Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

Tangazo


Unaanzisha uzi kwa ID moja unarudi na ID nyingine kubishana na watu
 
Weka hela, acha kuuliza sana maswali utachelewa kutoboa
 
No surprise that new traders will likely encounter the fear of the unknown because the picture is painted bright and rosy, till reality sinks in.

Most are attracted to trading because of the freedom it can bring and the near-zero physical work involved, just a click of the mouse. However, what goes behind the scene is seldom talked about and much less publicized.
 
Hiyo money cash back ikoje mkuu hebu share plz tuone tunawezaje kuchukua fursa kama ipo[emoji1488][emoji1488][emoji1488]
njoo dm nikupe link namaelezo kuhusu. money cashback bure itakusaidia kama ukiwa serious
 
Hapo kwenye ICT ndiyo penyewe,kujifunza jinsi Central Banks wanavyotumia algorithm katika ku-deliver price,ku-provide liquidity na jinsi ya ku-capitalize kwenye liquidity ambayo imekuwa provided.Mungu bariki sana tumbo lililomzaa Mr.Michael Huddleston🤗🤗🤗
 
sio free bonus kweli...
hapana ni pesa watumiwa skrill ukiwa wa kwanza hadi wa sita mwenye kukuza dola elf tano. hadi kiwango chajuu zaidi ua washiriki wote with lessdraw down of 30pcnt
 
hapana ni pesa watumiwa skrill ukiwa wa kwanza hadi wa sita mwenye kukuza dola elf tano. hadi kiwango chajuu zaidi ua washiriki wote with lessdraw down of 30pcnt
mtu akihitaji kujiunga Kwenye hiyo challenge anafanyaje mkuu
 
na wengine mnaotaka kujiunga demo challenge earn real money pm ipo wazi siombi ela ni nguvu yako t
 
Ukitaka biashara za kutabiri, tabiri mpira wa miguu.

Kujifunza forex utaumiza kichwa sana. Juhudi utakayotumia ni rahisi zaidi kujifunza kusoma takwimu za mpira na kutambua tabiri za uhakika. Ila uwe mvumilivu usipende mikeka. Chambua kwa undani mechi kama 100 kila siku, lakini weka utabiri wa timu moja hadi tatu tu kila siku, unachovuna rudisha chote kwenye utabiri unaofuata.

Watu wenye vichwa vya kuweza kuelewa Forex ni wachache. Kwa hiyo kinachoendelea ni kwamba watu wanatengenezewa michezo ya piramidi kwa kisingizio cha Forex. Sasa humo kama kawaida ya piramidi wa kubaki wameshika mapakacha ni wengi.

Narudia tena, kama una kichwa cha kuelewa Forex, basi utaburuza sana kwenye kutabiri mpira wa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…