pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Ukiwa mvivu wa kusoma utajuaje km umeiona humu si ungesoma ili uifahamu!Forex ndonini wadau? Naonaga tu humu forex forex sikuwahi kufatilia. Mwenye uelewa kidogo anijuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa mvivu wa kusoma utajuaje km umeiona humu si ungesoma ili uifahamu!Forex ndonini wadau? Naonaga tu humu forex forex sikuwahi kufatilia. Mwenye uelewa kidogo anijuze
Wacha na mimi niseme kidogo
Mimi ni mwanafunzi ktk hii bishara nina siku 15 tu leo toka nianze nimeianza kwa uoga sana sana lakini mpaka leo tarehe 15 asubuhi saa 1 nimesharudisha zaidi ya asilimia 80 ya pesa nilio anza nayo kama mtaji.natumaini mpaka mwezi uishe nitakuwa nimepata faida zaidi ya asilimia 100.naendelea kujifunza kwa makini huku nikiifanya hii biashara.na kwa jinsi ninavyoiona inaweza kuwa main business yangu.sasa wanaofikiri ni ya kizushi haya sisi tunaendelea.
Sio kwamba mirejesho hakuna...watu wako busy kweny group za forex...ukitaka kuona mrejesho tafuta grup za TMT au darforex utaelewa..binafsi hata uzi wa forex siufatilii sana mana kila kitu kweny group kinamalzwa...pia nilisha post screenshot za miamala ya mpesa humu...forex inalipa mbona..ila ni kwa wale tu wenye patients.Salaam Wadau,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazokuja humu JF hasa za biashara na uwekezaji na nyingine nimechukua hatua moja mbele na kwenda kuzitekeleza...matunda si haba,ukiwekeza muda,nguvu na mtaji kiasi ikiambatana na maombi ahh faida utaiona.
Hapa karibuni pametokea uwekezaji mpya wa FOREX ambao umejizolea mashabiki,watafiti na wanachama wengi sana hadi kupelekea ile thread ya Ontario kutapika jinsi replies zilivyokuwa nyingi.Chochote kizuri huja na maswali mengi hasa kama ni kipya kwenye soko la watumiaji.Mimi kama mfuatiliaji mzuri ningependa kujikita zaidi kwenye mirejesho iliyokuwa inakuja kwa wingi sana hapo mwanzoni na yote ikiwa ni yenye habari chanya na zikihubiri mafanikio na hata zikashawishi wengine kufikiria kuacha kazi zao na kujikita zaidi kwenye hii biashara mpya.
Napenda kuwauliza wale waliokuwa wanaleta mirejesho mbona hapa karibuni imekuwa michache na ni baada ya muda mrefu ??? Au ile nadharia ya kwamba hakuna mshindi wa siku zote na biashara yenye boom wakati wowote imeanza kupata uhalisia ??
Chonde chonde msinipovushe...900 tu inapendezaaa 🙂🙂
![]()
Sio kwamba mirejesho hakuna...watu wako busy kweny group za forex...ukitaka kuona mrejesho tafuta grup za TMT au darforex utaelewa..binafsi hata uzi wa forex siufatilii sana mana kila kitu kweny group kinamalzwa...pia nilisha post screenshot za miamala ya mpesa humu...forex inalipa mbona..ila ni kwa wale tu wenye patients.
Mkuu ku blow account ni kawaida...forex trader mzur anajifunza kitu pale anapo blow account...anyway hukuwa na risk management had account uchome yote? Pia hapo ndio kweny somo la sikolojia.Do ile kitu achana nayo niblow account Mara 2, Invest the money you van afford to lose

Yani the way niko busy na forex najikuta hata jf sina time ya kuingia kama zamani
Ýyn
Salaam Wadau,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazokuja humu JF hasa za biashara na uwekezaji na nyingine nimechukua hatua moja mbele na kwenda kuzitekeleza...matunda si haba,ukiwekeza muda,nguvu na mtaji kiasi ikiambatana na maombi ahh faida utaiona.
Hapa karibuni pametokea uwekezaji mpya wa FOREX ambao umejizolea mashabiki,watafiti na wanachama wengi sana hadi kupelekea ile thread ya Ontario kutapika jinsi replies zilivyokuwa nyingi.Chochote kizuri huja na maswali mengi hasa kama ni kipya kwenye soko la watumiaji.Mimi kama mfuatiliaji mzuri ningependa kujikita zaidi kwenye mirejesho iliyokuwa inakuja kwa wingi sana hapo mwanzoni na yote ikiwa ni yenye habari chanya na zikihubiri mafanikio na hata zikashawishi wengine kufikiria kuacha kazi zao na kujikita zaidi kwenye hii biashara mpya.
Napenda kuwauliza wale waliokuwa wanaleta mirejesho mbona hapa karibuni imekuwa michache na ni baada ya muda mrefu ??? Au ile nadharia ya kwamba hakuna mshindi wa siku zote na biashara yenye boom wakati wowote imeanza kupata uhalisia ??
Chonde chonde msinipovushe...900 tu inapendezaaa 🙂🙂
![]()
Forex is real.Mkuu hizi picha zenu ndo zinaleta maswali.Wajumbe hawaelewiiii.Afu ni kama mnazirudia rudia hivi.Anyway I know fx is real but you guys are fishy.
Aliyekwambia FOREX ni uwekezaji mpya ni mchawi..Forex ipo kabla ya Uhuru wa TZ na itakuwepo mpaka kiama..
Wakati mwingine siyo kila kitu uletewe mrejesho...nakushauri uingie google utafaute forex ina muda gani duniani...
Alichofanya ontario ni kuipitishia JF lakini hata kabla ya ontario watu hapa Tz walikuwa wanafanya.Haitaji mihemuko nk.Ile ni shule kama kutafuta degree.
kama una dollar zako 500 huwezi kosa milioni 2 kwa mwezi. na mtaji ukabaki huo ndiyo ukweli
ukitaka mambo ya haraka haraka,ukafungua lot size ya kuanzia ~0.1~ na uendelea kwa dollar chini ya elfu 2 utaisoma namba
Nenda instagram search tmt_fan_page huko ndio wanatoa updatesnimeulia humu dar au moro darasa litakuwa lini tena? naomba nijibiwe tafadhali
Nenda instagram search tmt_fan_page huko ndio wanatoa updates
Kwaiyo wewe kila Thread humu unasoma sio? hongera na nahisi kama unavyosema mimi mvivu wewe usiye mvivu wa kusoma utakua unajua kila kitu.Ukiwa mvivu wa kusoma utajuaje km umeiona humu si ungesoma ili uifahamu!