Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

Binafsi umeshawahi kukutana na screenshot mtu katoa HATA USD 450? kwa maramoja? Ila naamini umeshawahi ona screenshots kibao zinaonesha USD 5000 kwenye E-wallet hiyo imekaaje
Tumeshatoa mara nyingi sema tu biashara ya forex ina michezo mingi unapaswa kuwa mwelewa sana mwisho ujisimamie.
Kwa Tanzania fuatilia batch iliyoanza forex 2016 walifundishwa watu zaidi ya 2000 mwaka huo kuna mwamba hapa jf anaitwa Ontario tafuta uzi wake .
Leo hii kuna waliofanikiwa na wana majina makubwa na kuna wengi kibao wamefilisika na kuiacha kabisa.
Kwa sasa kama ndio unaanza kuna platform inaitwa moneycashback huwa kuna shindano kila week unafungua demo acvount unawekewa dola 5000 mwisho wa week mwenye profit nyingi wanapewa pesa kuanzia 500$ hili shindano limeanza January mwaka huu linaendelea. Naamini utajifunza kitu huku ukiendelea kujisomea.

Mwisho hakuna sehemu yeyote duniani yenye pesa ya bure tu kwamba unaenda kubeba iwe mziki, mpira, betting.... So forex ni biashara ngumu kama zilivo zingine na ni highly risk business in the world. Nikimaanisha kupoteza 1000$ kwa masaa machache ama dakika 10 ni kawaida pia kupata 1000$ kwa dakika chache ni kawaida
 
Then unaweza kuendelea na hiyo biashara. Kitu cha kunote ni kuwa hiyo 450 usidhani ameitengeneza kwa mtaji wa 200 ujue deposit yake ilikuwa nene na bila shaka ukija kuhesabu withdraws zote alizo fanya hazilingani na mtaji alio weka
Kila mtu anaupeo wake unachofikiri kinaweza kuwa sawa kwako ila kikawa tofauti kwa watu wengine
 
Tumeshatoa mara nyingi sema tu biashara ya forex ina michezo mingi unapaswa kuwa mwelewa sana mwisho ujisimamie.
Kwa Tanzania fuatilia batch iliyoanza forex 2016 walifundishwa watu zaidi ya 2000 mwaka huo. Leo hii kuna waliofanikiwa na wana majina makubwa na kuna wengi kibao wamefilisika na kuiacha kabisa.
Enzi za ontario? Walio fanikiwa bila shaka ni waandaaji wa semina na waseminishaji na wadau wachache walio trade
 
Tumeshatoa mara nyingi sema tu biashara ya forex ina michezo mingi unapaswa kuwa mwelewa sana mwisho ujisimamie.
Kwa Tanzania fuatilia batch iliyoanza forex 2016 walifundishwa watu zaidi ya 2000 mwaka huo. Leo hii kuna waliofanikiwa na wana majina makubwa na kuna wengi kibao wamefilisika na kuiacha kabisa.
Mkuu wewe kidogo tunaweza elewana asee
 
Enzi za ontario? Walio fanikiwa bila shaka ni waandaaji wa semina na waseminishaji na wadau wachache walio trade
Mkuu mi nazani wewe hujawahi practice hili game
Tunaomba MT4 Yako tuone, au tueleze kidogo unafahanu Nini kwenye forex.?
 
Mkuu najua hio ni trust wallet naomba uscreenshot kwa chin nione hizi $ ni za usdt ,Bitcoin au Nini .....isijekuwa ni airdrops[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hali ya kawaida hio $133,000 ni zaidi ya million 300 ,Sasa tunaomba utuoneshe kwa chinj hapo hizo $ ni usdt ,busd ,au Bitcoin ... vinginevyo wewe ni mhuni tu unatafuta watu uwapige ,....

Unajaribu kutafuta training fees kutoka kwa vilaza wanaotaka utajiri wa haraka ...

Maana watu wote wa forex ,walishafirisiki na kuchanganyikiwa maana washapoteza pesa nyingi sana ...

Hata sir Jeff ukimuangalia na ule wembamba Kama chelewa unamuona kabisa aforce furaha Hana analopata kwenye forex zaidi ya kuwapiga wajinga train fees ....chezea forex wewe ....
Ni kama betting unaweza kumuona mtu amepiga kilo mbili ukatamani kuingia mwambie akuoneshe na aliyolost
 
Ndio wanapiga sema ni ya moto sanaa! Mi bado sijafanikiwa napata hela za mboga tu,ila pia huwa napigwa.
Kwa ufupi forex tunatabiri mwelekeo wa soko la fedha kama wafanyavyo watabiri mipira.

Sema Huku mambo Yako advanced sanaa. Kutabiri mwelekeo wa sarafu soko linafunguliwa jumapili usiku Hadi ijumaa usiku, na weekend Kuna assets zinaitwa indices hizo Haina Cha weekend.

Ukitabiri soko litapanda , unabuy ukitabiri soko litashuka unasell, so unapata faida both ups and down movements.

Elimu ya Huku ni lazima mwisho wa siku ikuoneshe mwelekeo wa soko upon wapi ndo utapiga hela.


Wingi wa pesa unaseti mwenyewe kwa tool Moja inaitwa lot size the more unaweka kubwa the more pesa inaonhezeka na loss vivyo hivyo.

pesa unapokea kupitia banks,au Skrill au Bitcoin wallet au mitandao ya simu.

Kwenye forex hatununui sarafu kama wengi wasemavyo Huku tunabashiri mienendo ya bei ama price ya sarafu, so utatabiri either soko liende juu au chini.

Soko tunabeti ama kubashiri kupitia kwa brokers kama vile templerfx,hotforex,deriv,exness na wengine wengi.

Mtaji wa kuanzia nao ni Dola kumi tu sawa na TSH 25,000/= na app tunayotumia kuzalisha na kupoteza pesa inaitwa MT4,MT5 na tovuti tunayotumia kufanyia upembuzi ama uchambuzi ni tradingview IPO google tu.

Kama wewe ni mgeni kabisa hujui pa kuanzia Anza kusoma forex kwa lugha ya kiswahili YouTube Kuna series nzuri search scalpkingfx tazama video ya kwanza Hadi sehemu ya mwisho, ukimaliza hapo nenda google ingia website inaitwa pipsology nazani kama sijakosea, ukitoka hapo nenda nenda investopedia mule Nako soma kwa mpangilio ukitoka hapo , just andika what is forex Quora then search utalewa machaguo mengi then utapelekwa directly kwenye website ya Quora kuke Sasa utakutana na wataalamu wengi sana Tena wasomi sanaa wahindi,wazungu na nchi zingine utawakuta huko.

Ukimaliza hapo Sasa unaweza lipia darasa la kusoma maana itakuwa ushapata mwanga wa forex madarasa yapo mengi sanaa, utafundishwa strategy ama mbinu za kutabiri soko. Katika kozi kabla ya kusoma hakikisha unamuuliza course content before kulipia contents nzuri kwa uzoefu wangu zinachezaa na haya yafutavyo;
# market structure
#ICT
#BTMM
#SMC, SMART MONEY CONCEPTS
# QUARTERLY THEORY.
# INVALIDATION POINTS OR TURNING POINT.
# LIQUIDITY GRAB
Na mengine mengi wanasoma.

Mtu anayejua forex utampima kwa wingi wa pips anazopata, kwenye mipira wao wanatumia ODDS. the more pipis the more money.

vituo hivi vinahitajika kama unataka kuwa forex trader ama currency speculator.
#elimu ya kutosha
# laptop na smartphones
# bando la kutosha nakudhauri kama uko vizuri apply Vodacom kifurushi Cha superkasi uwe unalipia kwa mwezi tu
# meza na kiti itapendeza kama itakuwa na ofisi kabisa, hakikisha mazingira ni ya utulivu nzuri.
# account ya broker
# account ya bank kwa ajili ya kupokea na kutuma pesa kwa broker nashauri fungua benki ya equity na ABSA vijana wengi wanazitumia sanaa.

Nazani nimemaliza mkuu nakutakia maisha mema,

NB; forex bhanaa unaweza kukukondeshaa vizuri pasipo kuwa na ugonjwa wowote, ni ngumu sana ila ukiimudu umetoboa, narudia Mimi bado sijatoboa napata hela za mboga tu usije kusema mi nguri wa forex View attachment 2294584
Hio pesa hapo mbona ni nyingi sana? Mimi nikiwa nayo hio wikend lazima unikute visiwa vya comoro ufukweni huko nakula maisha,hotel ya nyota tano 🤣🤣
 
Mkuu wewe kidogo tunaweza elewana asee
kuna watu tulipata pesa za forex ule mwaka mpaka tukatamani kuacha vibarua vyetu mambo baadae yakabadilika kabisa ni mwendo wa kuchoma tu unaweka 100$ wiki moja ya pili una -ve mpaka nikaiacha kabisa. Nikarudi tena kipigo kipigo. Saivi kidogo akili imetulia baada ya kupumzika miaka 3 naweza kupata kitu ila siwezi mshauri mtu aingie akitegemea kuwa tajiri
 
Mambo ni moto mkuu. Pesa ipo ila tambua kuwa 94% ya wanaojaribu hili jambo hawaingizi faida hivyo kuwa na expectation sahihi. Usitegemee mafanikio ya haraka na kamwe usitumie pesa ambayo una njaa nayo.
 
forex ni rahisi kusoma ila ngumu kumaster, has kwa sisi wenye vintaji vidunchu with higher expectations, kwanza jifunze pili tafuta mtaji invest nenda taratibu kuza mtaji huku una master zaid, saiv kuna hizi funding talents pia unaweza jaribu ili ikupe urahisi wa kutrade big money

grow grow thn anza kutafuta pesa itakuchukuwa miaka miwili au mitatu kama upo na resorces zote,
itakuchukuwa miaka mitatu hadi mitano kama resorces ni za kusua sua

ila baada ya apo utakuwa huru kiuchumi na wale waliokuwa wanakuona mwehu ndo watakuelewa wakati uo nawe ndo unawaescape mwisho wanasema trader wanaringa
 
Back
Top Bottom