Forex ni Aviator Game kwa 100%

Forex ni Aviator Game kwa 100%

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,734
Reaction score
1,709
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.

Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.

Kivipi inampa faida..

Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.

WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.

Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.

Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
 
Siijui vizuri Forex lakini mzee umetupiga fix
 
usilinganishe forex na utumbo.
hivi unajua forex ndio inakufanya leo kujua pesa za kigeni zinakwendaje na mambo mengine.
kama ufahamu ni bora kujamba kisha ukatulia ndani
 
Mzee sizungumzii Forex kama The foreign exchange market Hapa, Ninachokizungumzia unakielewa ila unakaza Fuvu.
 
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.

Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.

Kivipi inampa faida..

Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.

WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.

Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.

Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
Huu ushuzi baridi wa kujadili forex mtaacha lini. Akili ndogo kama za kuku zinajadili fx?
 
Back
Top Bottom