Forex trading short course

Wakuu natamani kuingia Kwny hii biashara naomba mnisaidie nianze wapi ili nami nipige pesa jamani
 
Nina PayPal account tayari ila sina ufahamu wowote wa hii forex trading
 
Labda niwaulize,
Mfano ndio unaanz ana Una Cash yako ya Madafum (Hard Cash), unataka uigeuze iwe Online Cash (Soft-Cash) ili ununue hizo Forex, utampa nani sasa hizo Cash ili nae akupe Online Cash??
 
Labda niwaulize,
Mfano ndio unaanz ana Una Cash yako ya Madafum (Hard Cash), unataka uigeuze iwe Online Cash (Soft-Cash) ili ununue hizo Forex, utampa nani sasa hizo Cash ili nae akupe Online Cash??

Unaweka pesa yako kutoka kwenye account yako ya bank. make sure that una VISA/Master Card
 
Hata mimi naanza kuelewa somo hapa. Ni kweli hakuna biashara rahisi na umakini unahitajika. Wajuzi wazidi kutupa elimu zaidi. Labda tu msaada kidogo, uhusiano wa bank mfano NBC na paypal na forex account ukoje hapo?
 
Lini tena course hii itafanyika?
Hivi can you do online forex trading from Tanzania?


Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Nataka umanage account yangu then commission
 
Training nyingine lini?
 
mkuu hii training mwaka huu vipi
 
Mimi nemetrade forex kwa kama miezi Sita na nlikua nafanya part time. Nilikua napata pesa ya kulipia ki apartment changu.. didn't fully go into it. Lakini I took time to learn about it. Kua tend hiyo course for 2 to 3 hours haitatosha ila Kuna vitabu online na videos on YouTube on how to trade.. ila nashauri mtu asiwe mvivu wa kusoma. Na Sio rahisi kupata pesa kama inavyo sound. Ni rahisi sana ku unguza account yako.. chukua Muda kujielimisha

Sent from my SM-G925T using JamiiForums mobile app
 
Nikweli maana mimi nimetumiwa vitabu bado ninasota navyo ni vikubwa na havihitaji mtu uwe mvivu wa kusoma kwa kweli japo mkuu ukiniunga na hizo link nzuri za youtube zitanisaidia sanaa napata shida kuielewa concept ukizingatia sina uzoefu wowote wa hii biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…