Forex Trading yaanza kufundishwa rasmi chuo kikuu

Hizo maforex yenu ni biashara za mabeberu,haziwafai watanzania wanyonge au nasema uongo wajameni, sisi wanyonge tuweke juhudi kwenye kilimo cha kufa na kupona..(. )
Imetoka kuwa betting sasa imekuwa biashara ya mabeberu.
 
Mkuu naomba kuuliza kwani banks zina department inayoitwa Treasury. Je wafanyakazi katika hii department si ni lazima wawe na knowledge ya forex? Kama ndiyo wanajifunzia wapi? Ikiwa wanaipata hapa kwetu basi kuna vyuo vya ndani pia vinatoa hiyo course
 
Nadhani juna utofauti mkubwa sana katika uhitaji baina ya Bank trader na retail trader.

Ndio maana hata Afrika Kusini wakaamua waingize course fupi maalumu kwa ajili ya kuwapa ujuzo retail trader.

Kusingekuwa na hiyo haja kama vyuo vyao vinafundisha knowledge ya forex kwa ajili ya wafanyakazi wa Treasury departmemt.
 
Naomba unifahamishe zaidi kuhusu hii course namna inavyofundishwa, gharama zake nk
 
Wale msiokuwa na mtaji wa kuanza kutrade forex au ulikuwa na mtaji hafu ukachoma Nina habari njema kwenu,
Just Perfect Market wanayo furaha kuwataarifu wateja wake wa thamani kwamba wameanzisha welcome bonus ya $100 ambayo haitahitaji udeposit hela yoyote kwenye acc yako.

Bonus hii ni kwa wote ambao tayari wanamtumia broker huyu na wale wapya .

Bonus ni ya muda wa siku60 ,
Ili uweze kuwithdraw inatakiwa ufuate taratibu zifuatazo
1.Siku za kutrade ni siku60, nipamoja na siku za weekend
2.minimum lotsize ni 0.01, Ila baada ya siku 60 jumla ya lotsize ulizotumia zifike jumla 25.
3.Hairuhusiwi Hedging yani unabuy na kusell pair moja kwa wakati mmoja.
4. Ukifungua position inabid ikae kuanzia Dakika 5 ndo uifunge, namainisha usiclose position chini ya dakika5 baada ya kufungua.
5.Trade uwezavyo kuza mtaji uwezavyo Ila maximum withdraw ni $100 (profit).
Kwa Hiyo hata ukipandisha kufikia $600 utaweza kuwithdraw $100 tu .
Unachotakiwa kufanya ni kujisajili Sasa hafu fungua account ya Perfect $100 Non Deposit Bonus
 
Ni kweli wacha ubishi wewe...forex kufundishwa hapa bongo hatuna wataalam ..kwa mtu mmoja mmoja labda uwe umejifunza pekee yako.
Msasani my fair hotel kuna jamaa alijaribu kufundisha akaingia mitini,watu hawako tayari,hata bitcoin ukiwaukiza wanafanya wakundishe wanaanza mambo ya subiri Niko busy,hii bongo ni roho mbaya camp.
 
Bongo hapa forex chuo utasoma tu intro tena ya juu juu sana.....kwa waliosoma international finance au FN basi topic ya kwanza ni forex...humo utasoma bid,ask,spread , option etc...inakua imeisha hyo[emoji1787][emoji1787]
😂😂 duh! Mbona basic sasa? Yaani hata layer ya ndani yenyewe hamgusi?
 
Msasani my fair hotel kuna jamaa alijaribu kufundisha akaingia mitini,watu hawako tayari,hata bitcoin ukiwaukiza wanafanya wakundishe wanaanza mambo ya subiri Niko busy,hii bongo ni roho mbaya camp.
Sio kwa wote, mbona wapo watu wengi wanashare knowledge na vitu vingi about forex tena for free Telegram...
 
Bongo hapa forex chuo utasoma tu intro tena ya juu juu sana.....kwa waliosoma international finance au FN basi topic ya kwanza ni forex...humo utasoma bid,ask,spread , option etc...inakua imeisha hyo[emoji1787][emoji1787]
Actually ndio hayo hayo tuliosomaga sisi
 
Wale msiokuwa na mtaji wa kuanza kutrade forex au ulikuwa na mtaji hafu ukachoma Nina habari njema kwenu,
Just Perfect Market wanayo furaha kuwataarifu wateja wake wa thamani kwamba wameanzisha welcome bonus ya $100 ambayo haitahitaji udeposit hela yoyote kwenye acc yako.

Bonus hii ni kwa wote ambao tayari wanamtumia broker huyu na wale wapya .

Bonus ni ya muda wa siku60 ,
Ili uweze kuwithdraw inatakiwa ufuate taratibu zifuatazo
1.Siku za kutrade ni siku60, nipamoja na siku za weekend
2.minimum lotsize ni 0.01, Ila baada ya siku 60 jumla ya lotsize ulizotumia zifike jumla 25.
3.Hairuhusiwi Hedging yani unabuy na kusell pair moja kwa wakati mmoja.
4. Ukifungua position inabid ikae kuanzia Dakika 5 ndo uifunge, namainisha usiclose position chini ya dakika5 baada ya kufungua.
5.Trade uwezavyo kuza mtaji uwezavyo Ila maximum withdraw ni $100 (profit).
Kwa Hiyo hata ukipandisha kufikia $600 utaweza kuwithdraw $100 tu .
Unachotakiwa kufanya ni kujisajili Sasa hafu fungua account ya Perfect $100 Non Deposit Bonus
Nimekuwekea na link hapo chini
Hivi ndio vi platform vya kijambazi kama “Expert Options” ama “FXTM” una trade demo ukijiunga tu zile chart zinachezeshwa na computer! Ukitrade kuuza inafungia ambako utaliwa hela yako! Ukitrade kununua inafungia ambako italiwa hela yako inakuwa haifati real time Algorithm!
 
zoom meeting next week, forex advanced knowledge utauliza maswali yako yote, itakua ni bure kabisa just knowledge sharing welcome you all
 
Back
Top Bottom