursa unapewa siku moja kwani unataka matangazo ya kila siku.
we kaa hapo hapo unataka marejesho
uzuri muafrika akiona fursa huwa hataki ujue,kwa kuwa utataka kujua zaidi kuliko yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…