Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Risk to reward ratio kwenye mpira hauwezi kumnufaisha mtu anaye beti hata kidogo.

Kwenye soka hakuna afadhali. Kamwe!
Ahhh jmnn we mfano Mancity walivyofululuza clean sheet vile watu wangapi walipata?
 
Ahhh jmnn we mfano Mancity walivyofululuza clean sheet vile watu wangapi walipata?
Hata kama ungekuwa unabetia city tu kila wachezapo bado in long run usingeweza kunufaika kwa sababu ya risk to reward ratio.

Odds ya City to win mara nyingi inakuwa 1.29 mpaka 1.39. hapo ukiweka 10,000/= unashinda 3,900/= tu.

Kwa lugha nyingine una risk kikubwa ili upate kidogo.

Profit yake ni ndogo sana hata in long run.

Je ni nani anayeweza kumbetia City tu kila akicheza na asiongeze mechi nyingine ambayo kimahesabu inapunguza profitability rate?
 
Niko kwny short course ya betting baada ya kufanikiwa kupenda mpira[emoji28]
Bado sijui betting
 
Mi nafanya forex na nimemake faida japo so sana ila mtaji wangu umekua on somehow lakn nasema forex is gambling coz unaweza fanya analyis zote ujuazo na bado ukapigwa maana anytime any second soko lnabalika tuko sawa sawa mkuu
Vipi wale wakulima wa mpunga mwaka huu walifanya gamblinga? Maan walisubiri bei zipande mwezi wa pili nd wauze lakini hazijapanda
 
Sio kwamba hawatajiriki kwani stock exchange haiendi sawa na forex kwa uelewa wako? Maan Warren Buffet nd alikotajirikia. Sishauri kuhusu kamali ila top ten ya matajiri kuna mtu na mkewe ni gamblers wa kutupwa las vegas wanamiliki hadi macasino hapo hapo las vegas nlitatak nisahihishe 2 hapo
Wanamiliki sio wanacheza sawa sawa kabisa
 
Kwahyo kwann matajiri bado ni wachache tanzania? Huko kwingine nako watu wanafeli daily ila forex 2 n kwamba inatoa majibu hapo hapo na wakati ni biashara kubwa. Halafu unavosema kuwa forex hakuna wanaotajirika kwann liquidity yake kwa siku ni 10 trillion $+ per day nani anacontribute hicho kiasi au mpaka kila alietoboa akutangazie. Stock exchange na ubabe wake wote liquidity yake ni 700 b $ per day na nd anaefuatia hapo.
Hizi trilioni sio za mtu mmoja mmoja niza mabenki na mataifa mbalimbali we na dola zako 500$ kaa kwa kutulia
 
Sio kwamba hawatajiriki kwani stock exchange haiendi sawa na forex kwa uelewa wako? Maan Warren Buffet nd alikotajirikia. Sishauri kuhusu kamali ila top ten ya matajiri kuna mtu na mkewe ni gamblers wa kutupwa las vegas wanamiliki hadi macasino hapo hapo las vegas nlitatak nisahihishe 2 hapo
Buffet yuko kwe stock exchange sio forex mkuu
 
Bro forex is for smart people wasio na parapara ila wanasubira ya ukweli.

80% of forex is waiting and not trading. Kama imekushinda kalime matikiti.
Sawa kaka darubini endelea kudanload fedha usisahau kuja ktuinspire q vvd evidence
 
Wewe ni 5/1000 yaan wachache sana waliobahatika lkn msininukuu vibaya cjasema forex haina ila ila nmesema ni kama gambling tu coz any second market inaweza change
Sawa taja mabilionea bongo na bussiness zao tuwachambue ni wangapi wanfanya na wangapi wametoboa.
 
Hakuna biashara ya hivyo isipo kuwa biashara official znalinda mtaji lkn hz gemu zetu hazilindi mtaji ndo maana ukaamua ufungue biashara nasema uongo ndugu zangu
Kwann ukinunua mzigo wa nguo wa mtaji wako wote zisipouzika utalinda mtaji?
 
Forex sio kwamba ngumu ni kupoteza muda tu kama ilivyo betting. Mtu akikuambia betting haiwezi kukufanya utoboe kimaisha anakusaidia kutopoteza pesa zako na muda wako, sio lazima yeye akupe mchongo wa kazi.
Hawa watu wanao kwambia usitake risk sijui forex ngumu, ukisema uwasikilize ukawaombe mchongo wa kazi hakika wanakukimbia kama mzoga
 
Hizi trilioni sio za mtu mmoja mmoja niza mabenki na mataifa mbalimbali we na dola zako 500$ kaa kwa kutulia
Sawa wale mabank wanatoa wapi hizo ela maan mabank tunajua kazi yake ni biashara pia. Je hizo biashara wanafanya na nan?
 
Back
Top Bottom