Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?


Nimeanza kujifunza tangu mwaka 2017 ..hiyo ni analysis ya usdnok niliyoifanya..sio kazi rahisi hata kidogo inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sanaaaaaa.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22](TRADERS WANANIELEWA JINSI INAVYOUMA KUCHOMA ACCOUNT)..

Ila ukiwa master unapiga sana hela tena sanaa hivi vilaki sjui milioni utaona kama uchafu,ila lazima narudia laziiima upoteze hela kwanza.

NASHAURI USIWEKE PESA YAKO KAMA HUJAIJUA VIZURI.
 
Hio pesa hapo mbona ni nyingi sana? Mimi nikiwa nayo hio wikend lazima unikute visiwa vya comoro ufukweni huko nakula maisha,hotel ya nyota tano [emoji1787][emoji1787]

Mbona watu wanafanya zaidi ya hayo mkuu..kuna jamaa m sauz anaitwa dj coach ana hela nyingi sana yule mshenzi...
 

Hiyo money cash back ikoje mkuu hebu share plz tuone tunawezaje kuchukua fursa kama ipo[emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Don
 
Nimesahau kuwaambia huyo jamaa mwenye wallet hiyo anatrade kupitia funding company kama FTMO,My Forex Fund na zingine maana watu wanashangaa kwanahisi kama vile nataka kuwapiga.
 
Forex is real. But moja ya kosa kubwa ni kutoambiana ukweli kama hii kitu ni ngumu. Huwezi toboa kwenye forex kwa semina ya week. Pia kwenye forex unatakiwa kuwa GENIUS na MAFIA. Maana huko unyama ni mwingi.
Nanukuu GENIUS na MAFIA.
 
Ni kitu nilikua nakiona ila nilikua sikifuatilii. Lakini kwa sasa tangu nianze kuona watu wanatamba mitandaoni kwamba wanapiga hela na kwakua pia ni kitu ambacho kipo trend sana kwa sasa. Nimeamua kutobaki nyuma
This is the professional like any other professional. Ni career Kama career zingine. Kikubwa muulize Ronaldo alifanyaje akafikia hizo levo.
Unamuona surgeon anaitwa kila hospital kwa dau kubwa kubwa muulize kuwa alifikaje hapo.
You've to be ready to put in hours of training, learning theory, practical works,days in days out not less than 5-7 yrs even ten so utaanza kuona mwaga ama kuwa Kama huyo competent advocate like kibatala like nimrod mkono.
Ulizia how Nape alifikaje level iyo ya siasa. Ama Tiger wood alifikaje huko akina Kobe Bryant,Michael Jordan,Michael Tyson,
Nothing is easy man in this world bear it in your mind.
Am giving you cold truth,I don't wanna sugar-coat any real shit just to mislead you young guy.
Nadhani unaweza ukawa umepata picha. Ni just 50/50 game where a complete amateur has 50% to success. Na failure rate Ni kubwa mno yaani mno.
Mkianza Mia wanaofanikiwa Ni watano i.e 3-6% ndio wanaofanikiwa.
Am sure real traders don't have time to brag mitandaoni kuwa wanatengeneza ,just ask them withdraw in their bank accounts utaona mapovu yao.
 
Nanukuu GENIUS na MAFIA.
Mwambie Ni Kama daktari kupata mhuri na kuanza kuhudumu. Awe tayari not less than 5-7yrs angalau masaa 16 kila siku kwa muda wote Kama Ni rahisi.
Getting Europe or die getting Europe mentality.
 
Apo mwisho bhana umetisha sawa mkongwe wa forex trade
 
Asilimia kubwa ya wanaopata pesa za forex hawajazipata kwa trade, wanakuwa wanafanya training na kukusanya fees. Na fees zao zimechangamka aisee
 
Mwambie Ni Kama daktari kupata mhuri na kuanza kuhudumu. Awe tayari not less than 5-7yrs angalau masaa 16 kila siku kwa muda wote Kama Ni rahisi.
Getting Europe or die getting Europe mentality.
Mleta mada kama upo tayari kwa huu ushauri karibu sokoni, ni kutamu sana lakini baada ya kukomaa na maumivu ya miaka tajwa hapo juu. Its a career like any other career tulizozizioea, ugumu na changamoto yake ni kwamba you have to push yourself tofauti na career zingine ambazo utapushiwa na vitu km mitihani n.k. self discipline is the key. Kuhusu swala sijui majority wanaloose hii true for any field iwe soka, kilimo, shuleni, music, business n.k lazma kuna top wanaoscore the rest hua wanaongeza tu idadi ktk industry husika ili mradi cku ziende. Hata humu tupo nyomi lakini wachache tu ndo known kwa kuleta mada zenye hamasa na wanaeleweka. Its risk because it involve leverage hivyo ukiwa disciplined baada ya kuacqure experience utanyanyuka kwa speed and viceversa is true. Be focused, achana na show off za mitandaoni, treat it as a business.
 
Asilimia kubwa ya wanaopata pesa za forex hawajazipata kwa trade, wanakuwa wanafanya training na kukusanya fees. Na fees zao zimechangamka aisee
Hao sio traders Bali educators. Kuna players wengi mno kwenye hii industry Kama huijui. Greatest analysts Wala sio traders,many talk the talk but few walk the walk when the skin is the game.
Kama suala la Vita si Ni wengi wanaweza kuuongea na kufundisha mbinu za kivita,watajifanya warriors. Ila Sasa acha Ile real bullets yaani risasi halisi ianze,uanze kuona kweli watu wanakufa. Wewe kwa akili yako unadhani Ni wangapi Wana huo ujasiri. Wauza silaha wapo,watoa ushauri,wachora ramani,wanaotibu majeruhi,wenye emotional trauma wanaohitaji Tiba pia ya kitalaamu.

Ila real traders wapo hawana muda wa Kuja mtandaoni.
Yaani unaweza ukawa na maarifa yote sema Sasa kuyafanyia kazi ndio kazi.
Swali jepesi. Wewe hujui umuhimu wa kuamka saa 11 asubuhi kwa tizi la kukimbia,je unaweza, to know isn't enough Kuna something back.
Kuna maumivu mengi mno,wengi wanapiga demo wanakuonyesha wanakuambia nilipe nikupe lifetime signals utadhani hatakufa. Akikuonyesh profit trades mwambie naomba nione withdraw from trading account to bank account utaona atakavyokutukana matusi yote yatazidi uzito wa maji ya bahari jamani.
Ama anakuambia weka hela Ni manage akaunti tugawane hela. Wakati makampuni yapo yanayokupa hela una manage Tena unachukua 80% ya profit.

Swali la kizushi Tena, si imekatazwa usizini na nabii Isa anasisitiza hata ukitamani umeshazini moyoni.
Unarukaje viunzi hivyo inapokutana na mtt mkalia na akakuonyesha tabasamu.

Hata brokers sio traders wao wanakuwezesha ku trade tu.
 
Ni mawazo Yako tu, kwa hiyo na Mimi siku moja nikitoboa utasema nimepata kwa kukusanyaa! Kwa vibua?

mi naamini kila mtu ana source yake ya kupata fedhaa!
Muache hajui analoliongea.
Hajui wacheza mpira Ni wachache Ila Kuna Wana kibao iyo industry wanaishi kupitiamo humo.
Wakulima Ni wachache Ila Kuna madalali wa mazao,ardhi ya kukodisha,wauza pembejeo. Sasa twende kwa wakulima wenyewe Ni wangapi.
Hajazama deep down below the rock bottom ajue iyo rocks ilivyolala kwa chini yeye anacheki kwa juu.
 
Kuna services of trading sellers,watunga vitabu,wauza kozi,wauza materials za maguru waliokwisha kufa,wauza weekly news letters subscription fee unatoa,watoa signals,wanao manage account,watalaamu wa fundamental news analysist,wachambuaji wa technical analysis,wafundishaji wa weekend courses, seminar,watalaamu wa saikolojia,watunga vitabu, brokers, liquidity providers,fortune teller ama wapiga ramli kuwa btc itapanda mpaka laki nne dola mnamo 2030 utadhani wameshaongea na malaika tayari.kuna dead guru,Kuna living guru,Kuna hidden guru.
Yaani Kuna vitabu Kama vyote unajaza semi hata Mia Ila Sasa real books by real traders unabeba mkononi.
The system jinsi ilivyo ya elimu iko highly wired opposite with what you're supposed to be taught.
The nature of the game how is played is such that majority or public shouldn't be exposed to the truth.

Naomba niiishie,kikubwa Soma komaa alone,ama kamuulize Ronaldo alifanyaje akafikia zile levo,anasemaga commitment and hard work hakuna magic yyte.
Hakuna magic pill utameza.
Remember nowhere you can buy experience or knowledge na pia success cannot be sold in the shop at Kariakoo there.
Hata uwe na hela you can't buy experience or success fulani.
It takes undying passion, unquenched undying thirst to learn.
No safe sailing. There's always highest ocean waves, turbulence,sharks waiting you to dive in the deep see depth,smt no compass to point right information.

The danger of the education system we've right now is that. There are a lot of fuckin many available sources of informations over there from Australia to Canada,from Iran to Argentina.
Only people who are willing to filter information,to learn, unlearn, relearn,learn to learn,learn to relearn,learn to unlearn will survive in this era. Zamani hakukuwa na information Ila saivi iko kila kona na hakuna mamlaka ambayo Ina regulate real curriculum to study.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…