Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals

Leta picha hapa...hatutaki maneno

MSD mbioni kusaini mkataba usambazaji dawa Sadc

TUESDAY OCTOBER 29 2019

sadc+pic.jpg

Kwa ufupi
Bohari Kuu ya Dawa nchini Tanzania (MSD) ipo katika mchakato wa kusaini mkataba na nchi 15 za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika kwa ajili ya kuanza kusambaza dawa.

By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Bohari Kuu ya Dawa nchini Tanzania (MSD) ipo katika mchakato wa kusaini mkataba na nchi 15 za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika kwa ajili ya kuanza kusambaza dawa.

Hilo litakwenda sambamba na kutoa mafunzo kwa watendaji kutoka nchi wanachama kuhusu namna ya kutumia mfumo wa kielektroniki wa uagizaji dawa unaotumiwa na MSD.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 29, 2019 meneja manunuzi ya pamoja ya nchi za Sadc wa bohari hiyo, Marco Masala amesema kuna mifumo mingi imeundwa kushughulikia manunuzi hayo na tayari MSD ina kitengo maalum kwa ajili ya kazi hiyo.

“Tulitangaza tenda Aprili, 2019 baada ya kufanya kikao cha pamoja cha kuandaa miongozo na mfumo wa mnyororo wa ugavi Machi, 2019.”

“Mchakato ulikuwa mrefu na sasa tupo kwenye hatua ya kusaini mkataba, kilichobaki ni kuutumia mkutano huu (wa mawaziri wa afya nchi za Sadc) wawahamasishe watendaji waanze kuleta oda,” amesema Masala.

Amesema MSD imeandaa mfumo wa Tehama utakaosaidia mnyororo huo, “mfumo huu utasaidia kuanzia uagizaji, uzalishwaji kila kitu. Mfumo unaona mpaka utakavyomfikia mtumiaji katika nchi husika na tutaandaa mafunzo namna ya kutumia mfumo wa manunuzi ya dawa.”

Tanzania km sikosei ina mikoa 26..natarajia uniletee hospitali 26 zenye vifaa vya nguvu na mm nikuletee 47

There r 94 hospitals being builts and not 26! wacha ufalamanga

Out of 47 counties u cant even show 5 proper county referral hospitals n yet u yap of devolution! Tanzania has built over 94 districts hospitals with inpatients n outpatients facilities! Idiot of highest order! devolution my foot!

Kwa upande wa afya, Jafo amesema ukiachia mbali ujenzi wa vituo vya afya 352 mwaka huu wa fedha 2019/2020 wanajenga vituo vya afya 52 na kuendelea na ujenzi wa hospitali 67 na wana ujenzi wa hospitali mpya 27.

“Kwa hiyo utaona katika mpango wa miaka miwili ni hospitali 94 ni outstanding performance kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ambalo hili tunakila namna ya kujifunza kama tangu uhuru tulikuwa na hospitali 77 pekee yake ,”amesema.

More good news from Tanzania
 
Kwhyo mna refferal ospital 94...
Heheeee!!kwhyo kila mkoa una refferal hospitals km tatu hivi...

Kadanganye wafuasi wa lumumba, mimi nina akili zangu timamu...

Niletee kumi tu nikuheshimu zenye vifaa vyaa maana

Nataka uniletee picha pamoja na vifaa vya km hospitali kumi tu..
MSD mbioni kusaini mkataba usambazaji dawa Sadc

TUESDAY OCTOBER 29 2019

sadc+pic.jpg

Kwa ufupi
Bohari Kuu ya Dawa nchini Tanzania (MSD) ipo katika mchakato wa kusaini mkataba na nchi 15 za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika kwa ajili ya kuanza kusambaza dawa.

By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Bohari Kuu ya Dawa nchini Tanzania (MSD) ipo katika mchakato wa kusaini mkataba na nchi 15 za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika kwa ajili ya kuanza kusambaza dawa.

Hilo litakwenda sambamba na kutoa mafunzo kwa watendaji kutoka nchi wanachama kuhusu namna ya kutumia mfumo wa kielektroniki wa uagizaji dawa unaotumiwa na MSD.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 29, 2019 meneja manunuzi ya pamoja ya nchi za Sadc wa bohari hiyo, Marco Masala amesema kuna mifumo mingi imeundwa kushughulikia manunuzi hayo na tayari MSD ina kitengo maalum kwa ajili ya kazi hiyo.

“Tulitangaza tenda Aprili, 2019 baada ya kufanya kikao cha pamoja cha kuandaa miongozo na mfumo wa mnyororo wa ugavi Machi, 2019.”

“Mchakato ulikuwa mrefu na sasa tupo kwenye hatua ya kusaini mkataba, kilichobaki ni kuutumia mkutano huu (wa mawaziri wa afya nchi za Sadc) wawahamasishe watendaji waanze kuleta oda,” amesema Masala.

Amesema MSD imeandaa mfumo wa Tehama utakaosaidia mnyororo huo, “mfumo huu utasaidia kuanzia uagizaji, uzalishwaji kila kitu. Mfumo unaona mpaka utakavyomfikia mtumiaji katika nchi husika na tutaandaa mafunzo namna ya kutumia mfumo wa manunuzi ya dawa.”

Nataka uniletee picha pamoja na vifaa vya km hospitali kumi tu..
find them here, every region has referral hospital either complete or U/C!

Kwhyo mna refferal ospital 94...
Heheeee!!kwhyo kila mkoa una refferal hospitals km tatu hivi...

Kadanganye wafuasi wa lumumba, mimi nina akili zangu timamu...

Niletee kumi tu nikuheshimu zenye vifaa vyaa maana
i said every region and u said 26 right? stop sounding idiot!

Nineona majengo tu...nasubiria vifaa km vile mnatupia picha za mhimbili
ni mwendo wa Kaizen huku! its a shame n pity most of ur county hospitals can't even match district hospitals in Tanzania!
 
Ukimalizeni na mipasho niletee hzo hospitali pamoja na vifaa...

Km kumi tu..sitaki nyingi
from page 1 to 16 there r at least 20! Don't be lazy my friend, the rest check them here!

Hamna vifaa vyovyote mlivyoweka hapa

Back
Top Bottom