Forex vs Betting.

Forex vs Betting.

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Labda kwa bongo kwasababu Kuna biashara ambazo sio betting kabisa mfano Vodacom kampuni haibet Ile ni uhakika kuingiza pesa
Huku duniani hamna biashara ya uhakika wa kuingiza faida 100%. Hakuna. Kila kitu ni betting huku duniani. Mungu wako mwenyewe unaomuamimi hujawahi kumuona, una bet tu ukitegemea siku ukifa ukienda Mbinguni umkute. Hata unavyosoma, unabet vile vile. Huna uhakika kama utamaliza masomo ukiwa hai. Kama ukifa kabla kuhitimu masomo Ina maana ada yote imeliwa. Kila kitu duniani ni betting
 
Ni tui na maziwa exactly looks the same but totally different, betting ata mtu asijuwa kusoma anafanya trump anaweza sema uchumi umeinarika dollar ikapanda apo apo kocha wa yanga anaweza sema yanga itashinda ila matokeo yakaja zero
 
Forex si kamwe kamari, bali ni biashara ya kubadilishana sarafu za kigeni kwa lengo la kufaidika na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaweza kufananisha forex na kamari kwa sababu ya hatari na tabia ya kubahatisha inayohusishwa na biashara hiyo. Hapa kwa ufupi ni maelezo ya tofauti na ufanano kati ya forex na kamari:

### Tofauti:
1. Muundo wa Soko:
- Forex: Inahusisha kununua na kuuza sarafu kwenye soko la fedha za kigeni, ambalo ni soko kubwa zaidi na lenye utendaji mkubwa ulimwenguni. Soko hili hufanya kazi masaa 24 kwa siku, tangu Jumatatu hadi Ijumaa .
- Kamari: Inahusisha kuweka dau kwenye matokeo ya tukio fulani, kama vile mchezo wa mpira au mbio za farasi. Matokeo ya kamari mara nyingi huwa ya moja kwa moja (ushindi au hasara).

2. Lengo:
- Forex: Hutumiwa kwa kusudi la kufanya uwekezaji, kuzuia hatari (hedging), au kufanya biashara ya kubadilishana sarafu. Wafanyabiashara hutumia uchambuzi wa kiuchumi na wa kiufundi kufanya maamuzi ya kimkakati .
- Kamari: Kwa kawaida ni kwa ajili ya burudani na nafasi ya kushinda pesa kwa kubahatisha.

3. Ujuzi na Uchambuzi:
- Forex: Inahitaji ujuzi wa viashiria vya kiuchumi, matukio ya kisiasa, na uchambuzi wa kiufundi. Wafanyabiashara wanaofanikiwa hufanya maamuzi ya kimkakati na kutumia mbinu za kudhibiti hatari .
- Kamari: Ingawa baadhi ya aina za kamari (kama vile poker) zinahitaji ujuzi na mbinu, nyingi hutegemea bahati tu.

4. Udhibiti:
- Forex: Inadhibitiwa kwa ukali na mamlaka za kifedha katika nchi mbalimbali ili kulinda wawekezaji na kuhakikisha uadilifu wa soko .
- Kamari: Pia inadhibitiwa, lakini kanuni za udhibiti ni tofauti na kwa kawaida hulenga kuhakikisha haki na kuzuia udanganyifu.

### Ufanano:
1. Hatari na Faida: Zote mbili zinahusisha hatari ya kupoteza pesa na nafasi ya kufaidika. Matokeo ya biashara ya forex na kamari ni ya kutotabirika.
2. Tabia ya Kubahatisha: Zote mbili zinahusisha kutabiri matokeo ya baadaye. Katika forex, wafanyabiashara hutabiri mwendo wa sarafu; katika kamari, watu hutabiri matokeo ya tukio.
3. Vipengele vya Kisaikolojia: Zote mbili zinahitaji nidhamu, udhibiti wa hisia, na uwezo wa kudhibiti hatari.

### Hitimisho:
Ingawa forex na kamari zinaweza kuonekana kuwa sawa kwa sababu ya hatari na tabia ya kubahatisha, zina tofauti kubwa za kimuundo na kwa kusudi. Forex ni biashara ya kifedha inayohitaji ujuzi na uchambuzi, wakati kamari ni shughuli ya burudani inayotegemea bahati. Ni muhimu kwa watu kufahamu tofauti hizi na kufanya maamuzi sahihi kulingana na malengo yao na uwezo wao wa kudhibiti hatari .
 
Forex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.

Probability: Outcome is either you win or lose.

Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.

Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.

Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
 
Huyu jamaa ni scammer ambaye anakuja kwa njia ya motivation ili awatapeli watu. Mtu ambaye anakuja kusanuka ataelewa plan zote za huyu jamaa mwisho wa siku nj utapeli
Mimi nilifanya utafiti. Nipo nasomea Industrial Engineering inajumuisha Mechanical Engineering, Management na Accounting. Nilifuatilia Courses za kusomea Forex mpaka nikaenda Frankfurt. Wakasema Forex trader wa kawaida akipata faida ya asilimia 40 ya hela aliyowekeza katika portfolio yake yote ya kutrade wanampa ajira chap mara moja. Haya mambo siyo kujua tu ku-trade. Ma- benki makubwa ya dunia yanafanya ''High Frequency Trading'' yaani kabla hata haujanunua dola wao washanunua na wanakuuzia kwa bei ya juu. Kwa sababu computer zao ziko automated na zina speed na internet speed kali kuliko wewe. Ukinunua dolla wao wananunua kwa bei ya sasa na kukuuuzia bei ya juu. Sasa ndio tukae na tujiulize wewe na computer yako nyumbani unaweza kuingiza faida. Are we serious ? Kama kuna trader ameingiza faida asilimia 40 ya hela aliyowekeza kwenye forex aje inbox nimuunganishe na watu wa Frankfurt. Wao wanawasiliana na broker ikijualikana uko poa fasta unakwea pipa kuja huku. Nawaasa sana sana vijana wenzangu kila kitu kipo mitandaoni. ´Tupunguze kukesha kufuatilia umbeya na Pornographic mitandaoni. Nikiingia youtube na hata twitter za watanzania naona ni umbeya, Ngono , michezo na burudani. Inaniuma sana hatuna uchumi huo ndugu zangu. Tuna taifa ambalo watu wanatapeliwa kizembe sana.
 
Kabisa mkuu watu wasanuke
 
hahaha ngoja nkusaidie:
inaitwa HIGH FREQUENCY TRADING haifanyiki kwenye forex bali kwenye stock market forex haina soko ni utapeli, pia issue sio spidi aya internet bali unatakiwa computer yako iwe karibu na soko hawatumii internet bali ni WIRE cable inaconnectiwa direct kwenye soko, with forex u cant because forex marker doesnt exist, neno forex ni kitendo na sio soko, forex ni kifupi cha FOREIGN EXCHANGE(FOREX) mabroka waliamua tu kuja kushika watu vichwa but hakunaga soko la forex ni utapeli na serikali nyingi znajua, wengine wameifungia but wanajua
1739302413353.png
 
Forex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.

Probability: Outcome is either you win or lose.

Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.

Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.

Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
Forex haipo ivo na reason tunasema ni betting ni kwa sababu forex market haipo, it doesnt exist mnatrade kitu ambacho doesnt exist 🤣 🤣 🤣 , hio 1

cha 2 ukitrade broka anachukue ela yako anampa mwingine ukiloose, likewise sportpesa unakusanya ela za walioloose unampa mshindi ndo betting imetokea apo
 
Forex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.

Probability: Outcome is either you win or lose.

Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.

Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.

Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
usipoteze mda wako kuelewa forex, no mater how you try to understand it you will never manage because it doesnt exist, you were scammed! kila sku utakuja na reasons kibao kwann unaloose and no matter how hard you try to fix your problems you will never come out safe

utaambiwa shida ni EMOTIONS, kesho utaambiwa tumia 1:2 ndo shida but here am telling you no matter any reasons u try to fix u cant cme out safe because forex market doesnt exist it is a scam
 
Forex si kamwe kamari, bali ni biashara ya kubadilishana sarafu za kigeni kwa lengo la kufaidika na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaweza kufananisha forex na kamari kwa sababu ya hatari na tabia ya kubahatisha inayohusishwa na biashara hiyo. Hapa kwa ufupi ni maelezo ya tofauti na ufanano kati ya forex na kamari:

### Tofauti:
1. Muundo wa Soko:
- Forex: Inahusisha kununua na kuuza sarafu kwenye soko la fedha za kigeni, ambalo ni soko kubwa zaidi na lenye utendaji mkubwa ulimwenguni. Soko hili hufanya kazi masaa 24 kwa siku, tangu Jumatatu hadi Ijumaa .
- Kamari: Inahusisha kuweka dau kwenye matokeo ya tukio fulani, kama vile mchezo wa mpira au mbio za farasi. Matokeo ya kamari mara nyingi huwa ya moja kwa moja (ushindi au hasara).

2. Lengo:
- Forex: Hutumiwa kwa kusudi la kufanya uwekezaji, kuzuia hatari (hedging), au kufanya biashara ya kubadilishana sarafu. Wafanyabiashara hutumia uchambuzi wa kiuchumi na wa kiufundi kufanya maamuzi ya kimkakati .
- Kamari: Kwa kawaida ni kwa ajili ya burudani na nafasi ya kushinda pesa kwa kubahatisha.

3. Ujuzi na Uchambuzi:
- Forex: Inahitaji ujuzi wa viashiria vya kiuchumi, matukio ya kisiasa, na uchambuzi wa kiufundi. Wafanyabiashara wanaofanikiwa hufanya maamuzi ya kimkakati na kutumia mbinu za kudhibiti hatari .
- Kamari: Ingawa baadhi ya aina za kamari (kama vile poker) zinahitaji ujuzi na mbinu, nyingi hutegemea bahati tu.

4. Udhibiti:
- Forex: Inadhibitiwa kwa ukali na mamlaka za kifedha katika nchi mbalimbali ili kulinda wawekezaji na kuhakikisha uadilifu wa soko .
- Kamari: Pia inadhibitiwa, lakini kanuni za udhibiti ni tofauti na kwa kawaida hulenga kuhakikisha haki na kuzuia udanganyifu.

### Ufanano:
1. Hatari na Faida: Zote mbili zinahusisha hatari ya kupoteza pesa na nafasi ya kufaidika. Matokeo ya biashara ya forex na kamari ni ya kutotabirika.
2. Tabia ya Kubahatisha: Zote mbili zinahusisha kutabiri matokeo ya baadaye. Katika forex, wafanyabiashara hutabiri mwendo wa sarafu; katika kamari, watu hutabiri matokeo ya tukio.
3. Vipengele vya Kisaikolojia: Zote mbili zinahitaji nidhamu, udhibiti wa hisia, na uwezo wa kudhibiti hatari.

### Hitimisho:
Ingawa forex na kamari zinaweza kuonekana kuwa sawa kwa sababu ya hatari na tabia ya kubahatisha, zina tofauti kubwa za kimuundo na kwa kusudi. Forex ni biashara ya kifedha inayohitaji ujuzi na uchambuzi, wakati kamari ni shughuli ya burudani inayotegemea bahati. Ni muhimu kwa watu kufahamu tofauti hizi na kufanya maamuzi sahihi kulingana na malengo yao na uwezo wao wa kudhibiti hatari .
unapoteza tu mda wako, labda tukusaidie
1739303660045.png
 
Ni tui na maziwa exactly looks the same but totally different, betting ata mtu asijuwa kusoma anafanya trump anaweza sema uchumi umeinarika dollar ikapanda apo apo kocha wa yanga anaweza sema yanga itashinda ila matokeo yakaja zero
1739303702460.png

we kila sku tunakufundisha kitu kile kile huelewi tu
 
Ni tui na maziwa exactly looks the same but totally different, betting ata mtu asijuwa kusoma anafanya trump anaweza sema uchumi umeinarika dollar ikapanda apo apo kocha wa yanga anaweza sema yanga itashinda ila matokeo yakaja zero
forex market doesnt exist: soma ata the citizen kijana tukufundishe mara ngap: The Truths about Forex Trading.

1739303896130.png
 
Trading and gambling are two activities that can sometimes seem similar because they both involve risk and the possibility of financial gain or loss, but they have fundamental differences:

Trading:
Definition: Trading generally refers to the buying and selling of financial instruments like stocks, bonds, commodities, currencies (forex), or cryptocurrencies with the aim of making a profit from price movements.
Purpose: The primary goal is often to achieve capital growth or income through the appreciation of asset value or through dividends and interest over time. Traders might use various strategies like fundamental analysis (analyzing financial statements, market conditions, etc.) or technical analysis (studying chart patterns and price movements).
Time Horizon: Can vary widely from long-term investments held for years to short-term trades like day trading where securities are bought and sold within the same day.
Risk Management: Professional traders often employ risk management techniques such as setting stop-loss orders, diversification, and using leverage cautiously to manage potential losses.
Regulation: Trading in financial markets is regulated by governmental bodies like the SEC in the U.S., requiring transparency, licensing, and adherence to market rules.
Knowledge and Skill: Successful trading typically requires a deep understanding of markets, economics, and possibly specific industries or sectors, along with discipline and emotional control.

Gambling:
Definition: Gambling involves betting on games of chance or events where the outcome is uncertain, with the intent of winning money or material goods.
Purpose: The primary purpose is entertainment, though some might treat it as a source of income. The outcomes are largely based on luck rather than skill or economic analysis.
Time Horizon: Usually very short; outcomes are often determined quickly, whether it's a spin of a roulette wheel, a hand of poker, or the outcome of a sports match.
Risk Management: In gambling, there's less structured risk management. While strategies exist for certain games, the house edge means the casino or bookmaker has a statistical advantage.
Regulation: Gambling is also regulated but often with a focus on ensuring fairness in games, preventing money laundering, and protecting vulnerable individuals from addiction.
Knowledge and Skill: While skill can influence outcomes in some forms of gambling (like poker), the predominant factor is chance. Knowledge here might relate to understanding odds or game rules, but it doesn't guarantee success.

Overlap:
Speculative Elements: Both activities involve speculation where participants predict future outcomes to make money. However, in trading, these predictions are often backed by more research and analysis.
Psychological Impact: Both can lead to emotional highs and lows due to financial stakes, leading to similar psychological profiles in terms of risk-taking, loss aversion, and the thrill of winning.
Casino vs. Market: Some trading, especially day trading or high-frequency trading, might feel akin to gambling to outsiders due to its fast pace and the high risk involved. Conversely, some forms of gambling like sports betting might require a level of analysis similar to trading.

In summary, while both trading and gambling involve risk and the potential for financial gain or loss, trading is generally grounded more in analysis and strategy with the aim of long-term wealth creation or income generation, whereas gambling is predominantly about chance and entertainment. However, in practice, the line can blur, particularly with speculative trading strategies or when gambling involves elements of skill.
 
Back
Top Bottom