Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

Nimefuatilia kwa kiasi sio sana , kuhusu forex na Biashara nyingine za fedha, bitcoin, one coin and crypocurrency , kwa ugunduzi mdogo nimeona forex na Biashara hizi zina networking marketing ndani yake ambayo SIJAWAHI KIUBALI TANGIA NILIPOZALIWA
Pole sana kwa mawazo mgando...kafanye utafit upya naona unafananisha forex na forever living au d9
 
KILA MTU YUKO BIZE KUCHAMBUA TRADE SYSTEM AMBAYO ANAONA KWAKE ITAKUWA PROFITABLE SASA HUO MUDA WA KUANZA KULETA MIREJESHO HUMU JF UTAUPATA WAPI???...
 
Forex ni mtaji unaona huyo Jamaa ana balance ya million 9 na kuendelea so with no capital business is very dificult
 
Bado sijaenda kwa ontario training lakini nimesoma kwa miezi mi4 na demo juu. Na nimeingia live, forex is real faida ipo na hasara ipo... Kuna siku naweza ingiza hata usd100 na kuna siku naweza kupata loss pia, na ndo changamoto zenyewe sasa sijajua unataka mirejesho ya nini watu wanapambana ndo mana hawapost..
Na sioni ulazima wa kupost anaeamini aamini na asieamini pia ni vizuri.

Nadhani pia kuna group nyingi za telegram na watsup so huko ndio watu wana discuss mambo mengi ya forex na kufundishana pia so labda wako na muda mchache sana wa kuja huku.
 
ni kweli hii ni biashara ya akili kubwa,watu kama mimi hii kitu kwangu imekua mteremko,mpk sasa nimesoma vitabu 8 vya forex,nimesoma articles 56,nimesikiliza youtube kibao kutoka kwa website bora zaidi duniani,nimepiga 1 week training,nimepata quality education,nimeielewa ins and out na sasa nipo kwenye mentorship na mentor bora zaidi,MR CRE na sasa nimeanza kua mtaalamu.soon nami nitakua mwalimu wa wengine.ninasoma sana.
Hii kitu ukiimaster utakua unapiga pesa,ila inahitaji uinvest time kupata elimu yake na kujifunza zaidi,Forex is simple.
TMT
Utakuwa umemsahau mwalimu mwingine anayeitwa Rea aliyekufundisha price actions [emoji23] [emoji23]
 
Hiki kitu mi roho yangu inagomaga asee sijui kwanini!?

Mi navyopenda hela but kwa Forex imegoma! Sitaki hela through forex[emoji15]
Shida yako utakuwa mvivu uliyezoea pesa bila struggles zozote..!

We jitafutie libwana la kisukuma likiuza ng'ombe wewe unalamba bingo..! Kazi za kina Lara1 chagga girl..
 
[emoji124][emoji124][emoji124]. Kila mtu ajue kichaka chake cha kula majani.
 
Shida yako utakuwa mvivu uliyezoea pesa bila struggles zozote..!

We jitafutie libwana la kisukuma likiuza ng'ombe wewe unalamba bingo..! Kazi za kina Lara1 chagga girl..
Kwa hiyo we unanijua kuliko navyojijua?

Unafikiri wote tunawaza mabwana kama wewe?

Next time kama huna cha maana acha kujikotisha sawa?...shame on you!
 
Sasa wote wakiwa kwenye Forex trading hivi ni nani ataezunguka na bahasha ya kaki kutafuta kazi sio lazma wote tutoboe kwa njia moja wengine tafuteni Ajira tukija kwenye maofisi yenu mtutambie mtuombe rushwa safi tu na wengine tafuteni biashara hata za vyakula ili tuje kula maana Forex haipandi n ukiwa na njaa.
Nakuja jamani naenda kuangalia calendar maana wiki hii ni fundamental news kibao
Wewe apo utazunguka halafu wengine wanadownload hela mkuu
 
who can mention a nice broker wengine wajaribu kujiunga kwa broker mzuri kwa upande wa forex
 
ADA YA USHIRIKI ILIKUWA

65,000*300 STUDENTS

IKAJA MIKOANI NA KWA MUJIBU WA ONTARIO AMEWAFUNDISHA WATU 1000

KWA ADA YA MWANZO AMEKUSANYA M. 65

YEYE FOREX HACHEZI.
Hapa ndipo mahali pekee ninaona fursa katika mchezo mzima wa forex.. Huko kwingine kote ujanja ujanja tu.
 
Sio kwamba mirejesho hakuna...watu wako busy kweny group za forex...ukitaka kuona mrejesho tafuta grup za TMT au darforex utaelewa..binafsi hata uzi wa forex siufatilii sana mana kila kitu kweny group kinamalzwa...pia nilisha post screenshot za miamala ya mpesa humu...forex inalipa mbona..ila ni kwa wale tu wenye patients.
Watu wenye patients ni watu gani hao ?
 
Back
Top Bottom