Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliza. Kuhusu utajiri ebu tueleze ni biashara gani ambayo utafanya uwe tajiri fasta fasta hata kwa miaka 5?Sawah mkuu we unajua forex vizur nikuuz kidogo
Wewe ni 5/1000 yaan wachache sana waliobahatika lkn msininukuu vibaya cjasema forex haina ila ila nmesema ni kama gambling tu coz any second market inaweza changeBetting + forex toka nimalize chuo 2019 nimeweza kukusanya zaidi ya million 20 ,mwana jamii forum humu alinisaidia fremu sababu nilikuwa na pesa nikafungua biashara ambayo naifanya mpaka muda huu
Na huu ndio utofauti wa gambling na biashara zngne wakuu gambling hailindi mtaji any time unaweza rudi zero bt biashara na ngumu kidogoAdvantage ya biashara hizi za kawaida zinalinda sana mtaji now naweza hata kuoa
Hakuna biashara ya hivyo isipo kuwa biashara official znalinda mtaji lkn hz gemu zetu hazilindi mtaji ndo maana ukaamua ufungue biashara nasema uongo ndugu zanguWewe uliza. Kuhusu utajiri ebu tueleze ni biashara gani ambayo utafanya uwe tajiri fasta fasta hata kwa miaka 5?
Unaninukuu vibaya cjasema haina profit ila nmesema ni gambling cjuw unanpataSasa kama huamini kama huwezi kutoboa kwenye fx bado unatrade ili iweje? Huoni kwamba unapoteza muda wako heri utafute njia nyingine mapema kabisa ambayo unajua ni straight forward full kutoboa? Ni unafiki mkubwa sana kufanya jambo usiloliamini maishani mwako!
Kutokana na kauli yako hii nimeshajua wewe ni mtu wa aina gani kwenye trading. Kwa hiyo kwenye fx ukiweka tu position hata moja tu na ina mtaji wa dolla 1000 basi tayari ulishachoma akaunti? Kama ndiyo basi endelea tu na maisha mengine forex siyo wito wako wa maisha. Forex inkupa nafasi ya wewe kuamua unataka kupoteza kiasi gani mtaji wako kama mambo yakienda kinyume. Niambie ni biashara gani ya kawaida ambaye inakupa hiyo option ya kupata hasara! TATIZO HUWA HATUTAKI KUONA KWAMBA SISI NDIO TUNA MATATIZO ILA TUNATAFUTA VISINGIZIO ILI KUJIFURAHISHA NAFSI.Na huu ndio utofauti wa gambling na biashara zngne wakuu gambling hailindi mtaji any time unaweza rudi zero bt biashara na ngumu kidogo
Ndio hebu nioneshe millionaire anayetrade tu (in USDUna uhakika?????
Uncle TedNdio hebu nioneshe millionaire anayetrade tu (in USD)
Na huu ndio utofauti wa gambling na biashara zngne wakuu gambling hailindi mtaji any time unaweza rudi zero bt biashara na ngumu kidogo
Ww ndio unaifanya fx kama kamari unataka utajiri wa fasta dola 100 to 10,000 in short time lazima mtaji upoteze.Return ya asilimia 20 to 30 kwa mwezi in forex is very possible,mtaji wa dola 100 kwa mwezi kutengeneza profit ya dola 30 ni easy kabisa.Na huu ndio utofauti wa gambling na biashara zngne wakuu gambling hailindi mtaji any time unaweza rudi zero bt biashara na ngumu kidogo
Knowledge yako in forex bado ndogo sana hujui unachokifanya.Pesa inajitangaza mkuu we ukipiga mabilioni fx tutajua tu by the way nafanya forex na ntaendelea kufanya nilianza na mtaji wa 200$ na sasa nna 430$ lakini bado nadilik kusema fx iz like a gambling tu na sio rahisi kutoboa kwayo over
Sawa mtalaam Njiroo ile Marcedes Benz class G uloagiza kutokana na ubobezi wa forex isha fika au nikupe muda kidogo.Knowledge yako in forex bado ndogo sana hujui unachokifanya.
Forex sio gambling ila uwezekano wa kuifanya kama gambling upo, nanimesha gamble kwenye forex sana hadi nikapata mtajiUnaninukuu vibaya cjasema haina profit ila nmesema ni gambling cjuw unanpata
Unafikiri mimi siijui hiyo stop loss mkuu au sijua kukakulate ni kiasi gani ni risk sioKutokana na kauli yako hii nimeshajua wewe ni mtu wa aina gani kwenye trading. Kwa hiyo kwenye fx ukiweka tu position hata moja tu na ina mtaji wa dolla 1000 basi tayari ulishachoma akaunti? Kama ndiyo basi endelea tu na maisha mengine forex siyo wito wako wa maisha. Forex inkupa nafasi ya wewe kuamua unataka kupoteza kiasi gani mtaji wako kama mambo yakienda kinyume. Niambie ni biashara gani ya kawaida ambaye inakupa hiyo option ya kupata hasara! TATIZO HUWA HATUTAKI KUONA KWAMBA SISI NDIO TUNA MATATIZO ILA TUNATAFUTA VISINGIZIO ILI KUJIFURAHISHA NAFSI.
Apo ndo mnapofeli vijana you think forex is all about making quicky and easy money and go buy super cars and eating lunch in Dubai while flexing on instagram hahahahahaSawa mtalaam Njiroo ile Marcedes Benz class G uloagiza kutokana na ubobezi wa forex isha fika au nikupe muda kidogo
Kumbe forex is all about what??? MkuuApo ndo mnapofeli vijana you think forex is all about making quicky and easy money and go buy super cars and eating lunch in Dubai while flexing on instagram hahahahaha