Pamoja na lawama kwa serikali, lawama kwa walimu na lawama kwa wazazi kidogo, lakini lawama kwa wanafunzi wenyewe wa kidato cha nne 2012 hazikwepeki. Hainingii akilini kwa mwanafunzi aliyesoma miaka minne masomo 9 au 7, akose walau alama D mbili tu, ili awe na division four na apate cheti.
Kwa kifupi watoto wetu wana mengi, malavi davi (makopa) wao wanasema ndio mpango mzima, akitoka hapo ni ma facebook. Wanafunzi wana simu tena za gharama kuzidi hata ma headmastaz wao na wala hawajanunuliwa na wazazi wao. Wanafunzi wamejaa midharau kwa walimu wao vibaya mno, hawaheshimu hata chembe. Watoto wa kike ndo usiseme full kula bata na waume za watu.
Kwakweli hali ni mbaya.