Kaka forex ni ujanja sana kaka mi kuna jamaa yangu anaaminiwa na watu wanatoka mkoani kwenda kweny training zake ela anapata ila we acha tu akikosa training na gharama anavutia watu kuvaa visut ukinunua yu kiatu anataka kupiga nacho picha vizing kibaoKuna jamaa mmoja alikuwa anaonyesha watu screenshot ya ac yake ina 450,000usd lakini ametoka kufukuzwa kwenye nyumba(studio room) ya 200,000tsh/month..Mixer sijui anauza roboti sijui,ndo nikahitimisha kwenye Forex kuna uongo mwingi sana..lakini naamini wapo ambao wanafanya low-key..hawa wa kushowoff ni matapeli tu.