Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Exactly angalia hospitali ya mfano ya wilaya ya IloloHuku Tanzania, Hospitali zetu za Wilaya ni nzuri kuliko hiyo Oginga Odinga Hospital. Hawa wakenya wana matatizo ya akili, Mara "Malindi International Airport", Mara Isiolo International Airport", sasa hizo hospital wanazosema ni Referral, hazifai hata kuwa district Hospitals
Kwenye sector ya Afya, kusini mwa Sahara ni Afrika kusini pekee ndio wanatuzidi, tena kwa mijini walikokua wanaishi wazungu, lakini vijijini kwa waafrica weusi, tunawazidi kwa mbali sana, wazungu hawakujenga Hospitali za maana vijijiniReferral hospitals Tanzania
angalia ufuatiliaji, hospitali hii ya wilaya kule Kenya ni county referral hospital!Kwenye sector ya Afya, kusini mwa Sahara ni Afrika kusini pekee ndio wanatuzidi, tena kwa mijini walikokua wanaishi wazungu, lakini vijijini kwa waafrica weusi, tunawazidi kwa mbali sana, wazungu hawakujenga Hospitali za maana vijijini
Hospitali ya Huruma Rombo 54% ya wagonjwa wanatoka KenyaTaita Taveta referral county hospital
Hawa hu-cross border kuja Kilimanjaro kutibiwa! sishangai kama referral hospitals zipo hivi Kenya! In Tanzania referral hospitals are well respected!
Za dini zinakimbiza balaa kutana na st gaspa Itigi na consolata Ikonda zinakimbiza kama Agha khan ya Dar na zipo vijijinExactly angalia hospitali ya mfano ya wilaya ya Ilolo
nje ya Nairobi huduma za afya ni majanga! Halafu ujue hospitali nilizoweka hapa sijajumuisha zile za taasisi za kidini! Kenya hata zile za binafsi state of the art zipo mainly Nairobi! Muacheni JPM jamani ashukuriwe anachofanya district hospitals zaidi ya 80 (67+ phase II) si kitu cha mzaha hata kidogo!
Mbali ya hayo kuna several pharmaceutical plants coming up!
South Africa na Tanzania, ni nchi pekee kusini mwa Sahara ambazo 90% ya wananchi wake hutibiwa ndani ya nchi, na hupokea na kutibu wagonjwa toka nchi zingine za Afrika.Za dini zinakimbiza balaa kutana na st gaspa Itigi na consolata Ikonda zinakimbiza kama Agha khan ya Dar na zipo vijijin
pole baba za uso zimezidi! here is the Fact Referral county hospital in Kenya is equavalent to distric hospital or health center in Tanzania! Unatoka county gani nikuletee referral hospitali yako kule ushagoo? Uachane na tambo za hospitali za Nairobi!Adm should deal with these Danganyikan warthogs once and for all
True story.. mfano mwingine Rubya ipo Muleba, Kagera. Hospital ipi village ila vyumba kama hotel, kabati, Tv, choo na bafu bei haizidi 5000 mgonjwa kulazwa kwa siku. Kwenye hii sector wakenya tumewavua nguo.Za dini zinakimbiza balaa kutana na st gaspa Itigi na consolata Ikonda zinakimbiza kama Agha khan ya Dar na zipo vijijin
Pata picha Umeugua ghafla upo mashambani unachukua mtungi wa chang'aa mpaka Voi terminus unakutana na kituo hiki! unapata ma-hope!Adm should deal with these Danganyikan warthogs once and for all
Pata picha Umeugua ghafla upo mashambani unachukua mtungi wa changaa mpaka voi unakutana na kituo hiki
Nje ya kituo unakutana na tope hili
Unajipa moyo konde then unafika hospitali Voi county referral hospital unakutana na hii kitu!
Baba Ni umekufa! unamokea Israili mtoa roho! Wakenya husema bora "ungeashwa ukufie hom"!