Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?


Bravo [emoji122] sana!!mm binafsi siku zote katika sela za kutafta maisha naamini sana kufanya kitu ambacho kinaogopewa n wengi hasa cha kuinua uchumi wangu!!huwa sibabaishwi kabisa.
Na mpk sasa kuna jambo la kiuchumi nilishauliana n wadau wengi walisanda n kunicheka lakini saizi hao hao wanataka kua patina.na wamejalibu kukopi mambo bado wakati mm mpk sasa niko kwenye game miaka 2 kwa matunda safi.
Na pia ww usiangaike n watu wasio subutu n kuomba mirejesho hapa ww piga pesa kimya kimya tu. Pia hapa jf kunawakatishaji tamaa wengi mno mpk mtu unaogopa kushea mambo makubwa y kiuchumi.
Ndio mwisho wa siku unaona bola tupige soga tu ila mapambano y kiuchumi ya fanyike kimya kimya.
All the best amigo
Kukata tamaa marufuku kabisa mkuu
 
Sio kwamba mirejesho hakuna...watu wako busy kweny group za forex...ukitaka kuona mrejesho tafuta grup za TMT au darforex utaelewa..binafsi hata uzi wa forex siufatilii sana mana kila kitu kweny group kinamalzwa...pia nilisha post screenshot za miamala ya mpesa humu...forex inalipa mbona..ila ni kwa wale tu wenye patients.
 
Forex ni nzuri ila akili za wengi ni ndogo sana ONTARIO anafaya vizuri sema watanzania wengi ni wajinga na wanafata upepo
Unakuta jitu linafeli lenyewe afu lawama kuwa limetapeliwa
 
Yani the way niko busy na forex najikuta hata jf sina time ya kuingia kama zamani


Ýyn
 
Do ile kitu achana nayo niblow account Mara 2, Invest the money you van afford to lose
Mkuu ku blow account ni kawaida...forex trader mzur anajifunza kitu pale anapo blow account...anyway hukuwa na risk management had account uchome yote? Pia hapo ndio kweny somo la sikolojia.
 
Kwel mkuu yani hata mtaan unajikuta adimu..
Do ile kitu achana nayo niblow account Mara 2, Invest the money you van afford to lose
Mkuu ku blow account ni kawaida...forex trader mzur anajifunza kitu pale anapo blow account...anyway hukuwa na risk management had account uchome yote? Pia hapo ndio kweny somo la sikolojia.
Yani the way niko busy na forex najikuta hata jf sina time ya kuingia kama zamani


Ýyn
 

Aliyekwambia FOREX ni uwekezaji mpya ni mchawi..Forex ipo kabla ya Uhuru wa TZ na itakuwepo mpaka kiama..

Wakati mwingine siyo kila kitu uletewe mrejesho...nakushauri uingie google utafaute forex ina muda gani duniani...

Alichofanya ontario ni kuipitishia JF lakini hata kabla ya ontario watu hapa Tz walikuwa wanafanya.Haitaji mihemuko nk.Ile ni shule kama kutafuta degree.

kama una dollar zako 500 huwezi kosa milioni 2 kwa mwezi. na mtaji ukabaki huo ndiyo ukweli

ukitaka mambo ya haraka haraka,ukafungua lot size ya kuanzia 0.1 na uendelea kwa dollar chini ya elfu 2 utaisoma namba
 
mkuu watu wanatoa mrejesho kwenye makundi yao ya whatsapp
 
Nadhani Forex Trading japo ni biashara..wengi wanaifanya ionekane kama ni Mpya..na Luna pesa nyingi na bure tu... Msiache kazi eti muwe forex traders...

Nadha safely ...maximum amount of money unaweza pata kama returns inaweza kufikia 30%(ROI) otherwise watu wasingeweka pesa benki zikae tu kwa interest ya chini ya 10% (Anually) wakapate 200%-300% zinazohubiriwa...na traders wetu...

Hii ni biashara nyemelezi, inategemea uchumi steady ndani ya nchi kuongeza mzunguko..kwanza.. Na wanaopiga pesa ni Brocker yeye anakuhubiria faida za ajabu... Ili nyote mpeleke pesa kwake (compounding). Anakuza volume of trade yake kwa commissions (spread) ndogo ndogo.. Kwanini anayejua anafocus na pesa ndogo...halafu anapush expectations kubwa kwa mtu Wa mwisho?!

Maswali kama haya ukiuliza unaanza kuwekwa kando..sio kondoo utawasumbua... Wanaopiga ni wale mabrocker na wanaofaidika zaidi ni wenye mitaji mikubwa kama mabenki, hedge funds ambayo yanatrade billions in return kwao.hata kama pato no cents it will be significant... Sasa mid nayengoja mpaka a lucrative position ..ya at least shilling 1 au 2 ndio niexcute na mtaji Wa 500$ ...anyways nawatakia mafanikio..
 
 
Watu wako busy wanasoma vitabu na kufanya analysis, pia magroup ya forex ni mengi kuanzia whatsap mpaka telegram kwahiyo hakuna haja ya kuanzisha thread mpya kila siku jf.
Hakuna biashara ambayo haina uwekezaji, watu wamewekeza mamilioni kwenye biashara mbalimbali na bado zimekufa lakin hawaachi kutafuta mitaji na kuanza upya, leo kusoma forex kwa 130,000/= mtu anasema unaibiwa sijui alitegemea ufundishwe kwa shilingi ngapi?

Shida iliyopo watanzania hatueleweki, watu walikuwa wanaleta screenshot za faida watu wakaanza kusema "ukiona biashara inatangazwa sana jua ni utapeli" wazee wa forex wameamua kukaa kimya na kufanya yao, watu mmeanza kuoji "mbona hatupati mrejesho" so what do you want exactly?
Mi nashauri kama unatakiwa ujitathmini kama unaweza kupata 130,000/= na kufundishwa kulingana na mahitaji yako it is fine, au kama unaweza soma mwenyewe vitabu na kuelewa pia it is fine. Mwisho siku haulazimishwi kufungua akaunti kwa broker usiyemuhitaji, soma, fungua akaunti ya demo bureeeee, jitathmini hata kwa miaka mitano ukitaka, ukiona unaweza fungua real akaunt, ukiona hauwezi achana na forex fanya ishu nyingine.
 
nimeulia humu dar au moro darasa litakuwa lini tena? naomba nijibiwe tafadhali
 
Ukiwa mvivu wa kusoma utajuaje km umeiona humu si ungesoma ili uifahamu!
Kwaiyo wewe kila Thread humu unasoma sio? hongera na nahisi kama unavyosema mimi mvivu wewe usiye mvivu wa kusoma utakua unajua kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…