Barikiwa sana mkuu....since 2014 till now sijachelewa kweli...nahisi moyo ushakubuhuPole mkuu, jifunze kusamehe hali hiyo haitakutesa tena. wengi tumepitia ktk hali kama yako bt tulikubali kujifunza kusamehe.
Mkuu maisha yetu ni mafupi na yamejawa changamoto nyingi bt ukitaka kuyaishi kwa wepesi samehe.
KabisaMimi ukinizingua sana nakusamehe then nakupuuza, sitaki kubeba makasiriko yasiyoleta tija kwangu zaidi ya maumivu
Hapo sawa,nikikusamehe,sio lazima niendelee kuwa na wewe!
Amani ya kweli inapatikana ktk kusamehe pekee, ukilipa kisasi utapata faraja kwa mda then majuto yatafuata.Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi. Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye...www.jamiiforums.com
Wala hujachelewa mkuu, maisha yetu hayana maana usipokua na amani ndani yako.Barikiwa sana mkuu....since 2014 till now sijachelewa kweli...nahisi moyo ushakubuhu
Barikiwa sanaWala hujachelewa mkuu, maisha yetu hayana maana usipokua na amani ndani yako.
Barikiwa nawe pia mkuu, Mungu akutangulie.Barikiwa sana
AminaBarikiwa nawe pia mkuu, Mungu akutangulie.
Hahahaa mpwaaaa na 🏃 🏃Ukishindwa kusamehe lipa kisasi