Form 3


UMEKURUPUKA wewe, ulipaswa kumwelewa mwenzako kisha umpatie majibu..
 



Pole Mentor...we songa mbele na maisha Kaka.... kimeo ni kwamba dogo bado yuko kwenye foolish age na bado anasafari ndefu ya kukutana na mambo kibao hapo alipo O level ...bado A level...chuoni ndo kabisaaaaaaa umempoteza ... (move on bro). Itaku cost na utakuwa umepoteza sana muda wako.. Nawasilisha
 

Hapo kwenye red umeanza vibaya kwa kuwa na defensive mechanism. Ila mi naona anaweza asiwe wako moja kwa moja. Kwanza hujatuonesha how far amekukubali mbali na wewe kutaka KUMFATAKI. Pili huyo mtoto hajawa na maamuzi ya kiutu uzima na wewe pengine ulitakiwa utuambie miaka yako na yake, kwa maana kwamba akiwa huko shule anaweza kupata chaguo lake na si la kaka ya rafiki yake,
TUWAACHE WATOTO WA KIKE WASOME NDUGU YANGU.
 

Duh, asante for your discouraging encouragement...time will tell my dia, ama!??
 

Defense mechanism sometimes inasaidia...lol!
well, soma posts zilizopita kwanza ndo utajua nia yangu kwa huyu binti ikoje!!
 
La kulachewa isembo munama?kumsubiri form 3 kaka ni very risky
 


HAHAHAHA ..... nakubaliana na wewe kabisa KATIKA SWALA LA UMRI lakini tatizo amwita jamaa MJOMBA
 
Maajabu ya ulimwengu,yani frm uncle 2 mpenzi...!!ebu muache dogo apige shule kwa amani bwana,we tafuta wazee wenzio 2.
 
Mwambie ajue waweza fika wakati wa kuambiwa akakwambia mi nalikuwa nakuheshimu kama kaka yangu, au ukakuta umechelewa wenzako walishamwambia siku nyiiiiiingi, ukishamwambia usimharibu sasa muelekeze katika njia iliyo nzuri aje kuwa mke bora
Me nilimwambia wangu mapema toka 2001 akiwa form 4 na ndo nimemuoa/tumeoana mwaka huu! Mwambie tu mkuu ili ajue mapema kama ni kukumwaga au kukubali akwambie mapema...
 
haki elimu itakusu
 
dah mentor hapo umechemka, mpaka amalize form 6 wamaume wengine watakuwa wanasubiri nini? Au utamfunga mgomba?usisahau ukimwambia sa hivi umechemka koz utamfanya mtoto wa wa2 adate mwisho wa siku afeli, pia itakuwa hatari kwako.
 
dah mentor hapo umechemka, mpaka amalize form 6 wamaume wengine watakuwa wanasubiri nini? Au utamfunga mgomba?usisahau ukimwambia sa hivi umechemka koz utamfanya mtoto wa wa2 adate mwisho wa siku afeli, pia itakuwa hatari kwako.
mkuu hilo pozi la huyo sokwe wako bana, ananipa mzuka wa mtandao wetu wa bei nafuu, 071......!!
 
Kupenda bwana ni ki2 kingine kabisa.sikushangai kwa kudata na huyo binti.Ila sikupi ushauri wa kumwambia sasa kwani atachanganyikiwa kiskul kwani wachache wanaoweza kubalance 2 thngs at ze sem time,pia kwa umri wako hamna ubaya kuja kuwa nae,lakini co kwa sasa. Pia kusubiri nako akampata mtu hasa akifika ktk level ya advance hapa wengi wanadatishwa,kwahiyo vuta subra kama kweli unampenda na endelea kuwa karibu nae kikawaida ujue anavyoendelea kitabia,hapo baadae hata akifika chuo unamtel,kwani muda uliobaki mwingi kimtazamo lkm pia co mwingi kimalengo!I THINK U GAT ME'
 

HAHAHAHA ..... nakubaliana na wewe kabisa KATIKA SWALA LA UMRI lakini tatizo amwita jamaa MJOMBA


Jamani, huu ujomba kauanzisha yeye na mdogo wangu...hauna any blood ties!!!!
 
Vyovyote vile, katoto utakachanganya.

ndo maana niko tayari kusubiri...hitaji langu lilitaka kujua kama ni jambo la maana ama napoteza muda plus kama kuna m2 mwenye ka-experince kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…