Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #21
Lini Serikali itakamilisha ujenzi wa hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga?
Hivi ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa hospitali ya rufaa mkoa wa Shinyanga? Ni muda sasa tangu mradi huo uanzishwe mwaka 2014 hadi sasa unasuasua. Aliyekuwa akijenga hospitali hiyo anaitwa Tarimo cha ajabu hadi sasa hakuna kinachoendelea jengo liloanzishwa kujengwa kwa sasa imekuwa nyumba...www.jamiiforums.com
Tutupie pia ya Shinyanga mzee.
Hospitali ya Rufaa hii ama Zahanati tu?
picha mbili za hospitali ya serikali Shinyanga na ktuo cha afya shinyanga, ya Mkoa hiyo apo! Sahau sisi sio level yenu sahau baba! Huku SGR itapita na hata airport inapanuliwa to medium size!Hospitali ya Rufaa hii ama Zahanati tu?
Hio ni Kambarange!Rufaa iwapi tangia 2014?picha mbili za hospitali ya serikali Shinyanga na ktuo cha afya shinyanga, ya Mkoa hiyo apo! Sahau sisi sio level yenu sahau baba! Huku SGR itapita na hata airport inapanuliwa to medium size!
Na kahama airport pia Shinyanga
Nini hii, na mbona maneno hayasomeki?Sorry Geza for disappointing you,
View attachment 1250724
R u disputing this is not Shinganga's regional referral hospital?Sorry Geza for disappointing you,
View attachment 1250724
Ni Tanzania pekee ambapo wagonjwa wanatoka mjini wanafuata matibabu kijijini sababu ya quality healthcare services providedTrue story.. mfano mwingine Rubya ipo Muleba, Kagera. Hospital ipi village ila vyumba kama hotel, kabati, Tv, choo na bafu bei haizidi 5000 mgonjwa kulazwa kwa siku. Kwenye hii sector wakenya tumewavua nguo.View attachment 1250699View attachment 1250701
Hata Uganda imezidi Kenya katika Heath sectorHio ni Kambarange!Rufaa iwapi tangia 2014?
Pambio tu za tuta... Ita...
Hii ni hospitali ama dispensary?R u disputing this is not Shinganga's regional referral hospital?
Avenue hospital, Kisumu
Hii ni hospitali ama dispensary?
Watanzania wengi wanatibiwa ndani ya Nchi kwa kukosa namna na pia umasikini πππSouth Africa na Tanzania, ni nchi pekee kusini mwa Sahara ambazo 90% ya wananchi wake hutibiwa ndani ya nchi, na hupokea na kutibu wagonjwa toka nchi zingine za Afrika.
Wakenya viongozi na matajiri wote hutibiwa nje ya nchi, 90% ya wagonjwa wa MOYO na saratani Kenya hupelekwa India.
Post zenuAvenue hospital, Kisumu
Hii ni hospitali ama dispensary?
mimi na-post hii ipo Tunduma si hata referral hospital bali district hospital ni size ya Kenyatta teaching hospital na ipo mji waTunduma huko mpakani na Zambia nje ya makao makuu ya mkoa wa Songwe!Post zenu