Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #21
Labda kwa bongo kwasababu Kuna biashara ambazo sio betting kabisa mfano Vodacom kampuni haibet Ile ni uhakika kuingiza pesaY not beother, hshule betting farming betting tuu kwa huku bongo
Mtaji wake sasaLabda kwa bongo kwasababu Kuna biashara ambazo sio betting kabisa mfano Vodacom kampuni haibet Ile ni uhakika kuingiza pesa
Yeah but Haina riskMtaji wake sasa
Sasa wangapi binadamu tunaweza hiyo mitani mzeya.Yeah but Haina risk
Huku duniani hamna biashara ya uhakika wa kuingiza faida 100%. Hakuna. Kila kitu ni betting huku duniani. Mungu wako mwenyewe unaomuamimi hujawahi kumuona, una bet tu ukitegemea siku ukifa ukienda Mbinguni umkute. Hata unavyosoma, unabet vile vile. Huna uhakika kama utamaliza masomo ukiwa hai. Kama ukifa kabla kuhitimu masomo Ina maana ada yote imeliwa. Kila kitu duniani ni bettingLabda kwa bongo kwasababu Kuna biashara ambazo sio betting kabisa mfano Vodacom kampuni haibet Ile ni uhakika kuingiza pesa
😂😂😂Alijua kuwaliza watu🤣
Mimi nilifanya utafiti. Nipo nasomea Industrial Engineering inajumuisha Mechanical Engineering, Management na Accounting. Nilifuatilia Courses za kusomea Forex mpaka nikaenda Frankfurt. Wakasema Forex trader wa kawaida akipata faida ya asilimia 40 ya hela aliyowekeza katika portfolio yake yote ya kutrade wanampa ajira chap mara moja. Haya mambo siyo kujua tu ku-trade. Ma- benki makubwa ya dunia yanafanya ''High Frequency Trading'' yaani kabla hata haujanunua dola wao washanunua na wanakuuzia kwa bei ya juu. Kwa sababu computer zao ziko automated na zina speed na internet speed kali kuliko wewe. Ukinunua dolla wao wananunua kwa bei ya sasa na kukuuuzia bei ya juu. Sasa ndio tukae na tujiulize wewe na computer yako nyumbani unaweza kuingiza faida. Are we serious ? Kama kuna trader ameingiza faida asilimia 40 ya hela aliyowekeza kwenye forex aje inbox nimuunganishe na watu wa Frankfurt. Wao wanawasiliana na broker ikijualikana uko poa fasta unakwea pipa kuja huku. Nawaasa sana sana vijana wenzangu kila kitu kipo mitandaoni. ´Tupunguze kukesha kufuatilia umbeya na Pornographic mitandaoni. Nikiingia youtube na hata twitter za watanzania naona ni umbeya, Ngono , michezo na burudani. Inaniuma sana hatuna uchumi huo ndugu zangu. Tuna taifa ambalo watu wanatapeliwa kizembe sana.Huyu jamaa ni scammer ambaye anakuja kwa njia ya motivation ili awatapeli watu. Mtu ambaye anakuja kusanuka ataelewa plan zote za huyu jamaa mwisho wa siku nj utapeli
Kabisa mkuu watu wasanukeMimi nilifanya utafiti. Nipo nasomea Industrial Engineering inajumuisha Mechanical Engineering, Management na Accounting. Nilifuatilia Courses za kusomea Forex mpaka nikaenda Frankfurt. Wakasema Forex trader wa kawaida akipata faida ya asilimia 40 ya hela aliyowekeza katika portfolio yake yote ya kutrade wanampa ajira chap mara moja. Haya mambo siyo kujua tu ku-trade. Ma- benki makubwa ya dunia yanafanya ''High Frequency Trading'' yaani kabla hata haujanunua dola wao washanunua na wanakuuzia kwa bei ya juu. Kwa sababu computer zao ziko automated na zina speed na internet speed kali kuliko wewe. Ukinunua dolla wao wananunua kwa bei ya sasa na kukuuuzia bei ya juu. Sasa ndio tukae na tujiulize wewe na computer yako nyumbani unaweza kuingiza faida. Are we serious ? Kama kuna trader ameingiza faida asilimia 40 ya hela aliyowekeza kwenye forex aje inbox nimuunganishe na watu wa Frankfurt. Wao wanawasiliana na broker ikijualikana uko poa fasta unakwea pipa kuja huku. Nawaasa sana sana vijana wenzangu kila kitu kipo mitandaoni. ´Tupunguze kukesha kufuatilia umbeya na Pornographic mitandaoni. Nikiingia youtube na hata twitter za watanzania naona ni umbeya, Ngono , michezo na burudani. Inaniuma sana hatuna uchumi huo ndugu zangu. Tuna taifa ambalo watu wanatapeliwa kizembe sana.
Mimi nilifanya utafiti. Nipo nasomea Industrial Engineering inajumuisha Mechanical Engineering, Management na Accounting. Nilifuatilia Courses za kusomea Forex mpaka nikaenda Frankfurt. Wakasema Forex trader wa kawaida akipata faida ya asilimia 40 ya hela aliyowekeza katika portfolio yake yote ya kutrade wanampa ajira chap mara moja. Haya mambo siyo kujua tu ku-trade. Ma- benki makubwa ya dunia yanafanya ''High Frequency Trading'' yaani kabla hata haujanunua dola wao washanunua na wanakuuzia kwa bei ya juu. Kwa sababu computer zao ziko automated na zina speed na internet speed kali kuliko wewe. Ukinunua dolla wao wananunua kwa bei ya sasa na kukuuuzia bei ya juu. Sasa ndio tukae na tujiulize wewe na computer yako nyumbani unaweza kuingiza faida. Are we serious ? Kama kuna trader ameingiza faida asilimia 40 ya hela aliyowekeza kwenye forex aje inbox nimuunganishe na watu wa Frankfurt. Wao wanawasiliana na broker ikijualikana uko poa fasta unakwea pipa kuja huku. Nawaasa sana sana vijana wenzangu kila kitu kipo mitandaoni. ´Tupunguze kukesha kufuatilia umbeya na Pornographic mitandaoni. Nikiingia youtube na hata twitter za watanzania naona ni umbeya, Ngono , michezo na burudani. Inaniuma sana hatuna uchumi huo ndugu zangu. Tuna taifa ambalo watu wanatapeliwa kizembe sana.
Forex haipo ivo na reason tunasema ni betting ni kwa sababu forex market haipo, it doesnt exist mnatrade kitu ambacho doesnt exist 🤣 🤣 🤣 , hio 1Forex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.
Probability: Outcome is either you win or lose.
Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.
Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.
Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
usipoteze mda wako kuelewa forex, no mater how you try to understand it you will never manage because it doesnt exist, you were scammed! kila sku utakuja na reasons kibao kwann unaloose and no matter how hard you try to fix your problems you will never come out safeForex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.
Probability: Outcome is either you win or lose.
Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.
Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.
Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
unapoteza tu mda wako, labda tukusaidieForex si kamwe kamari, bali ni biashara ya kubadilishana sarafu za kigeni kwa lengo la kufaidika na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaweza kufananisha forex na kamari kwa sababu ya hatari na tabia ya kubahatisha inayohusishwa na biashara hiyo. Hapa kwa ufupi ni maelezo ya tofauti na ufanano kati ya forex na kamari:
### Tofauti:
1. Muundo wa Soko:
- Forex: Inahusisha kununua na kuuza sarafu kwenye soko la fedha za kigeni, ambalo ni soko kubwa zaidi na lenye utendaji mkubwa ulimwenguni. Soko hili hufanya kazi masaa 24 kwa siku, tangu Jumatatu hadi Ijumaa .
- Kamari: Inahusisha kuweka dau kwenye matokeo ya tukio fulani, kama vile mchezo wa mpira au mbio za farasi. Matokeo ya kamari mara nyingi huwa ya moja kwa moja (ushindi au hasara).
2. Lengo:
- Forex: Hutumiwa kwa kusudi la kufanya uwekezaji, kuzuia hatari (hedging), au kufanya biashara ya kubadilishana sarafu. Wafanyabiashara hutumia uchambuzi wa kiuchumi na wa kiufundi kufanya maamuzi ya kimkakati .
- Kamari: Kwa kawaida ni kwa ajili ya burudani na nafasi ya kushinda pesa kwa kubahatisha.
3. Ujuzi na Uchambuzi:
- Forex: Inahitaji ujuzi wa viashiria vya kiuchumi, matukio ya kisiasa, na uchambuzi wa kiufundi. Wafanyabiashara wanaofanikiwa hufanya maamuzi ya kimkakati na kutumia mbinu za kudhibiti hatari .
- Kamari: Ingawa baadhi ya aina za kamari (kama vile poker) zinahitaji ujuzi na mbinu, nyingi hutegemea bahati tu.
4. Udhibiti:
- Forex: Inadhibitiwa kwa ukali na mamlaka za kifedha katika nchi mbalimbali ili kulinda wawekezaji na kuhakikisha uadilifu wa soko .
- Kamari: Pia inadhibitiwa, lakini kanuni za udhibiti ni tofauti na kwa kawaida hulenga kuhakikisha haki na kuzuia udanganyifu.
### Ufanano:
1. Hatari na Faida: Zote mbili zinahusisha hatari ya kupoteza pesa na nafasi ya kufaidika. Matokeo ya biashara ya forex na kamari ni ya kutotabirika.
2. Tabia ya Kubahatisha: Zote mbili zinahusisha kutabiri matokeo ya baadaye. Katika forex, wafanyabiashara hutabiri mwendo wa sarafu; katika kamari, watu hutabiri matokeo ya tukio.
3. Vipengele vya Kisaikolojia: Zote mbili zinahitaji nidhamu, udhibiti wa hisia, na uwezo wa kudhibiti hatari.
### Hitimisho:
Ingawa forex na kamari zinaweza kuonekana kuwa sawa kwa sababu ya hatari na tabia ya kubahatisha, zina tofauti kubwa za kimuundo na kwa kusudi. Forex ni biashara ya kifedha inayohitaji ujuzi na uchambuzi, wakati kamari ni shughuli ya burudani inayotegemea bahati. Ni muhimu kwa watu kufahamu tofauti hizi na kufanya maamuzi sahihi kulingana na malengo yao na uwezo wao wa kudhibiti hatari .
Ni tui na maziwa exactly looks the same but totally different, betting ata mtu asijuwa kusoma anafanya trump anaweza sema uchumi umeinarika dollar ikapanda apo apo kocha wa yanga anaweza sema yanga itashinda ila matokeo yakaja zero
forex market doesnt exist: soma ata the citizen kijana tukufundishe mara ngap: The Truths about Forex Trading.Ni tui na maziwa exactly looks the same but totally different, betting ata mtu asijuwa kusoma anafanya trump anaweza sema uchumi umeinarika dollar ikapanda apo apo kocha wa yanga anaweza sema yanga itashinda ila matokeo yakaja zero