Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.

Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.

Huku kubet mechi chache, huku stop loss.

Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.

Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.

NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.

Forex ni betting iyoch.

Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.

Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.
Unachokisema mkuu ni sahihi Kama una telegram follow hii link ya tipsmsater uone jinsi anavyobeti bila kupata hasa 𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥-𝐓𝐢𝐩𝐬 𝐌𝐚𝐬𝐭𝐞𝐫
Welcome, This Channel provide daily free Sports predictions, All tickets provided are free.

Instagram @tipsmaster255
Telegram @tipsmasterOG
Youtube Channel [emoji116][emoji116][emoji116]
Link ni hyo ya mwisho kabsa kwenye channel yake huwa anatuma odds mbili tu nazo ni bure wengi hawatakubaliana na mm Ila Kama utamfollow kwenye channel Yake usije kusita kuja kutoa ushuhuda [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kama uliliwa dola 300 hata ukiwa na dola 5000 italiwa sema muda wa kuliwa ndo utakuwa mrefu.

All business ni betting maana unanunua nyanya ukibet kuna utakayemuuzia kwa bei kubwa ukiona zinakuozea unastop loss kwa kuuza cheap.

Tofauti na betting, Real business ukitulia ukawekeza baada ya research na kuchunguza uhitaji wa wateja unafaulu ila betting hata ukifanya uchunguzi ukawa mtaalam wa kubashiri huwezi kuwa na consistency ya faida kamwe maana the odds are against you. Lazima mliwe wengi ili wachache sana wapate na hao wachache sana wasipate mara zote ili wachache sana wengine wapate. The circle continuous.
 
Almost everything in life is gambling. Hata hiyo unayoita "outcome ya uhakika " inaweza kuwa gambling. Why? Kwa sababu unaweza tegemea kuipata na usiipate.
dahh, nimejikuta nakupenda buree kbs yan[emoji4][emoji4][emoji4], jibu murua kbs
 
Hizo signo nilizitoa mapema na soko likaenda sawa .....
kwa akili yako unafikiri market ipo static muda wote inakusubiri ww....!!!?
rudi kwenye sms yangu ya kwanza nilipotoa signo..
usikurupuke usichokijua
Hahahhaa najua ulishapigwa za uso ..forex haitaki ujuaji wewe ..usituletee umaarufu hapa.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hahahhaa najua ulishapigwa za uso ..forex haitaki ujuaji wewe ..usituletee umaarufu hapa.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii hapa nilishapiga ww kiazi hahahaa unafikiri mm ni ww ng'ombe we

IMG-20210327-WA0010.jpg
 
Unasoma miaka zaidi ya 18 halafu elimu yenyewe ni yakufundishwa namna ya kuwa mfanyakazi mzuri je hiyo sio kubet? Everything in this life ni betting tu sema kila mtu amejaliwa uwezo wake kwahiyo ww ukikosa huku hamia upande mwingine ipo sehemu yako yakutusua cha muhimu usiogope sana kutake risk na pia usiwe mtu wakutake too much risk

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.

Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.

Huku kubet mechi chache, huku stop loss.

Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.

Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.

NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.

Forex ni betting iyoch.

Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.

Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.
TATZO WENG TUNAPETA KUEXPECT PESA NDOGO IKUPE UTAJIRI UKIJAALIBU WATU WENG WALOFANIKIWA KUPITIA HIZI FOREX,BICON,GLOBAL ALIENCE NI WATU AMBAO WALIKUA WANAPESA ZA KUTOSHA TAYAR ZA KUEKA RISK NDO MANA ASILIMIA KUBWA WANAKUAGA WATOTO WA CHUO COZ THEY STILL HAVE LITTLE KNOWLEDGE ON HOW TO INVEST NGUM SANA KUKUTA MTU WA MTAA AKAINGIA UMO COZ NI PLATFORM AMBAZO KUONA FAIDA INABID UWE TAYAR KURISK HELA NYING WATOTO WACHUO NDO WAKO PUNCTURE SANA NA HIZI NA HATA UTAFIT UNAONESHA IVO AYO MAMBO YANAPESA ILA UKO TAYAR KUTAKE RISK KMA HAUPO TAYAR IYO LAK YA FOREX TWENDE NAYO KISIJU TUKACHUKUE GUNIA LA MKAA APO TUNAPATA MAGUNIA 6 EFU15 KILA MOJA PAMOJA NA USAFIRISHAJI HUMOHUMO TUKILETA DAR TUNAUZA EFU35 KILA MOJA FAIDA EFU 10 NA PROBABILITY YAKUISHA NI MDANI YA WIKI MOJA.

NOTE
SIJASEMA KUA FOREX HAILIPI HAPANA NMESEMA UKITAKA KUONA FAIDA YA BIASHARA YA MTANDAON INABID UWE TAYAR KUTAKE RISK NA USIWE NA HELA YA MAWAZO NA USIEKEE KAMA SEHEM YA MAISHA KWA ASILIMIA ZOTE CHUKULIA KAMA SEHEM YA MAJARIBU.
 
According to research in South Africa, the consensus in the Forex market is that 70% to 80% of all beginner Forex traders lose money and end up quitting. These 10 reasons that most Forex traders lose money were compiled by our researchers to keep you from becoming a statistic.

Most Forex traders fail. This is fact. As stated, the consensus on the conservative side is that 70% to 80% of all Forex traders lose money and this number can go as high as 90%!

Any kind of trading, and especially Forex trading, requires a lot of dedication to learning how to trade and developing a solid foundation of Forex knowledge.

The experience and confidence to be able to apply this Forex knowledge in real time trading, in a volatile and unpredictable market, takes time.

And even still, mistakes will be made because real life lessons and failures are your best teachers.
 
Unasoma miaka zaidi ya 18 halafu elimu yenyewe ni yakufundishwa namna ya kuwa mfanyakazi mzuri je hiyo sio kubet? Everything in this life ni betting tu sema kila mtu amejaliwa uwezo wake kwahiyo ww ukikosa huku hamia upande mwingine ipo sehemu yako yakutusua cha muhimu usiogope sana kutake risk na pia usiwe mtu wakutake too much risk

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Bro unaelewa maana ya kubet na sure
 
Back
Top Bottom