BENJAMIN MISANGO
New Member
- Sep 2, 2015
- 2
- 5
upo pande zipi mkuu nikutafute unipe hint kidogo nianze hii kitu manake kila siku najaribu kusoma vile vitabu simaliziWhy mi am trading without reading hug books jf wangeruhusu ningewapa screen shoot za accountvyangu Jana before market I close kuna signal zinauzwa we unafata maelekexo tu nunua au Uza. Hao success wanaset market
Naomba contacts zako mkuuKuna training ambayo itafanyika tar 28 mwezi huu
Kama upo tayari nicheki kupitia hii link
Follow this link to join my WhatsApp group: Fx Training Dar 28/07/17
Nimekuelewa mkuuWhy mi am trading without reading hug books jf wangeruhusu ningewapa screen shoot za accountvyangu Jana before market I close kuna signal zinauzwa we unafata maelekexo tu nunua au Uza. Hao success wanaset market
Kusoma kwanza mkuu,huwezi kuanza kutrade kama huifahamNina PayPal account tayari ila sina ufahamu wowote wa hii forex trading
Sawa mkuu, uzi huu ni mrefu nafuatilia baadhi ya vitabu pendekezwa ili niweze kuanza kula nondo, unaweza pendekeza baadhi ya vitabuKusoma kwanza mkuu,huwezi kuanza kutrade kama huifaham
Kuna training ambayo itafanyika tar 28 mwezi huu
Kama upo tayari nicheki kupitia hii link
Follow this link to join my WhatsApp group: Fx Training Dar 28/07/17
Me pia bado najifunzaSawa mkuu, uzi huu ni mrefu nafuatilia baadhi ya vitabu pendekezwa ili niweze kuanza kula nondo, unaweza pendekeza baadhi ya vitabu
SafiiiMe pia bado najifunza
Mdau huyu broker una mzungumziaje aise yuko vizuri?
safi mkuu
Nisaidie jinsi ya kupata PayPal account!Nina PayPal account tayari ila sina ufahamu wowote wa hii forex trading
hebu nishirikishe kwanza na mimi niweze pata idea ya hizo mambo maana mi bado nasoma ndo niko asilimia 30Why mi am trading without reading hug books jf wangeruhusu ningewapa screen shoot za accountvyangu Jana before market I close kuna signal zinauzwa we unafata maelekexo tu nunua au Uza. Hao success wanaset market