Hii ICT ni tofauti, haifanani na BTMM inayotumika BTMM indicator, haifanani na TTT ya Jeff inayotumia chart patterns.
Na aliyeigundua alikuwa ni computer scientist Mmarekqni mzungu, ndo maana wazungu nitaendelea kuwaheshimu na anafundisha Bure , so ni wewe uapply hardwork au ufeli kama wengine.
Kwanza forex market inabeen driven na economic factors na kupitia economic data ndo currency ya nchi mmoja Ina -appreciate kuliko mwenzake.
Licha ya kwamba Kuna utapeli mwingi Kwa wale ambao wanashindwa kupata hela sokoni, ndo maana namshauri yeyote ajifunze Bure kupitia channel mbili tu YouTube.
1. Karen Foo(hapa kama huna background ya Uchumi na Finance, maana huku bila kuwa na ujuzi wa economic factors hutoboi)
2. INNER CIRCLE TRADER