Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Wakuu Heb twende taratibu...tatika forbes list ya 100 billionaire ni yupi kati yao ni tajiri wa forex..heb tuanzie hapo tafadhali.
Forex ni Hustle sio Business Portfolio.

Most of Smart successful Trader wana Hustle kutengeneneza mtaji kupitia Forex then Wana Start Business/Portifolio...

Usitegemee kuona Billionaire wa Forex tegemea if you go deep down utaona Multimillionaire kibao ambao wame Rise mtaji wao kwenye Forex na kuwekeza kwenye Biashara zinazowapa Millionaire/Billionaire.

NB: kabla ya kutengeneza u Billionaire kumbuka itakuitaji mtaji mkubwa sana kuanza safari yako.

Kuna successful trader mmoja maarufu hapa Tz ukiwa na akili ndogo utazani yeye ni FX tu ndio maisha yake kuna kitu kikubwa anakikuza FX hustling zake za kutengeneza constant capital.
 
Kuna anayemjua Richard Dennis alianza na mtaji was cola ngapi na aliweza kufikia kiasi gani. Ishu no kuwa hakuna f
Kanuni kwa kila kitu ishu no akili yako. Ukiwezacho ndo ukipatacho and you can't go beyond your thoughts or imagination
 
Sawa mkuu nsha fanya hivyo
Nimekupa signo ya ku buy EUR/USD
Kuna anayemjua Richard Dennis alianza na mtaji was cola ngapi na aliweza kufikia kiasi gani. Ishu no kuwa hakuna f
Kanuni kwa kila kitu ishu no akili yako. Ukiwezacho ndo ukipatacho and you can't go beyond your thoughts or imagination
Achana na mazombi hao Forex is not for everyone......
ni skills na news nimewapa watu signo leo ya ku buy EUR USD saa tano.....
kuonyesha kuwa.anayejua hafanyi gambling...
wanaofanya gambling ni wale wasiojua
 
Nimekupa signo ya ku buy EUR/USD
Achana na mazombi hao Forex is not for everyone......
ni skills na news nimewapa watu signo leo ya ku buy EUR USD saa tano.....
kuonyesha kuwa.anayejua hafanyi gambling...
wanaofanya gambling ni wale wasiojua
Even for me I have seen light right now I can trade with care free mind state but I can I assure was not easy sailin journey. No ngumu ngumu even though we've 50/50 bet. Because you've to against every piece of your DNA and it's counter intuitive in nature that's why no ngumu.
Sure hakuna cha Burr na kila kitu unachofanya kinauma yaani everything you do it hurts our humanness.you should be able to swim upstream of our urges.

Fortunately life begins where our fear ends.

Luna five steps za kila trader lazima azipitie na nakumbuka nimeshazipitia zote am along the final stage to craft my autopilot where am expecting trading must be boring to me.

If you're truly desire something you'll find a way.
Let me continue with my final stage I wanna graduate and live free life.
 
Kamari maana yake wewe unaweka pesa na mwenzako naye anaweka pesa then mmoja atazichukua ikiwa ameshinda makubaliano mliyowekeana, kwenye maisha mnakua mmewekeana makubaliano na maisha yako? Kupata watoto, safari, biashara, elimu, kilimo...... n.k? Kama mmeweka fedha au kitu chochote chenye thamani sawa na maisha yako, safari zako biashara zako kilimo elimu.... bac hiyo itakua ni betting.

Why Forex ni gambling, ili ww upate faida kuna MTU amepata hasara kwingine, embu assume watu wote mmeuza au kununua kwa wakati mmoja mkapata faida iyo ela ya ziada inatoka WAP? Or mkilose wote iyo hasara/hela inaenda WAP?

Mungu akutangulie amina
 
vipi kuhusu trend ya eu is it bullish or bearish ,kama trend ya usdchf itakuwa ktk buy basi hii wanaobuy ni muhimu wafahamu wapi sl iwe ..
 
Attachments

  • eu.png
    9.2 KB · Views: 6
vipi kuhusu trend ya eu is it bullish or bearish ,kama trend ya usdchf itakuwa ktk buy basi hii wanaobuy ni muhimu wafahamu wapi sl iwe ..
Still Bullish mm bado nimehold trade....New York Session saa kumi na moja na nusu jioni buying pressure itakuwa kubwa
At the moment EU 15 minutes chart ipo kwenye consolidation if the pair iki break 1.19343 buy hiyo pair...
 
Still Bullish mm bado nimehold trade....New York Session saa kumi na moja na nusu jioni buying pressure itakuwa kubwa
ok all the best mimi kwa sasa ni observer tu , mitego yangu nikiona imekaa sawa siku yoyote nitatafuta entry ya sell gbpjpy
 
Wabongo tupambane na stock investments, huto kuta kamwe[emoji1374].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…