Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kkkkkk hapa kuna cha kuonyesha au kujivunia au umeamua kuwasuta kiulaini na kiustaarabu?Kisumu county hospital na kelele zote za county!
![]()
![]()
Jaramogi Odinga
![]()
![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kkkkkk hapa kuna cha kuonyesha au kujivunia au umeamua kuwasuta kiulaini na kiustaarabu?Kisumu county hospital na kelele zote za county!
![]()
![]()
Jaramogi Odinga
![]()
![]()
![]()
Mimi sijui babu ila kwa kiasi kikubwa inawezekana kutaka usiri! Na kuna uwezekano labda ilikuwa uviko!..sijui kwanini Magufuli hakutibiwa ktk taasisi ya moyo badala yake akapelekwa Mzena na kupoteza maisha.
Mimi sijui babu ila kwa kiasi kikubwa inawezekana kutaka usiri! Na kuna uwezekano labda ilikuwa uviko!
Mkuu punguza siasa kwenye mambo kama haya.....Tundu Lissu alitibiwa Nairobi Hospital.
..John Pombe Magufuli alifia Nairobi Hospital.
..Mmewahi kusikia kiongozi au tajiri kutoka Kenya akitibiwa Muhimbili, Mloganzila, au ktk hospitali yoyote Tanzania?