Forex trading short course

hapa hapa ndo pazuri wengine hatuna mda na telegram
 
Mkuu samahani ,... kwa wale tulio mikoani na tunatamani kupata hiyo elimu mnatusaidiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
, kuna training nimeiaccess leo ya kiswahili youtube, i think ilikuwa webinar! Nimeipenda imeelezea vizuri kuhusiana na forex
 
Sijui sana pia lakini bitcoin ifuatilie zaidi. Ifuatilie mkuu....tafuta interview za kina bill gate on bitcoin utube.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fanya online transactions na international banks kama equity, Barclays, etc ...local banks zna ukiritimba mwingi kwenye hizo issue ....au jiunge na bitpesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua Master card I&M bank, jaza dolari zako...pili fungua skrill akaunt...so uwe unamtumia broker pesa toka skrill na ukitaka ku withdrawal ije kwa skrill akaunt ndipo uivutie kuja kwa akaunt...raha ya hii njia unakula mpunga wako papo hapo
 
Hiyo card shi ngapi

sending using jamiiforum makinikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…