Forex Trading yaanza kufundishwa rasmi chuo kikuu

Bongo hapa forex chuo utasoma tu intro tena ya juu juu sana.....kwa waliosoma international finance au FN basi topic ya kwanza ni forex...humo utasoma bid,ask,spread , option etc...inakua imeisha hyo[emoji1787][emoji1787]
MZEE NI UKWELI MTUPU.
 
Kweli kabisa watu wengi wanapenda profit za haraka kuliko kujifunza ndo maana wanaona Forex ni kama betting coz bila elimu lazima upigwe Forex,,,,,ushauri wangu watu wasitrade bila kusoma Forex ipoje na inafanyaje kaze at least miaka miwili usome vitabu uelewe nanna ya kutrade then ndo uanze kutrade,,,,,
Tatizo mtu hataki kujifunza mwisho wa siku hela zinaangukia kwa vibaka wa mtandaoni ishu ya forex elimu inahitajika ya kutosha kabisaa ukikurupuka lazma uone kama kubet tu [emoji23][emoji23]
 
Chuo kikuu cha sayansi na teknolijia cha Mbeya wanatarajia kuanza kutoa course fupo ya cryptocurrencies kwa gharama ya tsh370000 kuanzia oct 2021
 
Huu ni upuuzi kwanza hiyo lot ya 25 ndani ya siku 60 ni utopolo huwezi kuwa uneweka 100-200$ uifikie kama wewe ni real trader!!! Hio ni kukufanya upoteze concentration usifuate risk kisha uunguze account.

Ushauri usimtumie huyu broker kamwe? Kwa uzoefu wangu kwenye hii biashara best broker ni Just forex fungua ECN account.

Achana na bonus zenye mashariti ni scammers, ushaambiwa ukitrade ata profit ifike 600$ maximum amount to withdraw kabla ya 60 days ni 100$. Lengo ni kwamba wanaamini utaipoteza tu.

Nimetoa ushsuri kazi kwako ufwate vya bure unyongwe ama ujiongeze, mwisho usipende kujiunga kwa kutumia link ya mtu, ukiwa mkubwa utakuja kunishukuru.
 
Chuo kikuu cha sayansi na teknolijia cha Mbeya wanatarajia kuanza kutoa course fupo ya cryptocurrencies kwa gharama ya tsh370000 kuanzia oct 2021
Mmmmmmh are you sure?
 
Ni ukwel kabsa hawa ni wahuni kama wahuni wengine tu?
 
Kuna wale watanzania wanyonge wanao semaga forex ni utapeli nashangaa mpaka nafika hapa sijaona posti yao hata moja.
 
#3
#4
Nikisema huyo ni scammer utabisha? Nyie ndio ndio mnaifanya FX ionekane ni ya watu kama Baba Revo!
 
Vyanzo vyako vya taarifa ni vile vya jalalani....nenda mbele hatua mbili...nje ya JF, nje ya fb na insta!
Sasa Mkuu na wewe pia si chanzo changu cha taarifa, kwahio na wewe ni chanzo cha 'jalalani'?.

Mkuu watu ni taarifa, kwenye taarifa jua yoyote inaweza kuwa kweli au uongo, ni wewe tu namna unazichuja hizo taarifa utajua nini ufanye.
 
Kuna wale watanzania wanyonge wanao semaga forex ni utapeli nashangaa mpaka nafika hapa sijaona posti yao hata moja.
Wanafuata hype tu

Kimsingi hawana wa jualo

Wasikutoe kwenye reli

Just keep grinding [emoji123] it hard
 
Bongo hapa forex chuo utasoma tu intro tena ya juu juu sana... kwa waliosoma international finance au FN basi topic ya kwanza ni forex... humo utasoma bid, ask, spread, option etc... inakua imeisha hiyo[emoji1787][emoji1787]
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…