Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Lini Serikali itakamilisha ujenzi wa hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga?
Hivi ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa hospitali ya rufaa mkoa wa Shinyanga? Ni muda sasa tangu mradi huo uanzishwe mwaka 2014 hadi sasa unasuasua. Aliyekuwa akijenga hospitali hiyo anaitwa Tarimo cha ajabu hadi sasa hakuna kinachoendelea jengo liloanzishwa kujengwa kwa sasa imekuwa nyumba...www.jamiiforums.com
Tutupie pia ya Shinyanga mzee.