Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

Ukishaona biashara unaoneshwa mzigo ambao upo kwenye online account/wallet wakati ukiomba uoneshwe screenshots za kuwithdraw inakuwa kazi inabidi ujiongeze
Kesho nakuonyesha withdraw bro...Nina mzigo natoa kesho
 
Hata btmm ni nzur sana mkuu coz ICT na SMC hazina tofaut kubwa
 
Comment zako kwenye masuala ya soko huwa zimeshiba sana, I wish nije nikae na wewe tuzungumze hata kwa masaa kadhaa
 
Kitu unayo nifanya nivutiwe na maoni yako ni kwamba unazungumzia sana pschology au namna mindset ya trader inavy takiwa iwe which is 80+% ya trader kufanikiwa.

Unaandika vitu vikubwa sana na kwa hakika ujumbe wako huu utaishi kwa miaka mingi
 
Hata btmm ni nzur sana mkuu coz ICT na SMC hazina tofaut kubwa
Tofauti kubwa ya BTMM na ICT ni:

1.BTMM haikupi uwezo wa kuona institutional order flow,yaani unakuwa hujui muelekeo wa soko in long run ni upi ila ICT inakuonyesha mueleko wa soko in long run.

2.Katika BTMM Kuna uwezekano wa kuwa trapped kwenye consolidation pamoja na chopping market ila ICT ina uwezo wa kukuokoa na zahama hiyo.

3.Kwenye ICT unaweza kujua kuwa ni upande upi ukibuy au ukisell ubakie kwa muda mrefu kwa kuwa siyo pullback ila kwenye BTMM huwezi kujua upande wa kubakia kwa muda mrefu,yaani huna uwezo wa kutofautisha kati ya pullback na continuations.

4.Kwenye ICT ni rahisi kujua miezi ndani ya mwaka ambapo soko huwa halitembei sana kama vile December,January,June,July na August ila kwenye BTMM huwezi kujua hilo,yaani wewe mwaka mzima unatrade tu hata kama ni seasonal tendency ambayo soko halitembei.

5.Kwenye ICT unaweza ku-anticipate wakati big move inatarajia kuja vs wakati small move inatarajia kuja kwa kutumia smart money tools kama vile open interests,COT report,seasonal tendency,SMT divergences na kadhalika ila kwenye BTMM huwezi kutabiri big moves na small moves.

6.Kwenye ICT unaweza kutabiri turning points za soko kwa kutumia parameters nyingi zaidi kama vile Time,price and patterns wakati kwenye BTMM unatumia patterns peke yake.

7.ICT inakupa uwanja wa setup nyingi sana ambazo unaweza kutrade kama vile kill zones,turtle soup,weekly expansion range,draw on liquidity,PD array trading kama vile rejection blocks na kadhalika wakati kwenye BTMM inabidi utulie kusubiri tu zile three phases movement za soko zitokee.

8.ICT inakupa ushahidi mwingi kama vile PD arrays,judas swing,SMT divergence,Time,pattern na kadhalika kuwa turning point ya soko ni mahali fulani wakati kwa BTMM unatumia ushahidi wa pattern peke yake.
 
Try to synchronize both sides which is best for you and throw shit in dustbin
 
Kesho nakuonyesha withdraw bro...Nina mzigo natoa kesho
Tuonyeshe kwa trading account na ionekane iyo iyo kwa bank akaunti. Ila sio kuwa haliwezakani najua Kuna watanzania tayari wanakamua hela muda wote wanaotaka wao Tena bila ya shida
 
Your perception, beliefs, attitude and committee ya watu wanaongea kichwani mwako sio na sawa na za mwingine mkuu.
Can you bet kwa mpira iwe career yako mazima. Naomba tu utulie hii Ni biashara sema huko unabahatisha unafanya gambling. Huku pia yapo yote waweza uka gamble ama uka speculation it's up to you. Naomba usinichagulie mke please mie nawapenda mabinti wa Tarime halafu wewe kwako wakawa wabaya.
Your perception your world. Remember always when you see your cup half empty is half full and can't go completely empty.
 
Ila ujue sio wewe uliyeuliza swali. Kwa jinsi ulivyopaniki nina wasiwasi utakuwa miongoni mwa wanaoendesha patu za Forex.

Ila kama unaijua Forex kweli huna haja ya kupaniki nimekupa mwanga tu kwamba akili uliyotumia kuielewa Forex na kuweza kucheza nayo ukapata hela kweli basi ukiihamishia hiyo akili kwenye kubashiri mpira wa miguu utatajirika sana.

Iwe unafanya Forex kweli, sio kucheza au kuchezesha upatu wa Forex kama gheresha.
 
Najua hujaniambia mie Ila najua kuwa umeweka public mkuu. Pia sijapanic nimetoa Komenti ili watu wawe huru na kunifahamisha nawewe. Ujue huwa tuna beliefs tofauti na beliefs huwa Zina nguvu mno mkuu.
Unaambiwa kuwa mbali na our physical features like mikono, height,body shape, color,etc zinazotutofautisha kinachotutofautisha is how we think and our mindset how we set our mind about perceiving something.
Sasa hizi beliefs huwa Zina kuwa stored in the form of energy structures.huwezi ziona Ila utaona madhara ama effects zake zinazoleta Ni kama umeme ukiwa umetulia huuoni,kabisa,hata sound,video ikiwa imehifadhiwa huioni Kabisa Sasa madhara yake utayaona.

Sasa hizi beliefs huwa zinakujaku collide zinapogongana na za mwingine. Ujue afrika tuliamini zeruzeru Ni Kama mkosi,jamii yangu miaka ya 1800+ walikuwa wanaweka mapacha pale ng'ombe wanapoingilia zizini wakanyagwe na ng'ombe wafe.
So unacheki beliefs zilivyo Sasa Kuja kuzitoa kichwani Ni kazi mno
 
Kama unaelewa kuwa akili zinatofautiana basi ndo usipaniki ukiona akili tofauti na yako, ukachukulia kana kwamba umeshambuliwa wewe binafsi.

Angalia kwenye andiko langu ukiona kama kuna kitu kinachokufaa chukua kakifanyie kazi.
 
Kama unaelewa kuwa akili zinatofautiana basi ndo usipaniki ukiona akili tofauti na yako, ukachukulia kana kwamba umeshambuliwa wewe binafsi.

Angalia kwenye andiko langu ukiona kama kuna kitu kinachokufaa chukua kakifanyie kazi.
Sijachukuliwa Kama nimeshambuliwa mkuu bali najaribu ku challenge your beliefs and I show up mine. Ndio maisha. Nb the greatest distance between two people is just misunderstanding Wala sio kuwa mie nipo zebaki wewe upo jupita.
 
BOOM NA CRASH NAYO TAMU MNASEMAJE WADAU??
 
BOOM NA CRASH NAYO TAMU MNASEMAJE WADAU??
Just trade with what you see before you. Charts are communicating with your every minutes/seconds so listen to them and do what they order you.
Don't try to be a fortune teller mkuu. Do trade by a tip since if I trade by Smith's tips I have to sell by Smith's tips. Assume Smith is on holiday what Will you do. A man must trust himself if he's going to make a living out of this market.
Remember stock markets isn't the place of lazy and inferior emotions people. They shouldn't seek living life out of this industry.
 
Hakuna scam kwny forex,though Kuna scammers wengi ktk jina la forex traders so akili kumkichwa.

Lkn simuombei adui yng maisha ya "u-newbie" kwny forex,ni maisha magum sn,lkn km utakua mvumilivu utatoboa.
 
Wanaopiga hela wapo lkn ni wachache sn na huwaoni mitandaoni,hawa tunaowaona Instagram wanajifanya walimu ni broke,tena most of them hawajui kutrade,wanajua theories walizojifunza bure online,wamepigwa sn na soko,forex ukiipatia huwezi piga kelele una hela maana mwnyw unajua shida ulizopitia na ni human nature kuwa selfish,ss mtu anakuitia fursa,huyo kuwa naye makini.
 
Kwani mzemkav ulikuwa Dunia kipindi chote,?? Hii ni biashara km biashara zingine., Vile vile kuna faida na hasara km zilivo buashara za kuuza matunda, guo, samaki karotu, sambusa etc..... Uliwai ingia benki yyt apa Tz ukaona iko tv inaonesha EUR/USD,, GBP/Nzd, KSH/Tsh, Ush/KSH etc,,,, hiyo ndio forex ww ukitaka pesa ya kenya ww uawapa Tsh wao wanakupa Ya KSH, kipengere hicho tyr umefanya biashara ya Forex....!!!! Sasa xkuiz dunia imeenderea ni we na smartphone yako au PC yako na bundle lako tu kikubwa uwe unajua kufanya fundamental analysis & au price action kujua pesa hii inapanda au kushuka ......!!!!! Huku atutafuti benki ya kawaperekea wa uanze kumpanga mtu anunue huku hakuna ni we na economic indicators data .....!!!! Ndio biashara utaifanya mpaka siku mwisho wa maisha yako......!!!!!!!!
 
Umenivunja mbavu. Kuwa unatafuta fee kwa vilaza. Na Jeff na uwembamba wake anafosi furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…