Ben samwel
Member
- Jun 24, 2024
- 15
- 44
kile mnachofanya sio trading ni BETTING, kiutalaam zaidi inaitwa PERPETUAL CONTRACTS ama kwa kiswahili inaitwa mkeka, yournot buying anything pale or selling unaweka tu mkeka wako na broka anaweza kukuongezea ulichonunua hua mnaita LEVERAGE because itsnot real its just typed na haina uhusiano na real trading, but if you buy something via SPOT mfano ukinunua hisa pale DSE you have kua na exact amount ili uweze kupata share zako the same way ukinunua bitcoin unataka kuweka trust wallet but when it comes to forex you arent trading anything pale but just a couple of bets other places you can bet include DERIVATIVES mfano futures trading because itsnot real
kile mnachofanya sio trading ni BETTING, kiutalaam zaidi inaitwa PERPETUAL CONTRACTS ama kwa kiswahili inaitwa mkeka, yournot buying anything pale or selling unaweka tu mkeka wako na broka anaweza kukuongezea ulichonunua hua mnaita LEVERAGE because itsnot real its just typed na haina uhusiano na real trading, but if you buy something via SPOT mfano ukinunua hisa pale DSE you have kua na exact amount ili uweze kupata share zako the same way ukinunua bitcoin unataka kuweka trust wallet but when it comes to forex you arent trading anything pale but just a couple of bets other places you can bet include DERIVATIVES mfano futures trading because itsnot
Kama haya yote unayafaham bas umebakisha hatua chache kuielewa forex kidogo japo kiukwel hujaielewa...in forex hata ukiamua kufanya spot unaweza unaenda benk yoyote na dollar zako na kitambulisho cha nida wanakubadilishia hela unayotaka ndo maana katika kila benki kuna rate za kununua na kuuza mfano wananunua dola kwa 2500 labda alaf wanauza kwa 2550 hio ndo spot trading ya forex..sasa technologia imeshatoka huko sasa ivi kuna futures trading ambayo huitaji kwenda benki kununua na kuuza hela mtandaon unaziuza kupitia miamala ya simu kupitia kwa broker kama una dollar zako unaweza kutrade na kununua au kuuza EURO, Yen ya japan, dollar ya uswiss, pound ya uingereza na pesa nyingi duniani..na FOREX INAYOFANYWA MTANDAONI ndo soko kubwa lilipo kwasababu mtandaon hamna mipaka dunia nzima ina trade ila hio spot unafanya tu kwenye benk zilizo nchini kwako..Hata hio bitcoin unayoiongelea, ulishawah kwenda kununua bitcoin ukapewa mkononi, Je hayo makampuni makubwa Duniani kama Binance, coindesk, bybit, coin base, HTX, ambayo yanafanya biashara ya bitcoin, unadhani ni watu wanaamka asubuh na kubet, na kama wangekua wana bet bas wana bahati sana, Haya umeongelea DSE sasaivi yenyew hisa soko la DSM zipo online download application yao utrade hisa za hapa nchini...yaan unachoongelea ww ni kama kukataa kua BIASHARA YA FOREX AU SOKO LA FOREX HALIJAHAMIA MTANDAONI lakin kiuhalisia biashara zote na product zote za forex zina tradiwa mtandaonikile mnachofanya sio trading ni BETTING, kiutalaam zaidi inaitwa PERPETUAL CONTRACTS ama kwa kiswahili inaitwa mkeka, yournot buying anything pale or selling unaweka tu mkeka wako na broka anaweza kukuongezea ulichonunua hua mnaita LEVERAGE because itsnot real its just typed na haina uhusiano na real trading, but if you buy something via SPOT mfano ukinunua hisa pale DSE you have kua na exact amount ili uweze kupata share zako the same way ukinunua bitcoin unataka kuweka trust wallet but when it comes to forex you arent trading anything pale but just a couple of bets other places you can bet include DERIVATIVES mfano futures trading because itsnot real