Form 5 hatusomi walimu hawafundishi

Mimi hadi namaliza form six sikuwahi kufundishwa darasni somo la Physics. So komaeni, kwani haujui Tanzania.
 
Tumia hii 'net' kusoma! Usipokuwa makini utataga... Majuto ni mjukuu; fainali uzeeni, akili kumkichwa....
 
weee utakuwa denti wa hapa mwenge sec..bila shaka.
wote tunashinda jf...
nipm tumoro nkutor hela ukale japo kuku pale azam jioni
 

Naamini unachosema ni ukweli kutoka moyoni mwako, LIKE!
 
Naamini unachosema ni ukweli kutoka moyoni mwako, LIKE!

mimi sitanii kabisa. Ukifika advance unakutana na watu wameshamaliza topic zote,ni wewe tu kuwa social wakufundishe na mvutane. Walimu wenyewe wameshakatishwa tamaa na serikali. Kufundishwa kulikuwa enzi zile za four figure,sasa hivi walimu wengi wanakuwa na biashara zao.
 

We umesoma seminary?waliosoma za serikali hawashangai we kaa umsubiri waziri aje.kwa faida yako tumia muda huu kuuliza wenzako walipitaje tambua sasa hii ni elimu ya kujitegemea
 
ccm ndio wanasababisha yote haya...endeleeni kuichagua
Nahisi utakuwa umeolewa na siasa za upinzani..! Unadhani wakiingia wapinzani wanafunzi ndo watakuwa wanafundishwa kila kitu! Hao walimu wa kufundisha ndo watapatikana wapi kama sasa kila mwaka wanajiriwa wote na bado hawatoshi?!
FICHA UPUMBAVU WAKO...
 

Ishu sio upungufu wa walimu, walimu wapo tena wa kutosha sana, sasa kazi kwako kujua tatizo nini, halafu watu wa magamba ndo wanaolewa na CCM, rejea wimbo wa gamba mwenzio a.k.a mama misifa.
 
Ishu sio upungufu wa walimu, walimu wapo tena wa kutosha sana, sasa kazi kwako kujua tatizo nini, halafu watu wa magamba ndo wanaolewa na CCM, rejea wimbo wa gamba mwenzio a.k.a mama misifa.

Mi nilichozungumzia ni ufundishaji katika shule nyingi, ambapo shule nyingi hazina walimu..
Kwa case yenu mtajua wenyewe na headmaster wenu..
BTW ka wadau walivyokwambia elimu ya A'level ni uamuzi wako mwenyewe ka unataka kufaulu au kufeli..Na sidhani ka JF itawafanya walimu wenu waanze kuingia darasani kisa umekuja kulalamika hapa..
Akili kumkichwa na ukiendelea kuishia kulalamika utataga 20!4, Elimu ya Alevel kwa shule zetu hz walimu wa darasani wana play part ndogo sana..
 

we unasoma combination gani mpaka ulala mike hakuna walimu??? me nmesoma A level bila kua na ticha wa mathematics, sasa wewe hata mwez hijamaliza umeanza kulalamika,, hiyo hela ya vocha unayolipia kuingia Jf kanunue vitabu ujisomee acha kubweteka,
 
WENZAKO WAKAT BABA ZAO WANASAKA HELA ZA KUWAPELEKA SHULE NZURI YE [BABAKO]ALIKUW KILABUN MIGUU JUU KWENYE VIGODA!XAXA MTOT WAKE UNAKUL JOTO YA JIWE,CHEZEYA UMASKINI WEYE
:juggle:!!!EMBU MIE NILE NA 😛hoto:

ha ha ha ha!!!
 
mwache dogo aendelee na ubish wake atage vizurriiiiii
 
Nakushangaa unafanya nini humu, ilo moja.
Mbili: Hiyo tosa, hainaga walimu hivohivo especially science subject, but hapo hapo ndio alitoka tanzania one, maticha hawasaidii dogo, syllubus si unazo? Library ipo pale juu ya msikiti, hya nenfa kasome..
 
Dogo pole sana ila kama unaona mambo yanazidi kuwa magumu jaribu kuhamia comb unayoona hautaharibu mwisho wa siku kwani ukiendelea kubweteka na macomb yenu (PCB) ya kifreemasons jua kwamba 2014 mwezi kama huu utakuwa umelia vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…