Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Sijasena eti hakuna faida faida na kwa sababu umepata faida basi eti itakuwa ni ya uhakika no forex is gambling coz market can change any second
Kasome upya, Kama umetrade forex kwa discipline two years plus huwezi sema eti gambling.

Forex is the game of psychology ukiimaster emotions zako umewin
Mtaji Siyo issue Sana Kama una knowledge sahihi hata dola 500 Ni pesa nyingi Sana.

Hakuna daily profit kwenye forex so Kama huwezi kukaa siku mbili tatu bila kutrade ukisubiria setup au kuacha profit zirun achana na forex

Kingine risk Management ndo kila kitu. Kama huzingatii hili lazima ufail. In short ukitaka kutajirika haraka katika biashara yoyote utafilisika
 
Kasome upya, Kama umetrade forex kwa discipline two years plus huwezi sema eti gambling.

Forex is the game of psychology ukiimaster emotions zako umewin
Mtaji Siyo issue Sana Kama una knowledge sahihi hata dola 500 Ni pesa nyingi Sana.

Hakuna daily profit kwenye forex so Kama huwezi kukaa siku mbili tatu bila kutrade ukisubiria setup au kuacha profit zirun achana na forex
U're success in forex plz
 
Sijasena eti hakuna faida faida na kwa sababu umepata faida basi eti itakuwa ni ya uhakika no forex is gambling coz market can change any second

Chochote ambacho kina change any second maana yake hakiko certain si ndio?

Kutokuwa Certain maana yake kutokuwa na uhakika si ndio.

Kwa hiyo kama mkulima akienda shambani kulima ili aje auze mazao naye bila shaka atakuwa anafanya gambling kwa sababu hana uhakika wa kupata mavuno ya kiasi anacho kitarajia.

Mkulima ni mcheza kamali.

Simple Logic.
 
Bado kuna tofauti kubwa kati ya gambling na real trade percentage ya kufail kweny gambling ni ni 80%
Percentage ya kufail kwenye forex ikiwa 80% unakuwa sio trader tena. Bali unakuwa gambler.

Real trader wana manage risk.
 
Percentage ya kufail kwenye forex ikiwa 80% unakuwa sio trader tena. Bali unakuwa gambler.

Real trader wana manage risk.
Sawa wanamanage risk lkn badob wako juu ya jiwe
 
Almost everything in life is gambling. Hata hiyo unayoita "outcome ya uhakika " inaweza kuwa gambling. Why? Kwa sababu unaweza tegemea kuipata na usiipate.
Vipi nawewe ushafanya/unafanya forex?
 
Sawa wanamanage risk lkn badob wako juu ya jiwe
A casino manages risk ndio maana hata mtu akishindwa milioni 900 bado wako katika upande wa faida kwa sababu odds ziko upande wao in long run.

Vivyo hivyo kwa good trader.

Sijawahi kukutana na good trader anaye manage risk asipate faida kwenye biashara in long run.

Wewe umebet kwa siku 2 tu alafu unaleta conclusion yako kuhusu forex.

"Law Of Attraction"
 
Uko sahihi
Soko la forex liko volatile sana

hata mpira una afadhali.,
Mtu kama ManCity unajua atafunga mara nyingi kuliko kufungwa
Risk to reward ratio kwenye mpira hauwezi kumnufaisha mtu anaye beti hata kidogo.

Kwenye soka hakuna afadhali. Kamwe!
 
Uko sahihi
Soko la forex liko volatile sana

hata mpira una afadhali.,
Mtu kama ManCity unajua atafunga mara nyingi kuliko kufungwa
Kwenye soka hakuna risk to reward ratio ya 1:12. Hata kama ikiwepo probability yake ni below 50%.

Kwenye forex unaweza pata risk to reward ratio ya 1:12 yenye robability ya zaidi ya 70%.

Betting haina afadhali.
 
Wapo waliotajirka kwa forex Ila bilionea wa forex hayupo ila mamilionea wap alaf nakkmbusha kama huna mtaji wa kueleweka forex aiseeeeee hii mi taji yetu ya dola 200$ kushka chini ayaa
Kwenye mtaji hapo niko na wewe kabisa!

Unajua kwanini kwenye forex mtaji mdogo kutoboa ni ngumu?

Kwasababu utakuwa una trade kwa presha sana na wakati mwingine trade zako zikipigwa stop lose mbili tu tayari unapanic.
 
Kitu ambacho hata mimi nitakubaliana hapa ni kwamba it takes money to make money (Unahitaji mtaji mkubwa kupata faida kubwa). Huwezi kuwa dolla millionare kwenye fx kwa mtaji wa dollar 1000 hadi 10000. Hata kama inawezekana basi itakuchukua miaka mingi sana na displine ya hali ya juu sana.
Sasa hiyo mkuu ni principles za biashara zote duniani!

Hata ukifungua duka huwezi kuwa sawa kifaida na mtu mwenye duka la mtaji wa milioni 10 wakati wewe una mtaji wa laki 4.

Hawa wanaolalamika ni wale wa mitaji ya dola 100.

Nilishasema siku nyingi huwezi kutoboa forex kwa mtaji wa kuunga unga.
 
Wapo waliotajirka kwa forex Ila bilionea wa forex hayupo ila mamilionea wap alaf nakkmbusha kama huna mtaji wa kueleweka forex aiseeeeee hii mi taji yetu ya dola 200$ kushka chini ayaa
Sio kwamba hawatajiriki kwani stock exchange haiendi sawa na forex kwa uelewa wako? Maan Warren Buffet nd alikotajirikia. Sishauri kuhusu kamali ila top ten ya matajiri kuna mtu na mkewe ni gamblers wa kutupwa las vegas wanamiliki hadi macasino hapo hapo las vegas nlitatak nisahihishe 2 hapo
 
Hapana gambling it means winning percentage ni ndogo mno wakati uko kwingine percentage ya kufall ndo inakuwa ndogo
Kwahyo kwann matajiri bado ni wachache tanzania? Huko kwingine nako watu wanafeli daily ila forex 2 n kwamba inatoa majibu hapo hapo na wakati ni biashara kubwa. Halafu unavosema kuwa forex hakuna wanaotajirika kwann liquidity yake kwa siku ni 10 trillion $+ per day nani anacontribute hicho kiasi au mpaka kila alietoboa akutangazie. Stock exchange na ubabe wake wote liquidity yake ni 700 b $ per day na nd anaefuatia hapo.
 
Back
Top Bottom