Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Hiyo inategemea na Risk appetite na target yako in a specific trade.Mkuu umeupiga mwingi mnoo! Hiv unawezaje kujua hapantapoteza kiasi fulani au ntapata hela kiasi gan endapo soko litakwenda ndivyo sivyo au kwenda kama ulivyobashiri?? Naombakufahamishwa formular
Kwenye risk appetite au utayari wa kupoteza kila mtu anachagua mwenyewe kiasi cha kupoteza endapo trade itaenda ndivyo sivyo na target inategemea na market ipoje kwa wakati huo
Mfano umeona setup ya pips 100,hapo pips 100 ndo target yako so utaamua kiasi cha kupata endapo trade itafanikiwa na kiasi cha kupoteza endapo itaenda against you kwa kutumia lotsize na stoploss labda pips 20
So hapo una target ya pips 100 na stoploss pips 20.so ukitumia lotsize ya 0.05 na trade ikaenda as planned utapata profit ya $50 kwa hizo pips 100 au na kama ikienda against you utapoteza $10 kwa hizo pips 20 au ukitumia lotsize ya 0.10 utagain $100 kwa hizo pips 100 if the trade works well au utaloose $20 kwa hizo 20 pips
So the profits and losses you get depends with your risk to reward ratios (RR) na lotsize