Nikafikiri we nguli umeleta ma ujanja hapaHabarini wadau,
kwa wale ambao bado tunajifunza,
kuna hii kitu strategy ya ICT-Inner Circle Traders na wengine wanaita smart money concepts ambayo nimekuwa najifunza jifunza katika kutaka kuelewa vizuri forex trade.Nadhani kwa wale kama mimi sio mbaya mkaiangalia hii kitu ni nzuri sana.
Nimeanza kuona matunda kdg
kuna kitu inaitwa FVG iko very interesting
Kama kuna wengine wenye uzoefu nao pia mtume mrejesho .Nia yetu ni wote tuweze kuwa traders wazuri.
M
ICT STRATEGYHabarini wadau,
kwa wale ambao bado tunajifunza,
kuna hii kitu strategy ya ICT-Inner Circle Traders na wengine wanaita smart money concepts ambayo nimekuwa najifunza jifunza katika kutaka kuelewa vizuri forex trade.Nadhani kwa wale kama mimi sio mbaya mkaiangalia hii kitu ni nzuri sana.
Nimeanza kuona matunda kdg
kuna kitu inaitwa FVG iko very interesting
Kama kuna wengine wenye uzoefu nao pia mtume mrejesho .Nia yetu ni wote tuweze kuwa traders wazuri.
M
Hii ICT ni tofauti, haifanani na BTMM inayotumika BTMM indicator, haifanani na TTT ya Jeff inayotumia chart patterns.Hakuna strategic mpya kweny forex hayo ni majina tu sijui BTMM( beat the market marker) sijui ICT ,pure price action ni trash zote mara sirjeff aite TTT(Treasury trading trick) kuwa makini utapigwa tu.
Anyway Sandile senzi kashatapeli watu huko.
Technical zote ni sawa nakuambia hamna mpya kwa vile forex kila mtu anaweza kubuni mbinu ila ni mule mule hamna mpya.Hii ICT ni tofauti, haifanani na BTMM inayotumika BTMM indicator, haifanani na TTT ya Jeff inayotumia chart patterns.
Na aliyeigundua alikuwa ni computer scientist Mmarekqni mzungu, ndo maana wazungu nitaendelea kuwaheshimu na anafundisha Bure , so ni wewe uapply hardwork au ufeli kama wengine.
Kwanza forex market inabeen driven na economic factors na kupitia economic data ndo currency ya nchi mmoja Ina -appreciate kuliko mwenzake.
Licha ya kwamba Kuna utapeli mwingi Kwa wale ambao wanashindwa kupata hela sokoni, ndo maana namshauri yeyote ajifunze Bure kupitia channel mbili tu YouTube.
1. Karen Foo(hapa kama huna background ya Uchumi na Finance, maana huku bila kuwa na ujuzi wa economic factors hutoboi)
2. INNER CIRCLE TRADER
Na wewe kumbe ulimfatiliaga.FVG
BSL
SSL
BMS
MSS
KabisaHaijawahi tokea trader akawa profitable kwa kucopy strategy za wengine never ever, jifunze kutrade mwenyewe na develop your own style. Wengi wanaojifanya wataalam wa trading mwisho wa siku watakuuzia course
Ila unaweza kusanya tools za wengine na kutengeneza strategy nzuri.Haijawahi tokea trader akawa profitable kwa kucopy strategy za wengine never ever, jifunze kutrade mwenyewe na develop your own style. Wengi wanaojifanya wataalam wa trading mwisho wa siku watakuuzia course
Mimi mwenyewe nimeliwa sana kwa kupewa pips na watu wengine,basically unakua hujui strategy gani wametumia,tangu nimeanza hii ict,nafanya mwenyewe I can see some movementHaijawahi tokea trader akawa profitable kwa kucopy strategy za wengine never ever, jifunze kutrade mwenyewe na develop your own style. Wengi wanaojifanya wataalam wa trading mwisho wa siku watakuuzia course
Yes..Ila unaweza kusanya tools za wengine na kutengeneza strategy nzuri.
Ukiona unauziwa Signal basi ujue wewe ndio Signal yenyewe,Mimi mwenyewe nimeliwa sana kwa kupewa pips na watu wengine,basically unakua hujui strategy gani wametumia,tangu nimeanza hii ict,nafanya mwenyewe I can see some movement