Forex trading short course

Forex trading short course

Why mi am trading without reading hug books jf wangeruhusu ningewapa screen shoot za accountvyangu Jana before market I close kuna signal zinauzwa we unafata maelekexo tu nunua au Uza. Hao success wanaset market
 
upo pande zipi mkuu nikutafute unipe hint kidogo nianze hii kitu manake kila siku najaribu kusoma vile vitabu simalizi
 
Why mi am trading without reading hug books jf wangeruhusu ningewapa screen shoot za accountvyangu Jana before market I close kuna signal zinauzwa we unafata maelekexo tu nunua au Uza. Hao success wanaset market
Nimekuelewa mkuu
 
Kusoma kwanza mkuu,huwezi kuanza kutrade kama huifaham
Sawa mkuu, uzi huu ni mrefu nafuatilia baadhi ya vitabu pendekezwa ili niweze kuanza kula nondo, unaweza pendekeza baadhi ya vitabu
 
Kama huna idea WA uelewa na hii biashara au unamawazo ya kuwa milionea avhana Mayo. Huku kupoteza pesa in sekund
 
Nina PayPal account tayari ila sina ufahamu wowote wa hii forex trading
Nisaidie jinsi ya kupata PayPal account!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Why mi am trading without reading hug books jf wangeruhusu ningewapa screen shoot za accountvyangu Jana before market I close kuna signal zinauzwa we unafata maelekexo tu nunua au Uza. Hao success wanaset market
hebu nishirikishe kwanza na mimi niweze pata idea ya hizo mambo maana mi bado nasoma ndo niko asilimia 30
 
Back
Top Bottom