Forex_ICT strategy/Smart Money concept

jidanganyeni na izo pesa za kudownload tuh
Mkuu trading ni biashara kama biashara nyingine. Kama mtu anasoma chuo zaidi ya miaka 4 kuwa mwanasheria au daktari na trading ni hivyohivyo, tatizo vijana wanadanganywa na matapeli wa social media wanaojiita forex traders matokeo yake wao ndio wanageuzwa fursa
 
endeleni kusomea mafinyofinyo si kila elimu ni ya kukukomboa usiwe kiazi
 
Mmh... hii kitu nliwahi kuiskia lakini i never made follow up.
 
one of the best strategies.... japo ukimfuatilia michael(ICT) mwenyewe utachanganyikiwa anacomplicatisha sana wakati vitu easy
 
Hakuna strategic mpya kweny forex hayo ni majina tu sijui BTMM( beat the market marker) sijui ICT ,pure price action ni trash zote mara sirjeff aite TTT(Treasury trading trick) kuwa makini utapigwa tu.

Anyway Sandile senzi kashatapeli watu huko.
Naungana na wewe hakuna strategy mpya!! Hayo ni majina tu lakini basic concept ya forex ni kwanza jua kusoma candle sticks, jua zones za muhimu (suppy and demand, support and resistance) na market structure kwa ujumla!

Baada ya hapo unaweza jazia na fundamental analysis!

The rest ni ujanja tu!!
 
Ni sawa na mtu wa kukuelekeza njia ya kufika Mbeya tokea Dar na akupe options 10 za kufika huko.

Ndo ICT anachofanya, kazi yako ni kutafuta njia nzuri kwako inayokufaa.
yeaaaaah ukitaka ufanye kila kitu anachofundisha ndo balaa linapoanzia
 
nadhani umemaliza kila kitu ,for me nnna shida ya ku overtrade ,ila kwa demo i just stick to OB ,fvg,na trendline na mostly i do trend reversals .nimeona it works for me
 
nadhani umemaliza kila kitu ,for me nnna shida ya ku overtrade ,ila kwa demo i just stick to OB ,fvg,na trendline na mostly i do trend reversals .nimeona it works for me
Trend reversal unaigunduaje boss....na hizi initials kama tuko hapa kwa lengo la kufahamishana kwanin zisiandikwe kwa kirefu kwa mfano kama ni order block unaandika sio kusema OB.
 
Trend reversal unaigunduaje boss....na hizi initials kama tuko hapa kwa lengo la kufahamishana kwanin zisiandikwe kwa kirefu kwa mfano kama ni order block unaandika sio kusema OB.
Ob order block,fvg is fair value gap.
For.me.trend reversal baada ya kuangalia point of interest kwa higher time frame,then unaangalia ikishatokea choch=change of character ni sign moja wapo,then lazima itafanya retracement kwenye fair fair value gap kabla ya kuendelea na hiyo reversal
 
ICT 2022 MENTORSHIP.
VIPI USHAIANGALIA 2023 MENTORSHIP?
NI MOTOOO.
 
Technical zote ni sawa nakuambia hamna mpya kwa vile forex kila mtu anaweza kubuni mbinu ila ni mule mule hamna mpya.
Nakubaliana na wewe hakuna jambo jipya ila watu wanabadilisha majina Ili wawapige hela ma-mentees.
 
ntaicheck kaka nashukuru kwa kunifahamisha
 
Una maana Gani ,unaposema bila e.factor hutoboi? Ma
 
Una maana Gani ,unaposema bila e.factor hutoboi?
Ma
Kacheki NFP jana kilichowafanyia watu wa technical analysis na jana jinsi watu wenye ujuzi wa economics walivyoprofit since Jumatano wakisikiliza kikao cha FED kilichozungumza mustakabali wa Dollar.

Kinachomove Market ni MACRO-ECONOMICS sio Trendline Wala FVG Wala Order block.
 
Ni kweli bro .NFP ni news..and hio kitu inatokea mara Moja Moja but sometimes price tends to respect hizi strategy unazoita za kuchora
 
Ni kweli bro .NFP ni news..and hio kitu inatokea mara Moja Moja but sometimes price tends to respect hizi strategy unazoita za kuchora
Hizi strategies huwa unaona zinakubali kwa kuwa hii ni algorithm, inatend to repeat every single time. Ila asilimia 99% ya matraders wanaoitumia hizi tu wanaunguza akaunti , pili ukiwa na ujuzi wa Macroeconomics ukijumlisha na technicals, unakuwa profitable trader In a long run.
Angalia GBPUSD na NFP, news ya Jolts jobs opening na Unemployment claims siku ya Alhamisi zilitupa ishara kubwa NFP numbers itakuwa ndogo than expected, baada ya hizi news, price ikaenda kutake Sellside Liquidity, baada ya hapo imetembea pips 160, the same as Gold tena Gold amefanya kufuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…