Forex ni Aviator Game kwa 100%

Forex ni Aviator Game kwa 100%

Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.

Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.

Kivipi inampa faida..

Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.

WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.

Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.

Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
How can aviator be influenced by the fundamental factors.?
 
prices on the markets arent influenced directly by fundamentals or technicals, any price you see is derived by amount of transactions done in that day, for example you might get postive news about a pair but central banks and normal banks on that day have opposite orders to fill, example you might have news such as Tanzania economy has seen sharp rise however there might be citizens who want to buy cars outide the country so they sell tsh to get usd and hence u dont see any rise on tsh, all these fundamentals, sentimental, technical they are non sense brought by brokers and make people dumb
 
Sijawahi kuona mtu hana maarifa kama wewe! Kakae ufundishwe forex vzuri ndo uje na huu uongo wako maana ata wanaokuuliza wenyewe wanashangaa unajibu nini
 
Siijui vizuri Forex lakini mzee umetupiga fix
Kasema ukweli ila alipokosea ni kwamba aviator ili mtu apate hela nyingi unatakiwa watu waliotoa hela wawe karibu wote ndio ile ndege huwa ina kaa kaa, na pia inategemea sababu ile ni system, iko programmed na if else conditions, "if no body has drawn and odds is 1.4 and people have placed a lot of money, disappear" if else "some have drawn and there is still active bets with people remaining and we can still make profit, disappear", if else "mpege disappear ikiwa odds 1", else " mpege kaa kaa watu karibia wote wamewithdraw sasa ruka hadi odds 300 kuwaaminisha watu kuwa last round waliwahi kutoa hela " hiyo loop itatembea humo humo mpaka watu waliwe hela zote...
 
Sijawahi kuona mtu hana maarifa kama wewe! Kakae ufundishwe forex vzuri ndo uje na huu uongo wako maana ata wanaokuuliza wenyewe wanashangaa unajibu nini
skulazimishi ufuate nachoelezea, pia kama hujawahi gusa ex chequers zozote basi hujawahi kufanya forex, if all you know ni brokers basi ile sio forex ni gambling, tunaweza kua na mitazamo tafauti because tunatotokea angle tafauti wewe unahisi gambling ndo forex na hujawahi kuiona forex halisi so tutaishia kubishana
 
Mkuu hawa jamaa wa forex hawajawahi kuelewa kwamba wanachofanya ni ujinga nahisi zile charts ni madawa ya kulevya, kila nikipata mshkaji alaf akaanza story za forex huwa namkimbia na akili zao wote huwa zinafanana plus story za mafanikio ambayo unaona mtu anayeongea hana dalili za kuwa na hayo mafanikio
🤣🤣 wanajionaga watu flani hivi wa maana sana kumbe ni sawa tu na wajamaa wa Aviator...
 
skulazimishi ufuate nachoelezea, pia kama hujawahi gusa ex chequers zozote basi hujawahi kufanya forex, if all you know ni brokers basi ile sio forex ni gambling, tunaweza kua na mitazamo tafauti because tunatotokea angle tafauti wewe unahisi gambling ndo forex na hujawahi kuiona forex halisi so tutaishia kubishana
Ni sawa na wanaobet kwenye Virtual Football kwamba mkishabet hela zenu kamfumo kwanza kanapiga hesabu katoe matokeo gani ili walaji wawe wenye jumla ndogo.....
 
Hizi platforms za kutengeneza pesa haraka haraka inatakiwa uende kwa kituo at your own risk.
Usichukue hela ya mkopo,mchango,harusi,ada unatrade.
Kila mmiliki wa app yupo kukuumiza wewe atengeneze pesa.
Pana app ya LBL naona soon watalia
 
prices on the markets arent influenced directly by fundamentals or technicals, any price you see is derived by amount of transactions done in that day, for example you might get postive news about a pair but central banks and normal banks on that day have opposite orders to fill, example you might have news such as Tanzania economy has seen sharp rise however there might be citizens who want to buy cars outide the country so they sell tsh to get usd and hence u dont see any rise on tsh, all these fundamentals, sentimental, technical they are non sense brought by brokers and make people dumb
If those factors are nonsense, then how do the stuffs (news) like elections, NFP, CPI, Geopolitical factors, quantitative easing, Seasonal demands of precious metals and other factors influence the massive movement of prices in real time.?
 
Basi naona umelinganisha Forex trading na Aviator Game kweli wewe ujui hivi unajua Bank zote usiku kuna biashara za Forex zinafanyika wa kitrade huko duniani?? utalinganishaji na Aviator basi naomba PI NETWORK
 
Aviator Game inatomia software ya Spribe ambayo inatumia RNG (Random Numbers Generator). Ambayo imekuwa scientifically proven and licenced globally. Kwahiyo ukichagua a specific odd of cashing out, (e.g 3) then ukaitumia Fibonacci Sequence, na ukawa na mtaji of at least 1M, then chances of winning is far much bigger than kwenye Forex
 
If those factors are nonsense, then how do the stuffs (news) like elections, NFP, CPI, Geopolitical factors, quantitative easing, Seasonal demands of precious metals and other factors influence the massive movement of prices in real time.?
Transactions!
 
Basi naona umelinganisha Forex trading na Aviator Game kweli wewe ujui hivi unajua Bank zote usiku kuna biashara za Forex zinafanyika wa kitrade huko duniani?? utalinganishaji na Aviator basi naomba PI NETWORK
bank hawatrade forex wanafanya biashara ya forex
 
Embu tueleze maana ya trade,

Kisha tueleze maana ya kufanya biashara ya forex.
biashara ya forex ni kama byuro de change, unanunua dola tsh 2500 unauzia raia 2600, trading unanunua dola ikiwa low unaiuza ikiwa high ama unauza ikiwa high na kununua ikiwa low
 
Sasa hapo tofauti ni Nini?
 
Back
Top Bottom