Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Wewe kitu gan kina uhakika 100% waambie vijana wafanye wawe mabilionea
Wewe kama ujui FOREX kaa pemben achana na vitu ambavyo uvijui
Unaumia nini
 
Maana halisi ya hivyo vitu viwili kwa uchache ni

Forex trading is a generally regarded as a real business, as it is a form of investment similar to stock trading (but in forex, you trade in currencies rather than stocks).

Sports betting is not generally regarded as a serious business, as it is a form of gambling. Besides, it’s just a form of entertainment in which your fortunes are decided by the outcome of a match.
 
Huwezi kua millionaire kwa kutrade forex never never never never never never never never never never never never never never.
ID yako yenyewe inaonyesha wazi ulishajichokea maisha hivyo huo ushauri wako kaa nao mwenyewe tu. Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa kidogo. We unataka kula tu kila wakati hakuna kitu kama hicho hapa duniani. Niambie ni kazi gani ambayo ukifanya wewe kila siku ni kupata tu.
 
Kuna msemo una sema hivi " FUNDI ASIYE NA UJUZI ULAUMU VYOMBO VYAKE MWENYEWE" hali kadhalika Forex trader asiye na ujuzi huilaumu Forex!
Watu wanapambana ata winning percentage ikiwa ni 0.01%

Cha msingi tu watu wapewa tahadhari kwamba forex ni ngumu inahitaji knowledge kubwa, na sio kukatisha watu tamaa kama mtoa mada.
 
Kuna siku nilisema forex ni kamari watu wakaniona nimechanganyikiwa.
Niambie ambacho sio kamari hapa duniani ndugu. Unasoma mpaka chuo si ni kamari una uhakika gani kuwa utamaliza chuo ama uta secure job kwa hizo efforts zako. Unaoa una uhakika mkeo atazaa kweli. Hata unalima una uhakika gani jua ama mvua zitakuwepo zote.

Unafungua duka how much are sure kuwa wateja. Unaposafiri una uhakika gani kama utafika mbele ya safari yako ndugu na kurudi salama. Kuna watu wananunua Gari tokea dar wanaileta Mza ama Tarime ila injini inakufa njiani sio kamari hizo. Ngoja tu nikuache.
 
Back
Top Bottom