Habarini wadau,
kwa wale ambao bado tunajifunza,
kuna hii kitu strategy ya ICT-Inner Circle Traders na wengine wanaita smart money concepts ambayo nimekuwa najifunza jifunza katika kutaka kuelewa vizuri forex trade.Nadhani kwa wale kama mimi sio mbaya mkaiangalia hii kitu ni nzuri sana.
Nimeanza kuona matunda kdg
kuna kitu inaitwa FVG iko very interesting
Kama kuna wengine wenye uzoefu nao pia mtume mrejesho .Nia yetu ni wote tuweze kuwa traders wazuri.
M