Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.
Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.
Huku kubet mechi chache, huku stop loss.
Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.
Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.
NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.
Forex ni betting iyoch.
Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.
Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.