B
mdogo wangu forex sio ujuzi msitake ionekane kma kitu serious, forex inatrediwa central banks pekee nje ya apo hakuna anaeweza kufanya trading ya currency kwa niaba ya nchi husika, unaweza kufanya biashara ya sarafu kama byuro de change but you cant trade forex hio haiwezekan na hakuna soko hilo, yaaani kwa lugha nyepesi unachofanya sio trading
najua unapenda watu waone unafanya kitu serious but uhalisia ndo huo, kinachokusumbua wewe ni ulipata elimu magumash
kingine hakuna mtu anaweza kutengeneza pesa kila mwezi kwa forex na haiwezi tokea, kwa lugha nyepesi hakuna mtu anaishi kwa forex unless unafundisha ama uko na broka unamtafutia wateja ama unauza bot
the best u can do ni kama unafanya HFT apart from that unapoteza mda
Bro unaweza ukafungua akaunti even demo nisipoipata iyo 1% monthly tubeti? Ama tubeti nini labda useme wewe ,Kama vipi fungua live account either cfd brokerage or real live market of either stocks,futures and options.
Labda Kuna namna hii kitu imekufanya.
Namie nilikuwa Kama wewe.
Sasa nikuulize kwani unaponunua live gold yaani Ile unamiliki gold ama hisa za apple na huyu anayebeti price kwani profit so wote mnapata sawa ama hasara Mana na Yule Naye aliyeko live real market anategemea Bei ipande ama ishuke ,Mana unaweza ukakopa hisa katika soko halisi na ukaziuza sio lazima uzimiliki.
Kuna prop firms zipo USA like T3, citadel, smb Capital,shenfeld ambazo zinachukua oda zako to various exchange Bodies like amex, CBoT, nasdaq na hii utasema kuwa sio biashara halisi Bali ni kubeti.
Sasa kwa taarifa yako Maisha yote na Kila kitu ni kubeti Kama unabisha niambie ni nini ambacho sio betting?
We can debate hapa Mana naona Kama huelewi ama unaona watu wote ni wajinga Ila wewe tu umekaa bot basi unajua mno.
Hisa za crdb saivi nauza tu mtandaoni na kununua hakuna haja kwenda kwa stock brokers physically ndio ninunue.
Sasa trading ni both selling and buying on regular basis capitalizing on price fluctuations Bali investing ni long term plan holding of shares /stocks of a company with hoping kuwa itapanda kithamani uuze ,upate gawio. Mwaka 2019 tu hapa Dola ilikuwa 2280 saivi Iko 2650 so Kama mtu angenunua Dola kadhaa akazihifadhi Halafu saivi akaziuza ili apewe shilingi zake back so angepata zile zile hela?
Mtu anayenunua Mchele anatunza ili upande auze akamate hela zake so sio trading hiyo ama unaona anacheza cheza.
Your mindset is so fixed and ego is driving you highly.
Niambie proprietary trading firms,stocks brokers zilizoko USA like 624,000 kwa USA nzima zinafanyeje mkuu hizo.
Mie naomba tubeti fungua akaunti weka investor password hapa Kila mtu acheki Kama iyo 1% haitopatikana. Kwanza mie nakutafutia Tano kwa miezi mitatu mfululizo.
Trading ni ngumu na wengi mno wasioiamini Mana walishindwa kumeki hela.
I can say that both trading skills and capital needed to make money for living isn't an easy shit to acquire like buttocks that are owned by anyone.
Fungua akaunti Kama vipi fungua akaunti kwa interactive brokers Mana huyu ni broker mkubwa like Ameritrade, e Schwab, fidelity ambao unaweza fungua akaunti ya proprietary trading fund managers.
Unaweza ukaseti ama unamwambia aka limit lowest or maximum drawdown ukampatia mtu ama watu wakapiga kazi.