Forex vs Betting.

Forex vs Betting.

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Forex ni skill na inachukua muda kujifunza mpaka kufikia mafanikio ila forex bila maarifa ni betting......

Betting is not a skill
betting is not a skill , hujuu betting ila unajuwa forex
 
unapoteza tu mda wako, labda tukusaidie
View attachment 3233792
Mkuu searching kinds of broker nakusahidiya wapo aina 2
1/Dealing desks brokers
2/No dealing desk brokers
Sas kwa hupande wa AI hilivyokujibu himekupa hupande Moja wa aina ya broker sasa kwakusahidiya tu sema nikupe kitabu usome na upate kitu kinahitwa Elimu. True information is power. Narudia Someni vitabu na kuvielewa siri zote zipo kwenye vitabu.
 
Sas kwa hupande wa AI hilivyokujibu himekupa hupande Moja wa aina ya broker sasa kwakusahidiya tu sema nikupe kitabu usome na upate kitu kinahitwa Elimu. True information is power. Narudia Someni vitabu na kuvielewa siri zote zipo kwenye vitabu
Na vijitabu bahazi Kam ukitaka sema nikupe softcopy & hardcopy bure soma,soko lolote utaweza na wezi wote mitandaoni utawajuwa maan vitabu Kila kitu vimehandika na ukijuwa market speculation, analysis hmn soko litakayo kushinda ni juhudizako na ela Yako kama Utt amisi,nasadac,cryptocurrenc, volatile, commodity,FOREX ni Elimu Yako.Sema Nini wabongo atupendi kusoma afu ujuwajimwingi.
 
Attachments

  • IMG_20250211_232238.jpg
    IMG_20250211_232238.jpg
    82.2 KB · Views: 3
forex market doesnt exist: soma ata the citizen kijana tukufundishe mara ngap: The Truths about Forex Trading.

View attachment 3233795
Mbona hakuna mahala citizen gazette wamepinga wametoa tu elimu na jinsi ilivyo na baadhi ya brokers na akashauri ushauri mzuri kabisa kuwa utumie brokers Gani namie nawajua hao hao wanaoshauri, namie huwa namuilizaga tu mtu kuwa unatumia broker gani akiniambia tu najua kuwa hajui bado. Hebu screen shot walipokataza kuwa haipo, wamesema kuwa ni ngumu na waliyoongea ni ya ukweli kuwa Kuna brokers wanafanya inakuwa rahisi ili kuvuta newbies ambao una uhakika kuwa watapoteza. Hii ishu ni gambling kwani hujui,
Mtu ananunua hisa zake mara kesho zimeshuka, akina Kodak, kampuni za saa zilikufa.
 
Mimi nilifanya utafiti. Nipo nasomea Industrial Engineering inajumuisha Mechanical Engineering, Management na Accounting. Nilifuatilia Courses za kusomea Forex mpaka nikaenda Frankfurt. Wakasema Forex trader wa kawaida akipata faida ya asilimia 40 ya hela aliyowekeza katika portfolio yake yote ya kutrade wanampa ajira chap mara moja. Haya mambo siyo kujua tu ku-trade. Ma- benki makubwa ya dunia yanafanya ''High Frequency Trading'' yaani kabla hata haujanunua dola wao washanunua na wanakuuzia kwa bei ya juu. Kwa sababu computer zao ziko automated na zina speed na internet speed kali kuliko wewe. Ukinunua dolla wao wananunua kwa bei ya sasa na kukuuuzia bei ya juu. Sasa ndio tukae na tujiulize wewe na computer yako nyumbani unaweza kuingiza faida. Are we serious ? Kama kuna trader ameingiza faida asilimia 40 ya hela aliyowekeza kwenye forex aje inbox nimuunganishe na watu wa Frankfurt. Wao wanawasiliana na broker ikijualikana uko poa fasta unakwea pipa kuja huku. Nawaasa sana sana vijana wenzangu kila kitu kipo mitandaoni. ´Tupunguze kukesha kufuatilia umbeya na Pornographic mitandaoni. Nikiingia youtube na hata twitter za watanzania naona ni umbeya, Ngono , michezo na burudani. Inaniuma sana hatuna uchumi huo ndugu zangu. Tuna taifa ambalo watu wanatapeliwa kizembe sana.

Huyu mdau hapo juu madwar madwar so akaongopa haya alivyosema ama Naye akapewa hela ili avute wadau waingie humo waliweka vichwa
 
Mie ningekuomba uweke hapa hapa jukwaani website zao Mana kesho na kesho vijana watu wataona na watanufaika mkuu, Mana kesho hayupo ama hatuna uhakika wa kuiona, ni fursa nzuri weka hapa. Binafsi nishakutana na kampuni mbili za nje wanataka my one/two years trading history, wao Wana deal na futures na sio cfd.
Hii asilimia 40 kwa mwaka ni kubwa naijua .. it's better ukiweka Kila kitu naked Mana Kuna mtu atanufaika Leo kesho ama hata baada ya miaka mia moja am sure
 
Mbona hakuna mahala citizen gazette wamepinga wametoa tu elimu na jinsi ilivyo na baadhi ya brokers na akashauri ushauri mzuri kabisa kuwa utumie brokers Gani namie nawajua hao hao wanaoshauri, namie huwa namuilizaga tu mtu kuwa unatumia broker gani akiniambia tu najua kuwa hajui bado. Hebu screen shot walipokataza kuwa haipo, wamesema kuwa ni ngumu na waliyoongea ni ya ukweli kuwa Kuna brokers wanafanya inakuwa rahisi ili kuvuta newbies ambao una uhakika kuwa watapoteza. Hii ishu ni gambling kwani hujui,
Mtu ananunua hisa zake mara kesho zimeshuka, akina Kodak, kampuni za saa zilikufa.
Mkuuu akikujibu ni tagi maan acha tusahidian kuelimisha jamii na siyokupotosha jamiii ktk ulimwengu wa Dunia ya 3
 
Forex ni utapeli , Betting ni ubahatishaji.
Halafu hata kutamka ama kuandika neno forex tayAri nakuwa na mashaka na wewe neno halisi ni TRADING, it's the act of buying& selling of various financial instruments assets like currencies, commodities, minerals, energies,stocks,indices,bonds, cryptocurrencies aka liquid assets
 
Mimi nilifanya utafiti. Nipo nasomea Industrial Engineering inajumuisha Mechanical Engineering, Management na Accounting. Nilifuatilia Courses za kusomea Forex mpaka nikaenda Frankfurt. Wakasema Forex trader wa kawaida akipata faida ya asilimia 40 ya hela aliyowekeza katika portfolio yake yote ya kutrade wanampa ajira chap mara moja. Haya mambo siyo kujua tu ku-trade. Ma- benki makubwa ya dunia yanafanya ''High Frequency Trading'' yaani kabla hata haujanunua dola wao washanunua na wanakuuzia kwa bei ya juu. Kwa sababu computer zao ziko automated na zina speed na internet speed kali kuliko wewe. Ukinunua dolla wao wananunua kwa bei ya sasa na kukuuuzia bei ya juu. Sasa ndio tukae na tujiulize wewe na computer yako nyumbani unaweza kuingiza faida. Are we serious ? Kama kuna trader ameingiza faida asilimia 40 ya hela aliyowekeza kwenye forex aje inbox nimuunganishe na watu wa Frankfurt. Wao wanawasiliana na broker ikijualikana uko poa fasta unakwea pipa kuja huku. Nawaasa sana sana vijana wenzangu kila kitu kipo mitandaoni. ´Tupunguze kukesha kufuatilia umbeya na Pornographic mitandaoni. Nikiingia youtube na hata twitter za watanzania naona ni umbeya, Ngono , michezo na burudani. Inaniuma sana hatuna uchumi huo ndugu zangu. Tuna taifa ambalo watu wanatapeliwa kizembe sana.

Huyu mdau hapo juu madwar madwar so akaongopa haya alivyosema ama Naye akapewa hela ili avute wadau waingie humo waliweka vichwa
high frequency trading unakosea jinsi ya kuielezea, ni topic pana!
 
Halafu hata kutamka ama kuandika neno forex tayAri nakuwa na mashaka na wewe neno halisi ni TRADING, it's the act of buying& selling of various financial instruments assets like currencies, commodities, minerals, energies,stocks,indices,bonds, cryptocurrencies aka liquid assets
forex haina uuzaji wala ununuaji wa asset yoyote, forex market haipo! unachokiona kwa broka ni real time price ya currency kwenye central banks mbalmbal and when you press buy hio ela inaisha kwa broka haiendi kokote, broka anakaa na hio hela anasubiri mtu apatie then achukue za kwenu mnaoloose ampe alioshinda, simple as that, wala usihangike kusoma sjui forex market, hilo soko halipo
 
Mbona hakuna mahala citizen gazette wamepinga wametoa tu elimu na jinsi ilivyo na baadhi ya brokers na akashauri ushauri mzuri kabisa kuwa utumie brokers Gani namie nawajua hao hao wanaoshauri, namie huwa namuilizaga tu mtu kuwa unatumia broker gani akiniambia tu najua kuwa hajui bado. Hebu screen shot walipokataza kuwa haipo, wamesema kuwa ni ngumu na waliyoongea ni ya ukweli kuwa Kuna brokers wanafanya inakuwa rahisi ili kuvuta newbies ambao una uhakika kuwa watapoteza. Hii ishu ni gambling kwani hujui,
Mtu ananunua hisa zake mara kesho zimeshuka, akina Kodak, kampuni za saa zilikufa.
1739312240092.png

umeelewa nn apo
 
Mkuu searching kinds of broker nakusahidiya wapo aina 2
1/Dealing desks brokers
2/No dealing desk brokers
Sas kwa hupande wa AI hilivyokujibu himekupa hupande Moja wa aina ya broker sasa kwakusahidiya tu sema nikupe kitabu usome na upate kitu kinahitwa Elimu. True information is power. Narudia Someni vitabu na kuvielewa siri zote zipo kwenye vitabu

Na vijitabu bahazi Kam ukitaka sema nikupe softcopy & hardcopy bure soma,soko lolote utaweza na wezi wote mitandaoni utawajuwa maan vitabu Kila kitu vimehandika na ukijuwa market speculation, analysis hmn soko litakayo kushinda ni juhudizako na ela Yako kama Utt amisi,nasadac,cryptocurrenc, volatile, commodity,FOREX ni Elimu Yako.Sema Nini wabongo atupendi kusoma afu ujuwajimwingi.

Mzee akuna cha dealer desk wala Type A broker, the whole forex thing ni biashara za watu, forex haipo kwa kila mtu na hakuna kitu kinaitwa forex market, unatakiwa uwe na uelewa mkubwa sana katika hii dunia kusurvive scams!

Forex ile yenyewe kabisa nmeshaifanya and am here to simplify maisha yako, no matter how many books utasoma forex market haipo, it doesnt exist forex ni process tu na sio soko, forex ni kifupi cha FOREIGN EXCHANGE kile kitendo ndo kinaitwwa forex sasa, anything outside that unapoteza tu mda soko la forex halipo
 
Mkuu searching kinds of broker nakusahidiya wapo aina 2
1/Dealing desks brokers
2/No dealing desk brokers
Sas kwa hupande wa AI hilivyokujibu himekupa hupande Moja wa aina ya broker sasa kwakusahidiya tu sema nikupe kitabu usome na upate kitu kinahitwa Elimu. True information is power. Narudia Someni vitabu na kuvielewa siri zote zipo kwenye vitabu.
unapoteza mda izo ni biashara za watu na nchi zenye akili zmeshapiga marufuku forex, hakuna aina yo brokers wote ni matapeli, usihangaike na vitabu ivo vinakupotosha, kwakua internet unayo apo i want you ufanye hii research
1) nikinunua asset kwa broker hio hela inaenda wap
2) nkipata hasara hela inaenda wap na nkipata faida ela inatoka wap, hii itakurahisishia sana maisha

ngoja nkurahisishie:
1739312837544.png

1739312948678.png

1739313035342.png

KAZI KWAKO, MJINI APA (DUNIANI APA)
 
usipoteze mda wako kuelewa forex, no mater how you try to understand it you will never manage because it doesnt exist, you were scammed! kila sku utakuja na reasons kibao kwann unaloose and no matter how hard you try to fix your problems you will never come out safe

utaambiwa shida ni EMOTIONS, kesho utaambiwa tumia 1:2 ndo shida but here am telling you no matter any reasons u try to fix u cant cme out safe because forex market doesnt exist it is a scam
Ni kweli na upo sahihi kwa mujibu wa unachofikiri. Kitu ambacho naamini system ya Forex ni kugawana hela zetu wenyewe actually hela ambazo mtu atapata ni kutoka kwa mwengine aliyepigwa.
 
great now does it hit any bell in your head! fikiria sport pesa, unaweka ela unachagua pande zako mbili ukiloose sport pesa wanaichukua ukiwin unapewa ela ya walioloose, ndo forex sasa hio, tukisema ni betting sio kwamba tunasema msifanye hii ni tahadhari kwa mtu asie na uelewa anaweza akahisi forex ni biashara kumbe sio biashara akawa misled
 
Ni kweli na upo sahihi kwa mujibu wa unachofikiri. Kitu ambacho naamini system ya Forex ni kugawana hela zetu wenyewe actually hela ambazo mtu atapata ni kutoka kwa mwengine aliyepigwa.
na pia sisemi kwamba ndo nafikiria ivo bali ndo uhalisia, mm nmefanya forex yenyewe and nmeshasema sana umu, so hio forex unafanya ya broka A-Z amna kitu sjui kuanzia order inaingia mpaka unafilisika, kwa lugha nyepesi if time wasnt an issue i can recreate any broker platform that exists they scam the same same
 
Back
Top Bottom