Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

Huwezi jua forex kwa kutegemea kuiona mirejesho jamii forums ya wanaofanya fx.

Kama unania ya kuifahami,soma na ufanyie mazoezi uone kama itakufaa, si rahisi ila inawezekana ukijitoa.

Binafsi nafanya fx na neandelea vizuri ila sitaleta mrejesho,ndugu zangu wataona matokeo.

Sikushauri uingie ktk Fx kama hauko positive na hupendi kukutana na changamoto.

You need to have' ball of steel'
 
Sasa wote wakiwa kwenye Forex trading hivi ni nani ataezunguka na bahasha ya kaki kutafuta kazi sio lazma wote tutoboe kwa njia moja wengine tafuteni Ajira tukija kwenye maofisi yenu mtutambie mtuombe rushwa safi tu na wengine tafuteni biashara hata za vyakula ili tuje kula maana Forex haipandi n ukiwa na njaa.
Nakuja jamani naenda kuangalia calendar maana wiki hii ni fundamental news kibao
 
Halafu hakopeshi mafunzo yake ili wakati mnakula kozi ukipata faida unalipa chake hapo hapo darasani
 
Unataka mrejesho wa nini.? Kama hujawahi amini proof mirejesho iliyopata kuletwa, basi hata ukiwekewa screenshots 1000 za ushahidi hutoamini.

Ila kaa ukijua forex kuna loss na profit, kupata ni kugusa tuu. Binafsi yangu kuna siku nishapata loss ya karibu 1500USD. Kuhusu faida nishapata faida mpaka sasa kuzidi hiyo.

The game is real. Jua tuu hivyo.
 
izi ndo akili za waTz wengi
yaan una beza foreign exchange trading kwa Mayai ya Kware!!??

Endeleeni kuwaza iv iv ukija kushtuka usingizini ndo utaelewa

Waambie kama ni wasomaji, waende wakachukue balance sheets za mabenki eg CRDB kisha wasome. Watashangaa kukuta forex ndo inaingizia pesa nyingi benki kuliko hata mikopo ya riba.
 
Halafu hakopeshi mafunzo yake ili wakati mnakula kozi ukipata faida unalipa chake hapo hapo darasani
Acha kuongea vitu usivyokuwa na uhakika navyo humu JF kuna jamaa alianzisha Uzi wa kuomba msaada wa ada ya mafunzo akalipie coz ya Dar es salaam kabla hawajaenda mikoani Ontario alimpa ofa ya kusoma bure Forex bila malipo sio kukopeshwa tu jamaa anajari shida za mtu kama upo interested na Forex ni mtu wa kujitolea sana.
 
Ukiingia Forex na ukaanza kutrade live huwez kupata mda wa mwing wa kuja huku JF, even kulala. Mtu unawaza PIPS tu and people are making a lot of money.

And by the way, now kuna magroup ya watsapp for which kila siku watu wanatuma screenshots. We kaaga tu huku kutaka mrejesho
 
Pole mnaotaka mirejesho kama una moyo mgumu si lazimaaaaaa wakati unasumbuliwa hela ya kodi hatuagi wawili # Let PIPS pays our bills
 
Mbona mnatoka povu lakini ??mdau kauliza tu kuwa mbona hamleti mirejesho kama awali...embu eleweni swali LA msingi.Nina mashaka kama hata hizo trade mnafanya wenyewe au mnaiga kwa mentor !
 
Mbona mnatoka povu lakini ??mdau kauliza tu kuwa mbona hamleti mirejesho kama awali...embu eleweni swali LA msingi.Nina mashaka kama hata hizo trade mnafanya wenyewe au mnaiga kwa mentor !
Swala ni kupata profit au hujui kama signal zinauzwa sa nin cha ajabu hapo
 
"Really business doesn't need mrejesho[emoji23]"
[emoji419]Ponzi scheme,kama deci or D9 inataka mrejesho to scam other fake investor YES mrejesho muhimu.
[emoji419]Betting&BIKO inataka mrejesho YES ili mlokataa tamaa kubet muuamke tena YES apo mrejesho muhimu sana!

Forex it's how you difine it,akili yako mwenyewe ikuongoze kama ni Gambling YES kama ni Business YES it's upon you.
We subiri no dewji,mengi,bakrhesi..na vizito wengine wakupe mrejesho
N.BπŸ˜€on't insult my intelligence.
 
Mbona mnatoka povu lakini ??mdau kauliza tu kuwa mbona hamleti mirejesho kama awali...embu eleweni swali LA msingi.Nina mashaka kama hata hizo trade mnafanya wenyewe au mnaiga kwa mentor !
Ungemruhusu mke wako aje apate elimu ya forex kwani tunaamini ukitoa "Elimu kwa mwanamke mmoja nae atatoa elimu aliyoipata Kuanzia ndani ya nyumba na kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…